Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
huyu sio yule pasco ninayemfahamu. Huyu ni mkabila! Anayetetea habari za makabila! Anasema nchi haitakaa kamwe itawaliwe na mchaga hata kama anazo sifa sahihi! Nimemsamehe bure kwa sababu mwishoni amewsema kuwa ana grievances za kindoa na mkewe mchaga! Pole ndugu yangu. Angalia zisikupeleke mbali hadi kujisahau kiasi kikubwa hivyo! Mimi sio mchaga lakini nataka raisi wa tanzania mzalendo, mwenye maadili mema, mwaminifu, mchukia ufisadi na dhuluma, mtetezi wa maskini, mwenye itikadi safi n.k. Bila kujali kabila wala dini yake wala kanda anayotoka!
Mzee Kisumo alisema kweli huo ushahidi wako mbona mwepesi sana.​Hivi majuzi , mzee Kisumo alipokuwa anahojiwa na gazeti la mwananchi alisema kuwa Nyerere alipokwenda UN kati ya mwaka 1955, 1956 na 1957 alikutana na Cheaf Marealle akimpinga Tanganyika kupewa uhuru, au akitaka uhuru wa KILIMANJARO pekee(Chagga land)!
Kisumo ni mzandiki na alikuwa na chuki binafsi na ukoo wa Marealle, ndio maana amekuwa akitoa kauli hizo za kuuchafua ukoo wa Maraelle na kuharibu historia nzuri na chief huyo.
Na chakusangaza mpaka leo kwenye mashule, vyuoni watu wamekuwa wakifundishwa hivyo, kumbe ni juhudi binafsi za Marealle kumchafua Chief. Hata mimi nilikuwa nimeathirika na hiyo mitizamo hasi ya watu juu ya Paramount Chief Marealle.
UKWELI HUU HAPA; Kama ilivyosemwa na ndugu wa ukoo pia kwa mujibu wa maandiko mbalimbali katika historia, ambayo Kisumo nahakika hakuwa kuyasoma, hata wale Wahadhiri wangu UDSM cjui walikuwa wapi hawakuyapitia wakati wakinifundisha huu uongo wa Kisumo. Wanahistoria hao ambao ni AJ HUGHES katika kitabu ch East Africa, J CLAGGET TAYLOR ktk kitabu cha Political Development of Tanganyika na BERNARD CHIDREZO ktk kitabu cha Tanganyika and International Trusteeship, wote kwa upande mmoja wakisema kuwa Chifu na Nyerere waliafikiana juu ya lini Tanganyika ipewe uhuru wake, wakati Nyerere akisema muda wa kijiandaa kujitawala uwe "kati ya miaka 20-25 mwaka 1955, na mwaka 1956 iwe na kati ya miaka 10-12, Chifu Marealle alisema mwaka 1957 kuwa muda wa kujiandaa kujitawala iwe ni kati ya 10-15.
Katika hotuba ya mwaka June 18, 1957, Mwalimu Nyerere alisema hotuba ya Chifu UN ilikuwa ya maana kuliko ya kwake, " the statement of Chief Marealle II .....has been greater significance than mine"' na kwamba Chifu alikuwa anawakilisha Chifu wa Taifa na mwakilishi wa machifu wenzake.
Sasa huyo Peter Kisumo inayesemwa kuwa alikuwa karibu na Mwalimu kwann anataka kutudanganya, ni watanzania wangapi leo wanamaoni hasi juu wa huyu chifu, Je, serikali inachukuwa hatua gani kurekebisha hii historia ya Marealle ambaya inazidi kuharibiwa na Kisumo.
kila tukisema wachaga ni wabaguzi na watu wa kujiona tunaambiwa tunawaonea wivu kwa kuwa wamesoma...
(sijui kabila gani hawajasoma siku hizi)
ushahidi upo katika huu uzi...
siku mchaga akiwa raisi basi hadi majogoo yatanyang'anywa kazi zao za kuwika alfajiri,wapewe wachaga
Alichosema Kisumo ndicho sahihi!. Mjerumani alikuwa akitumia utawala wa direct rule, Muingereza ndio akaleta indirect rule ya devide and rule!. Wagawanye uwatawale kwa kuanzisha utawala wa uchifu!. Machifu walifanywa wajione wao ndio bora zaidi, na mkuu wa machifu wote Tanzania ndio Mangi Mkuu, Thomas Marealle!.
