Msimamo wa Nyerere, Mareale UN ulikuwa mmoja


Sawa Mkuu nimekuelewa na kwa bahati nzuri nina uzika rafiki! nina shahada mbili za kuheshimiwa na niko busy kufanya ile ya uzamivu,hata jamaa yangu ni watu wa elimu sana! lakini hainfanyi nidharau makabila mengine kwakuwa si kabila ndiyo limenifanya niwe hivi bali ni Uwezo wa Mungu na nafasi nilyopewa na Nchi yangu kwa maana ya kwamba Watanzania wote wakulima na wafanyakazi uliowaita wana vichwa vya nazi isipokua watu wa kanda yenu hasa kabila lako.

Pole sana rafiki Watanzania wanasoma wote sasa baada ya kupewa room ya kufanya hivyo na kila kona ya nchi ina watu ambao uwezo wao mkubwa walisaidia taifa hili na kutoa mchango kwa dunia yetu.

Sipendi watu wanaodhani makabila yao ni bora kuliko wengine hicho nakiona kama kiwango cha juu sana cha ubanafsi usiyo vumilika.
 
Tuhuma nyingine, iliyowahi kutolewa na watu wangine, ni kwamba ktk hotuba yake ya June 17,1958 UN Chifu alisema anataka Kilimanjaro ijitenge na nchi ya Tanganyika, huu ni uongu mtupu!

UKWELI HUU HAPA:
Alichoeleza Chifu UN jinsi kwamba yeye na Machifu wengine wa Kanda ya Kaskazini walivyoanzisha chama chao ( Northern Province Chief's Convention) 1956 na jinsi machifu wote Tanganyika walivyoanzisha Chama chao (Territorial Chief's Convention 1957)

Chief alisema madhumuni ya kuanzisha vyama hivyo ilikuwa ni kuwafanya machifu wakutane, washirikiane na watatue matatizo yanayowakabili kwa pamoja. Alise sasa machifu wanaweza kuongea kwa sauti moja katk ngazi ya wilaya, mkoa na nchi nzima. Aliyeanzisha hoja ya kuanzisha vyama hivi (hatua ya kwanza ya kuondoa ukabila nchini alikuwa Chifu Thomas Marealle.
Kama angetaka Kilimanjaro ijitenge asingeanzisha vyama vya kuunganisha machifu wote wa nchi nzima na asingepeleka misaada mingi kwa makabila mengine kama alivyofanya.

Kwa mfano alipeleka misaada kwa Wagogo 1956 wakati wa njaa kubwa Dodoma na aliwahi kupeleka misaada Lindi na Usukuma pia kwa Chifu Majebele.

Kisumo atazamwe upya, pia achunguzwe kwann anasambaza mabaya juu ya Chifu Marealle, lazima kuna conflict of Interest, na wote wanaowasema vibaya wachaga angali kuna mazuri waliyoyafanya katika kuleta usawa kwa Tanganyika yote.
 


Huku tunapoenda tutabaguana hadi koo sasa tumeanza kwenye ukanda kanda ya kaskazini inaonekana ina virusi, wakaenda katika ukabila imeonekana chagga ndo vimeo sasa wamekuja kikoo naamini huku tuendako tunaenda kuligawanya hili taifa. tufanye yote lakini tujue hata chizi ana mchango wake katika jamii.
 
tusijadili kisumo au marealle au nyerere na hotuba zao tuangalie nini hasa ilikuwa logic ya kila mmoja.

hayo megine hayatusaidii maaana ni ushabiki ukabila na propaganda za kijinga tuu
 

mkuu nimependa hyo ya MASAWE WA NASA kama utapata muda naomba uni PM briefly huyo jamaa yupoje
 

