Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ni mchanganyiko kutoka watu wa mataifa mbalimbali. Utakuta wachina, warusi, waarabu, wahindi, waafrika, walatino, wajapani bila kusahau black Americans. Wote hao wanabeba bendera ya MarekaniMarekani ni watu wa-bad sana, kila sekta wao huongoza, Ni taifa la namna gani aisee?!