Msimamo wa sisi Watibeli kwenye Siasa za nchi yetu

Mimi ni mtibeli kabisa ila ninachama kinacho tetea wanyonge na kudai haki
 
MSIMAMO WA SISI WATIBELI KWENYE SIASA ZA NCHI YETU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinipigia Simu, kunitumia jumbe kwa njia za meseji ya kawaida au kupitia pm za mitandao ya kijamii, wakihitaji kujua msimamo wangu na msimamo wa Watibeli kwenye siasa za nchi yetu ya Tanzania. Na wengine kutaka kujua mimi nipo Chama gani. Huku wengine wakinituhumu nipo CCM,

Kwa namna hiyo, nimeamua kutumia nafasi hii kuwajibu wale ambao wapo interested na mambo ya Watibeli. Zaidi wale ambao wanafuatilia kile ninachokifanya. Hata hivyo andiko hili halitakuwa na maana yoyote kwa ambao hawajishughulishi na wala hawapo interested na watibeli au kile ambacho ninakifanya.

Mtibeli ni mtu yeyote au kiumbe chochote chenye utashi ambacho kiasili nafsi yake inaongozwa na kupenda HAKI, KWELI, AKILI NA UPENDO.

Mtu yeyote ambaye ukiona dhulma roho yako inakuuma Sana na lazima uchukue hatua yoyote kulingana na uwezo na nafasi yako. Wewe ni Mtibeli.

Mtu yeyote ambaye unamoyo safi, moyo wenye kupenda, moyo wenye kusamehe ingawaje sio kusamehe kijinga kwani unaakili. Basi jua wewe ni mtibeli.

Mtu yeyote ambaye unaupenda Ukweli na kuufanya. Wewe ni Mtibeli.
Mtu yeyote upendaye Elimu kwa upana wake, maarifa, ujuzi na ufahamu were ni Mtibeli.

Hii ni kusema Watibeli hatuna mipaka ikiwa hatudhulumu nafsi zetu wala kudhulumu nafsi za wengine.

Mtibeli anaweza kuwa dini yoyote, Iwe Mkristo, muislam, mbudha, asiye na dini, n.k. muhimu awe na haki, kweli, upendo na akili.

Watibeli wapo Chadema, CCM, ACT wazalendo na wengine hawana vyama.
Utibeli hauingilii Uhuru wa mtu kuchagua vyama vya siasa.

Watibeli na utibeli katika siasa za Tanzania;

1. Watibeli siku zote hukaa upande wa HAKI hata kama yupo chama gani.
Iwe ni CCM au Chadema.
Upande sa haki Sisi ndio tupo.

2. Watibeli hukaa upande anayeonewa/anayedhulumiwa hasa asiye na nguvu.
Sisi tupo upande wa anayeonewa hasa akiwa hajiwezi.
Mfano, CCM wanapoidhulumu Chadema, au serikali inapoidhulumu Chadema watibeli wote hata walioccm watakuwa upande wa Chadema.

3. Watibeli hatunaga ushabiki WA mtu isipokuwa tunaangalia Yule mwenye afadhali anayeelekea kuipenda haki.

Tukishakupima kwenye mzani angalau tukagungua nusu ya mhusika anauelekeo wa haki. Basi sisi tutamuunga Mkono Bila kujali chama chake, dini yake au Kabila lake.

Hii ni kinyume na mzani ukionyesha hufuati haki na upo chini ya nusu. Hatutakuunga Mkono na ikiwa hautaungwa mkono na Watibeli automatically utaanza kuhisi utawala unakuelemea kwa sababu Watibeli tunavitu vizito vyenye akili kila mmoja kwa nafasi yako.

Kutokuungwa mkono na watibeli itamaanisha haki haipo upande wako.
Akili, ujuzi na maarifa havipo kwako. Kweli na upendo haviko kwako. Kiujumla utawala unakuwa mgumu. Nchi itaanza kukushinda na kutawala kutakuwa kwa tabu.

4. Watibeli walioko katika vitengo vya Usalama wa taifa. Msimamo wetu ni uleule; nafsi ya asiye na hatia inathamani Sawa na nafsi ya mtawala anayelindwa.