I'm glad umekuja ktk umbo lako la asili saddest! Back kwenye mada, umeeleza story ndefu ambayo msingi wake ni wivu wa kike! jamaa yako kuzaliwa katika familia yenye neema haikuwa kosa, wewe kuzaliwa kwenye familia yenye dhiki ni kosa la wazazi wako! watoto wako wakiishi maisha ya dhiki ni kosa lako la kushindwa kuwaandaa! Billgates aliwahi kunukuliwa akisema kuzaliwa masikini si kosa lako bali kufa masikini ni kosa lako!!! Pasco unawananga hadi mabint na akina mama wa kichaga kuwa wanashepu za kizungu wamepigwa pasi! hii inadhihirisha chuki yako dhidi ya wachagga ambao msingi wake ni wivu, unasahau kuwa karibu viongozi wako wote wa nchii hii wamekimbilia kuoa uchagani ili pamoja na mambo mengine waweze kufanikiwa kimaisha! JKN alifundishwa kazi na mama lucy!, uliza na fuatilia akina Nswilo Swai, Imran Kombe, Eliufoo, Elinawinga wameifanyia nini nchi hii?...Ngoja nitupilie mbali ubaguzi wako nirudi kwenye mada ili kuweka kumbukumbu sahihi:- Nchi yetu haikuwa koloni bali tulikuwa chini ya uangalizi wa Uingereza, kwa kutambua hilo Mwingereza hakuendeleza lolote ndani ya Tanganyika! miundo mbinu yote ilikuwa ni ile ile ya mjerumani, mbaya zaidi hadi mazao kama mpira mwingereza aliua kwa hasira ya mjerumani! tofauti na Kenya ambapo Mwingereza aliwajengea miundo mbinu ya kila aina... Wakati wa vugu vugu la kudai uhuru ni kweli Mangi Marealle alikuwa kiongozi wa machief, hakupewa kwa bahati mbaya kwani chagga scholarship ilianza kuwasomesha vijana toka Enzi za Union Jerk! Wasomi wenye uelewa mpana walijua kuwabana wazungu vilivyo, Marealle aliwabana Waingereza wajenge mahospitali, Mashule, miundo mbinu kwakua kwa muda wote walikuwa wanafaidi rasilimali za nchi hii kwa kutumia miundo mbinu alizoziacha Mjerumani!!! Technically alitaka Mwingereza aamriwe na UN kulipa fidia Tanganyika ili wakati wanaondoka nchi iweze kupiga hatua haraka! ikumbukwe kuwa sehemu pekee iliyokuwa imeendelea ilikuwa Kilimanjaro! Wazungu walimgwaya marealle ndipo walipoamua kuside na nyerere ambaye tayari walikuwa wamemuandaa! kama utakuwa unakumbukumbu nzuri utakumbuka kuwa mara baada ya kupewa uhuru wa bendera Waingereza waliendelea kumsapoti JKN hata wakati ule wa uasi! ...kwa ufupi, wazee wa gerezani unaowazungumzia hawakufaidi matunda ya uhuru mpaka leo! Kilimanjaro ilinyang'anywa mradi wa EAC ikapelekwa Arusha, wawekezaji wazungu waliokuwa wanaratibu mashindano ya magari na kustawisha mkoa walitimuliwa! Wazee wenye gat zao kama akina Aikael Mbowe wakaenda kumkoromea JKN kwa kumkumbusha walivyokuwa wanamfadhili kisha wakaenda suluhishwa kwa malkia!!! Kama Mawazo ya Marealle yangezingatiwa bila shaka Tanzania tungekabidhiwa nchi yenye maendeleo ilivyokuwa Namibia wakati wanapata uhuru!!!
 
sikuwahi kusikia harakati za kudai uhuru wa taifa hili kutoka kilimanjaro. labda wewe ututajie walidai wapi. angalia Tanga, tabora, Dar na maeneo mengine yanayofanania na hayo walivyohangaikia uhuru. au wewe hukusoma historia? huenda labda wewe ni scientist, pole.

 
Kila tukisema WACHAGA ni wabaguzi na watu wa kujiona tunaambiwa tunawaonea wivu kwa kuwa wamesoma...
(Sijui kabila gani hawajasoma siku hizi)

Ushahidi upo katika huu uzi...

SIku mchaga akiwa Raisi basi hadi majogoo yatanyang'anywa kazi zao za kuwika Alfajiri,wapewe wachaga
 

"Massawe wa NASA huwa analindwa akija bongo kuliko hata Obama."

Obama gani huyu unayemuongelea? Maana Afrika Mashariki Obama kibao tu wajaluo, wengine tumesoma nao shule za msingi kabla hilo jina halijapanda chati duniani.

Hilarious.
 