Ni ukweli usiopingika watu wa koo hizi za kichifu walipendelewa ikiwemo kupewa nyumba na Malkia kule London!. Hawa walikuwa ni vibaraka wa wazungu!, walinuona mkoloni ni bora zaidi kuliko mtu mweusi!. Mpaka leo, mpaka kesho Mchagga anajisikia fahari sana kuishi kuzungu, kuvaa kuzungu, kutembea kizungu, kuongea kuzungu na kutokana na kuupenda uzungu, baadhi ya wanawake wa kichagga Mungu amewapa shape za kuzungu (pasi)!.
Mpaka leo mpaka kesho, zile familia zenye uwezo za kichagga, wanakwenda kujifungulia London!.
Nimebahatika kusoma na one of the Marealles toka ukoo wa Mangi Mkuu, hawa jamaa ni mayai kweli kweli!. Tulipomaliza tuu form four, mwenzetu huyoo London!. Nilipopata fursa ya kuja Uingereza, nilimtembelea, life ilikuwa safi!, jamaa wana nyumba ya ukoo London ila yeye na mkewe walipanga nyumba nzima jirani!. Maisha ni ya kudeka deka tangu Tanzania hadi London!.
Tangu tulipoachana Bongo hadi tunakutana London ilipita yapata miaka 10!. Tulipafanya tathmini ya pamoja kati ya miaka 10 ya bongo, mimi nina nini, na miaka 10 ya London mwenzangu ana nini!, akatamani kurudi bongo na mimi nikamuunga mkono. Miaka miwili baadae alirudi na familia yake ila its very unfortunatelly maisha ya bongo yalimshinda!, family ilisambaratika for sometimes, ila kutokana na kuona familia bora, family ili take controll, familia ikatengamaa na jamaa akaona bora arudi kuishi London, huko amezoea zaidi na maisha anayaweza kuliko maisha ya huku!.
Back to Mangi Mkuu, aliside na wakoloni kuwa Watanganyika bado hatiko tayari kujitawala mpaka labda baada ya miaka 15-20!. Akapendekeza kwa vile Kilimajaro ilikuwa juu kimaendeleo, watoe uhuru kwa majimbo kwa Kilimanjaro kupewa uhuru wake kwanza, maeneo mengine yakishaendelea nayo ndio yapewa uhuru hadi Tanganyika yote iishe!.
Chief Marealle ali undermine juhudi zozote za Tanganyika kujiwala, Nyerere baada ya kulijua hili, ali team na wale Waswahili masikini wenzake na wale wazee wa Gerezani, tukapata uhuru!. From there alifutilia mbali uchifu, Mareale akamind sana!. Akawasideline Wachagga kwenye urais!. Never will this country be ruled na rais Mchagga!. Laana ya Nyerere itatushukia!.
Poleni!
Merry X-mass
Pasco
UCHAGGA umeanza je ni gongo tu au mbege? vp mmesha tambikia tayari? tumewamis baa hazina wateja......endeleen kujadili hayo...ila mkumbuke watanzania wa sasa wanawaangalia kwa jicho angavu.
​Hivi majuzi , mzee Kisumo alipokuwa anahojiwa na gazeti la mwananchi alisema kuwa Nyerere alipokwenda UN kati ya mwaka 1955, 1956 na 1957 alikutana na Cheaf Marealle akimpinga Tanganyika kupewa uhuru, au akitaka uhuru wa KILIMANJARO pekee(Chagga land)!
Kisumo ni mzandiki na alikuwa na chuki binafsi na ukoo wa Marealle, ndio maana amekuwa akitoa kauli hizo za kuuchafua ukoo wa Maraelle na kuharibu historia nzuri na chief huyo.
Na chakusangaza mpaka leo kwenye mashule, vyuoni watu wamekuwa wakifundishwa hivyo, kumbe ni juhudi binafsi za Marealle kumchafua Chief. Hata mimi nilikuwa nimeathirika na hiyo mitizamo hasi ya watu juu ya Paramount Chief Marealle.