Mamlaka na utawala haiwezi kuwa juu ya Haki. Lengo ni kuokoa nafsi hasa zisizo na hatia.
Dola ni kulinda nafsi zisizo na hatia.

Dola ni kurekebishaa nafsi zenye hatia kwa namna ya haki inayofaa.
Dola ni kuua kwa haki na upendo nafsi zilizokataa marekebisho na zinazohatarisha usalama wa nafsi zingine.

5. Watibeli tunachukulia vyama vya siasa vyote ni sawasawa na vinahaki sawasawa. Na vyote no vyama vya watanzania.

6. Watibeli tunachukizwa na tabia ya CCM kuiingilia na kuitumia serikali kuonea vyama vingine.

7. Watibeli hatuhitaji hisani ya yeyote. Na hatumtegemei yeyote kuanzia mtu mwenye cha juu kabisa na Yule asiye na cheo kabisa
Hatuhitaji upendeleo wowote.

Kwa sababu kwa kuhitaji hisank au upendeleo haki inaweza kuingia matatani. Na ukweli kutukimbia.
Hii inatufanya tuyaone maisha kama zawadi ambayo tunaweza kuishi katika mazingira na hali yoyote.
Kwetu mafanikio tunayatafsiri kama haki, kweli, upendo na Akili.

8. Watibeli hatupondi wala kuwabeza watu wengine kuamua kuwa vyama kinzani na Sisi. Ila tutabeza matendo yasiyo ya haki.

9. Watibeli hatumheshimu mtawala kwa cheo chake. Ila tunamheshimu kwa majukumu na wajibu anaoufanya kwa cheo na nafasi yake. Kwa kuzingatia Haki.
Kiufupi hatuheshimu Majina, cheo, utajiri bali tunaangalia matendo ya mhusika kulingana na nafasi aliyonayo.

10. Watibeli tunatambua kila mwanadamu anahitaji nafasi ya Pili(msamaha). Kwa sababu binadamu anamapungufu ya kiasili, na yale yanayotokana na matamanio yake.

Lakini kamwe MTU aliyeua kwa kukusudia akamwua MTU asiye na hatia kwa makusudi huyo anastahili kuuawa.
Na watibeli wenye nafasi hufanya KAZI hiyo kwa weledi kabisa.

Huwezi ua watu wasio na hatia kwa makusudi alafu mtibeli mwenye nafasi asikuue. Ndio Ile kauli isemayo auaye kwa upange afe kwa upanga. Falsafa hii hutumika kwa Wauaji wa watu wasio na hatia.

Kwetu ni baraka, thawabu, na tunu kuua wauaji wa watu wasio na hatia. Tukiwa keenye nafasi. Kuzilipia roho zisizo na hatia kisasi hasa zile roho zilizokosa watu wenye nguvu wa kuwatetea.

11. Watibeli hatutetei watu wote. Isipokuwa tunatetea wanaostahili kutetewa.

Mtu yeyote anayehitaji msaada tutamsaidia lakini kamwe hatutamsaidia mtu ambaye hakuhitaji Masada.
MTU yeyote asiye na hatia tutamtetea.

Mtu yeyote mpenda Haki tutamtetea.
Mtu yeyote aliyependa akili, ufahamu, maarifa tutamtetea. Hatuwezi kutetea watu walioamua kuwa wajinga na wapumbavu.

Mtu yeyote mwenye upendo tutamtetea. Na bahati nzuri watu hao hawajifichi. Kwa sababu wao ni Nuru.
Hatuwezi kutetea mtu mwenye chuki, mfitini, na mgombanishi.

Bahati nzuri watibeli mahali popote tulipo Sisi ndio usalama wa eneo hilo. Sisi ndio wapatanishi na waleta Amani na haki katika eneo hilo.
Kwa sababu misingi yetu ni HAKI, KWELI, UPENDO NA AKILI.

Nafikiri nimejibu kwa sehemu. Kuhusu chama gani. Taikon Master Hana chama.
So wale waliokuwa wanasema ni declare interest wakinihusisha na CCM majibu ndio hayo sina Chama.
Ila napendelea kuwa upande wa wanyonge hasa wanapoonewa.