This is my thinking! Ni siasa za enzi hizo na jinsi iliyokuwepo kupakana matope. Kisumo anawezekana alikuwa anafanya kazi kama za buku saba guys by then kwa kuwa hakukuwa na media. Ukiangalia sana kwa mbali Mwl hakuna mtu alimpatia credit towards upatikanaji wa uhuru. He was a one man show player and not team player. Hivyo baada ya kupata uhuru Kisumo alitumika kama njia ya kumkatia majini Marealle. By then wachaga wengi naambiwa walikuwa wamesoma lakini kupenyeza ilikuwa ngumu kwa hofu za Mwl. Lakini miaka michache baada ya uhuru ndio maana walitaka watanganyika kuchukua nchi yao na tizama alivyozuia na hata ideology zake zilikuwa za kidikteta kwa kuwa alitawala muda mrefu sana bila sababu na kulisha fikra mbaya wananchi wamfikirie yeye pekee na ndio kusema zidumu fikra, kidumu nk.

In my view can not credit him.

It is my thinking!
 
Mkuu ..a notion kuwa rais hatatoka kaskazini hawataki ku-acknowledge mchango wa watu wa kaskazini ulivyokuwa mkubwa ktk ukombozi wa bara hili;
Kaskazini ndiyo wapi huko?.

Kwani kuna mtu kwa sasa anazuiwa kugombea Urais. Anzisha chama cha watu "Kaskazini" bila kuvunja katiba na sheria ya vyama vya siasa na kwa kufanya hivyo, gombea Urais.

Hizi za kuweka maneno kama "notion" ni inferiority complex au inawezekana ni msongo wa guilty conscience!

USA inatambua kuwa kaskazini mwa Tanzania kuna vichwa vya ukweli si madafu! Massawe wa NASA huwa analindwa akija bongo kuliko hata Obama!... Soon mtajua umuhimu wa mnowabagua kila kukicha ...
Huyu USA anayetambua kuwa Kaskazini ni wapi na kama ndivyo hivyo, kwa nini asiwape Urais hawa watu wa Kaskazini wasio na vichwa vya madafu!.

Nani anawabagua hawa watu wa Kaskazini na kwa nini anawabagua?.

Hapo kwenye red ndiyo umemaliza!.

Huyu Massawe niwa "kuogopwa" kweli kweli kwa sababu hata mimi kijijini kwangu kuna mtu anajiita Obama na anawapambe na walinzi kibao!. Inawezekana ulinzi wa Massawe uko zaidi ya Obama wetu wa kijijini!.
 

That moment when emotions,hate and jealousy overcomes reasoning.........lets love each other
 
we ni mpuuzi sana watu wanajaribu kutumia busala zao kutokukutukana live ila we bado unashindwa kujisaidia mwenyewe na huo ukabila wako hayo mambo ya zamani sasa hivi hamna nyerere kaikomboa tanzania pembe zote za nchi watu wamesoma sana na wanaendelea kusoma zaidi na nafasi zote kwenye makampuny na serikalini wanashea watu wote wenye uwezo sio kama zamani unaingia offisi unakuta almost wafanyakazi wote ni wakabila moja, please hebu change kutokana na mazingira na wakati na acha kujifichia kwenye hio thread yako yakujifanya sio mkabila kwamba inamhusu mareale kumbe brain yako yote imejaa ukabila acha hayo mambo tutengeneze tanzania ya usawa na ya wote
RIP N. Mandela.
 
Duh!Mkuu kweli chuki yako ni mbaya na wala haina dawa!Hivi kabila alilotoka mangungo basi nalo lilaaniwe?Eti "wanapenda uzungu",na hapo Nairobi umewaona?Halafu Marealle ni wa marangu,we unasema wachagga kwa kujumuisha,kwasababu mke wako alikwambia mbakie mbebe box huku jamaa huyo "mayai" akiyapenda maisha yako ya bongo ambayo mke wako hayapendi,we unasingizia "uzungu",hivyo vitu ulivyokuwa navyo baada ya miaka 10,vikamtamanisha huyo Marealle halafu mke wako akatamani kuviacha ni vitu gani?matatizo yako binafsi unasingizia makabila yote ya uchaggani.Na wewe ulioa aliyepigwa pasi?Pole sana.
 

PATHETIC! Anyway, this helps shed light on 'why you people are so power-greedy, and what you gona do with it once you lay your dirty hands on it!'
 

Ahaaaaa, NIMEGUNDUA CHIMBUKO LA SERA YA JAMAA ZETU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…