UKWELI HUU HAPA; Kama ilivyosemwa na ndugu wa ukoo pia kwa mujibu wa maandiko mbalimbali katika historia, ambayo Kisumo nahakika hakuwa kuyasoma, hata wale Wahadhiri wangu UDSM cjui walikuwa wapi hawakuyapitia wakati wakinifundisha huu uongo wa Kisumo. Wanahistoria hao ambao ni AJ HUGHES katika kitabu ch East Africa, J CLAGGET TAYLOR ktk kitabu cha Political Development of Tanganyika na BERNARD CHIDREZO ktk kitabu cha Tanganyika and International Trusteeship, wote kwa upande mmoja wakisema kuwa Chifu na Nyerere waliafikiana juu ya lini Tanganyika ipewe uhuru wake, wakati Nyerere akisema muda wa kijiandaa kujitawala uwe "kati ya miaka 20-25 mwaka 1955, na mwaka 1956 iwe na kati ya miaka 10-12, Chifu Marealle alisema mwaka 1957 kuwa muda wa kujiandaa kujitawala iwe ni kati ya 10-15.
Katika hotuba ya mwaka June 18, 1957, Mwalimu Nyerere alisema hotuba ya Chifu UN ilikuwa ya maana kuliko ya kwake, " the statement of Chief Marealle II .....has been greater significance than mine"' na kwamba Chifu alikuwa anawakilisha Chifu wa Taifa na mwakilishi wa machifu wenzake.
Sasa huyo Peter Kisumo inayesemwa kuwa alikuwa karibu na Mwalimu kwann anataka kutudanganya, ni watanzania wangapi leo wanamaoni hasi juu wa huyu chifu, Je, serikali inachukuwa hatua gani kurekebisha hii historia ya Marealle ambaya inazidi kuharibiwa na Kisumo.
Umenigusa ndugu.Alichosema Kisumo ndicho sahihi!. Mjerumani alikuwa akitumia utawala wa direct rule, Muingereza ndio akaleta indirect rule ya devide and rule!. Wagawanye uwatawale kwa kuanzisha utawala wa uchifu!. Machifu walifanywa wajione wao ndio bora zaidi, na mkuu wa machifu wote Tanzania ndio Mangi Mkuu, Thomas Marealle!.
Ni ukweli usiopingika watu wa koo hizi za kichifu walipendelewa ikiwemo kupewa nyumba na Malkia kule London!. Hawa walikuwa ni vibaraka wa wazungu!, walinuona mkoloni ni bora zaidi kuliko mtu mweusi!. Mpaka leo, mpaka kesho Mchagga anajisikia fahari sana kuishi kuzungu, kuvaa kuzungu, kutembea kizungu, kuongea kuzungu na kutokana na kuupenda uzungu, baadhi ya wanawake wa kichagga Mungu amewapa shape za kuzungu (pasi)!.
Mpaka leo mpaka kesho, zile familia zenye uwezo za kichagga, wanakwenda kujifungulia London!.
Nimebahatika kusoma na one of the Marealles toka ukoo wa Mangi Mkuu, hawa jamaa ni mayai kweli kweli!. Tulipomaliza tuu form four, mwenzetu huyoo London!. Nilipopata fursa ya kuja Uingereza, nilimtembelea, life ilikuwa safi!, jamaa wana nyumba ya ukoo London ila yeye na mkewe walipanga nyumba nzima jirani!. Maisha ni ya kudeka deka tangu Tanzania hadi London!.
Tangu tulipoachana Bongo hadi tunakutana London ilipita yapata miaka 10!. Tulipafanya tathmini ya pamoja kati ya miaka 10 ya bongo, mimi nina nini, na miaka 10 ya London mwenzangu ana nini!, akatamani kurudi bongo na mimi nikamuunga mkono. Miaka miwili baadae alirudi na familia yake ila its very unfortunatelly maisha ya bongo yalimshinda!, family ilisambaratika for sometimes, ila kutokana na kuona familia bora, family ili take controll, familia ikatengamaa na jamaa akaona bora arudi kuishi London, huko amezoea zaidi na maisha anayaweza kuliko maisha ya huku!.
Back to Mangi Mkuu, aliside na wakoloni kuwa Watanganyika bado hatiko tayari kujitawala mpaka labda baada ya miaka 15-20!. Akapendekeza kwa vile Kilimajaro ilikuwa juu kimaendeleo, watoe uhuru kwa majimbo kwa Kilimanjaro kupewa uhuru wake kwanza, maeneo mengine yakishaendelea nayo ndio yapewa uhuru hadi Tanganyika yote iishe!.