Ni kama mzazi uwe na watoto. Kikawaida mtoto wa mdogo lazima uwe upande wake kumtetea na maswahibu ya kakaake. Lakini hiyo haitamaanisha mimi(nipo) ni mtoto mdogo au mimi(nipo) ni mtoto mkubwa

Kufikia hapa sina la ziada.
Acha nikalale!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Watibeli wa humu tutambuane tafadhali
 
Kwa sasa Dar e
Ccm hapawezi tokea Mtibeli kwa kauli hizi
 
(Biti inaanza kwa mzito... Yeah, uh-huh! Leta hiyo!)

[VERSE 1]
Nafsi yenye utashi mkuu (Real talk!)
Haindoki kwa maneno makuu
Kiasili inatafuta haki tu
Ukweli na upendo juu ya watu

Ukiona dhulma inatendeka (No way!)
Moyo wako unakataa kuweka
Lazima uchukue hatua thabiti
Kutokana na uwezo wako katikati

Moyo wako uwe msafi kabisa (Pure!)
Uwe na uwezo wa kusamehe sasa
Lakini sio kusamehe kwa ujinga
Kwani akili yako ndiyo inayolinga (Stay sharp!)

Unapenda elimu kwa mapana yake
Maarifa na ujuzi uwe wake
Hatuna mipaka kwenye maisha yetu
Ilimradi hatudhulumu utu wetu

Dini yako kwetu sio kizuizi
Uwe mkristo au muislamu kizi
Uwe mbudha au huna dini kabisa
Haki na upendo ndio vinatakasa (Facts!)

[KIITIKIO]
Msimamo wetu hauna vyama (No politics!)
Tunasimama panapo haki daima
Ukweli na akili ndio ngao yetu (Hiyo ndo ngao!)
Upendo wa dhati ndio utu wetu

[VERSE 2]
Uwe upande wa chama tawala (System!)
Au upande wa upinzani kwa jumla
Uhuru wako wa kisiasa tunalinda
Lakini haki ndiyo tunayoipenda

Siku zote tunakaa na mnyonge (Straight up!)
Yule anayedhulumiwa asiongee
Serikali ikikandamiza raia
Sauti zetu zote zitatoboa (We louuud!)

Hatuna ushabiki wa kijinga hapa
Tunamgusa tu yule mwenye afadhali
Tukikupima kwenye mzani wa kweli
Ukikosa haki tunakutupa mbali (We drop you!)

Utawala utaanza kukulemea sana
Nchi itakushinda mchana wa jua
Maarifa na akili zikitoweka kwako
Basi tabu itatawala kiti chako (Game over!)

Hata walio vitengo vya usalama (Undercover!)
Msimamo wetu unabaki salama
Nafsi ya mtu asiye na hatia
Ni sawa na ya mtawala inayolindwa

Mamlaka haiwezi kuzika haki (Never!)
Dola ipo kulinda wasio na chuki
Kurekebisha waliokosa kwa nidhamu
Na kuadhibu wauaji kwa ukahamu

[VERSE 3]
Hatuhitaji hisani ya mtu yeyote (Independent!)
Wala hatutegemei cheo cha yeyote
Upendeleo kwetu ni mwiko kabisa
Maisha ni zawadi inayotutakasa

Tunatafsiri mafanikio ya kweli
Kama haki na akili kwenye mwili
Hatuwabezi walio vyama pinzani
Ila tunabeza uovu wao hadharani (Busted!)

Hatuheshimu cheo wala utajiri (No fake flex!)
Tunaangalia wajibu wako wa siri
Kila mwanadamu anastahili msamaha
Kwani mapungufu huleta karaha

Lakini muuaji wa makusudi kabisa (Watch out!)
Huyo naye anastahili kukatwa sasa
Auaye kwa upanga afe kwa upanga
Hiyo ndiyo sheria inayolenga (Karma!)

Hatutetei wajinga walioamua
Wala wenye chuki waliojifungua
Sisi ni nuru popote tulipo
Amani na usalama ndipo zilipo (Light up!)

Taikon Master hana chama mkononi (No tag!)
Amesimama katikati ya uwanja huu
Anatetea wanyonge wanapoonewa
Kama mzazi anavyomlinda mdogo akilelewa

Mwisho wa maneno yote yamekwisha (That's it!)
Haki imesimama na inawasha (Burn!)
 
Back
Top Bottom