Chief Marealle ali undermine juhudi zozote za Tanganyika kujiwala, Nyerere baada ya kulijua hili, ali team na wale Waswahili masikini wenzake na wale wazee wa Gerezani, tukapata uhuru!. From there alifutilia mbali uchifu, Mareale akamind sana!. Akawasideline Wachagga kwenye urais!. Never will this country be ruled na rais Mchagga!. Laana ya Nyerere itatushukia!.
Poleni!
Merry X-mass
Pasco
sikuwahi kusikia harakati za kudai uhuru wa taifa hili kutoka kilimanjaro. labda wewe ututajie walidai wapi. angalia Tanga, tabora, Dar na maeneo mengine yanayofanania na hayo walivyohangaikia uhuru. au wewe hukusoma historia? huenda labda wewe ni scientist, pole.[/QUOTE
Mkuu inawezekana wewe ulisoma histori iliyochakachuliwa
huyu sio yule pasco ninayemfahamu. Huyu ni mkabila! Anayetetea habari za makabila! Anasema nchi haitakaa kamwe itawaliwe na mchaga hata kama anazo sifa sahihi! Nimemsamehe bure kwa sababu mwishoni amewsema kuwa ana grievances za kindoa na mkewe mchaga! Pole ndugu yangu. Angalia zisikupeleke mbali hadi kujisahau kiasi kikubwa hivyo! Mimi sio mchaga lakini nataka raisi wa tanzania mzalendo, mwenye maadili mema, mwaminifu, mchukia ufisadi na dhuluma, mtetezi wa maskini, mwenye itikadi safi n.k. Bila kujali kabila wala dini yake wala kanda anayotoka!
...Historia ya nchi hii haijakaa vizuri, kuna mengi sana yamefunikwa. Mohamed Saidi alipokuja na mada yake hapa watu wengi walimuona kama mdini badala ya kujadili hoja zake za msingi! Kwanini tunaaminishwa kuwa uhuru wa nchi hii imeletwa na Nyerere pekee? ilikuwaje familia ya akina Sykes hawakupewa madaraka na historia imewatenga katka nchi hii? Wafadhili wa TANU kama mzee Aikael Mbowe kwanini hawatajwi? Kwanini kawawa alikuwa anadharauliwa sana? Hatakama JKN alikuwa anatofautiana kimtazamo na Marealle ilikuwa busara kuwatenga Wachagga wote? Tunashuhudia maeneo yenye migodi ya dhahabu halmashauri zikipewa dola laki mbili kila mwaka, iweje halmashauri zinazozunguka mt Kilimanjaro zisipewe kiasi cha mapato yatokanayo na utalii? kuua kiwanda cha magunia, ngozi na sido ilikuwa ni chuki dhidi ya wachagga? Kombe aliwakosea nini? Pamoja na ubaguzi mkubwa uliofanyika na unaofanyika mnafikiri ni kwanini JKN alimteua Ndossi kuwa mnikulu Enzi zake?...Ifike mahali mtambue kuwa kuwabagua wachagga ni sawa na kumpiga chura teke!!!... hata hivyo study zaidi inahitajika as to why Wachagga na wazee wetu wa Gerezani walibaguliwa na kutengwa ktk historia ya nchi hii...hizi hoja za kubaguana kimakabila zinanichefua sana, nyerere alisema wachaga hawataka waongoze nchi hii na kuwasideline wachaga katika nafasi nyeti za serikali na shughuli za kimaendeleo, lakini ni wachagga hao hao waliobaguliwa walikuwa mstari wa mbele katika vita ya kizalendo ya kumwondoa mvamizi id amini dada. Jenerali kiwelu. Imran kombe, ben msuya, muhidin kimario
Chief Marealle alikuwa janga. Tena wachagga mnapaswa kumshukuru Mungu kuwa hakufanikiwa katika jitihada zake za kudai Kilimanjaro yake. Leo hii Kilimanjaro ingekuwa ya matabaka ya kieneo ambapo Marealle na kikabila chake cha Marangu wangekuwa ndio wafaidika huku ninyi wa huko Rombo, Uru, Mbokomu, Kidia nk mngekuwa wadharaulika wa kutupwa, hata kenge angekuwa na heshima zaidi yenu. Wakibosho wangeungana na wamachame kuunda jeshi la kupigana na wanamarealle, msingeona amani kamwe. Hizo historia za kumsifia Marealle zimeandikwa na wazungu za kumsifia kibaraka wao, ulitarajia nini zaidi? Marealle hakuwa na sifa inayokaribia hata 1% ya Mwalimu Nyerere. Naweza kusema kwa uhakika wa 100% kuwa ungewambia wachagga wa sehemu tofauti na Marangu wachague kati ya Bibi Titi Mohamed na Marealle, nakuhakikishia Bibi Titi angepata zaidi ya asilimia 95% ya kura.
...Historia ya nchi hii haijakaa vizuri, kuna mengi sana yamefunikwa. Mohamed Saidi alipokuja na mada yake hapa watu wengi walimuona kama mdini badala ya kujadili hoja zake za msingi! Kwanini tunaaminishwa kuwa uhuru wa nchi hii imeletwa na Nyerere pekee? ilikuwaje familia ya akina Sykes hawakupewa madaraka na historia imewatenga katka nchi hii? Wafadhili wa TANU kama mzee Aikael Mbowe kwanini hawatajwi? Kwanini kawawa alikuwa anadharauliwa sana? Hatakama JKN alikuwa anatofautiana kimtazamo na Marealle ilikuwa busara kuwatenga Wachagga wote? Tunashuhudia maeneo yenye migodi ya dhahabu halmashauri zikipewa dola laki mbili kila mwaka, iweje halmashauri zinazozunguka mt Kilimanjaro zisipewe kiasi cha mapato yatokanayo na utalii? kuua kiwanda cha magunia, ngozi na sido ilikuwa ni chuki dhidi ya wachagga? Kombe aliwakosea nini? Pamoja na ubaguzi mkubwa uliofanyika na unaofanyika mnafikiri ni kwanini JKN alimteua Ndossi kuwa mnikulu Enzi zake?...Ifike mahali mtambue kuwa kuwabagua wachagga ni sawa na kumpiga chura teke!!!... hata hivyo study zaidi inahitajika as to why Wachagga na wazee wetu wa Gerezani walibaguliwa na kutengwa ktk historia ya nchi hii...
...Mkuu amini nakuambia uchaggani kungekuwa hakuna tofauti na nchi za dunia ya kwanza! Hakuna mchagga mwenye akili ya kwenda kuweka billions ulaya badala ya kuziwekeza kwenye miradi itakayozalisha zaidi! wakati makabila mengi wanaogopa kwenda kujenga kwao kwa kuogopa kipapai! Uchagani mtu usipojenga mjengo wa maana unachekwa na unaweza kujikuta unachangiwa kujenga kwa masimango makubwa...wakati wengine mnawashindilia vibunzi mabint na kuwafunda kukata viuno kwenye unyago, wakichagga huwa wanafanyakazi usiku na mchana mabint zao wapate kusoma!...Pasco et al dhambi ya kuwabagua wachagga lazima itawarudi tu!...

Mkuu mimi mwenyewe nilipigwa na butwaa baada ya kupewa kanda ya Chief Marealle akihutubia UN... Jamaa alikuwa Jembe kweli kweli, chakushangaza nasikia zile kanda zilipigwa marufuku na zilifichwa zaidi ya Bange! Kwa wale wanaokumbuka tukio la pale ARS ambapo JKN alikwepa kupita kwenye red capet na badala yake alimkimbilia na kumkumbatia Thomas Marealle watakuwa wanajua kilichotokea... Wonder why til to date Malkia anailipa familia ya Chief Marealle?...Mengi yanafunikwa lakini ukweli utasimama kuwa ukweli daima...a notion kuwa rais hatatoka kaskazini hawataki ku-acknowledge mchango wa watu wa kaskazini ulivyokuwa mkubwa ktk ukombozi wa bara hili; USA inatambua kuwa kaskazini mwa Tanzania kuna vichwa vya ukweli si madafu! Massawe wa NASA huwa analindwa akija bongo kuliko hata Obama!... Soon mtajua umuhimu wa mnowabagua kila kukicha ...