Msimamo wa Tundu Lissu kuhusu katiba mpya ni WOKOVU kwa TAIFA kadri muda unavyosonga

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Imagine, aliyekuwa MKURUGENZI wa Usimamizi wa UCHAGUZI kumbe ni kada wa CCM, all those days anasimamia uchaguzi mkuu in favor of CCM , and curently amechukua fomu to affirm.

Imagine, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi ambae tunaamini anapaswa kuwa independent entity anakula teuzi kuwa mkuu wa mkoa in favor of CCM

Imagine, Rais wa Nchi anasimama wazi na kutoa maagizo msinileteee huyu au yule yaani anawapangia wananchi mtu wa kumchagua ; A person led by his or her emotions cannot lead others

IMAGINE, Rais anatamka wazi umlinde speaker wa Bunge, what a shame

Ukikaa chini na kutafakari, MSIMAMO wa CHADEMA wa NRNE chini ya Mwenyekiti Tundu makes a lot of sense kwa maslahi ya TAIFA. ,kwa yeyote MTANZANIA anaedhani CHADEMA IMEKOSEA kugomea uchaguzi ni MJINGA, Hana Akili. A man is not meant to be slave forever

Tundu Lissu kupitia chama chake cha Chadema , hajawahi kuwa Opportunist , ni MPINZANI wa kweli na anamaanisha mengi kwenye mustakabali wa Taifa letu kuliko mwanaCCM yeyote wanaonenepeana kama vifurushi.

Respect to TUNDU, ni moja ya UZAO bora kwenye taifa letu kutôka pale SINGIDA …… KAANAN ndogo…. The promised land

Dr Megalodon Ndesaruo Mushy
Université of Ottawa
Canada
 
Imagine Baadhi ya mitandao ya kijamii inakula Ban kwasababu ya kuweka ukweli bayana.

Imagine asilimia kuwa ya Viongozi wa Dini badala ya kusimamia ukweli wanasimamia unafki na Uchawa.

N.k

Huu wakati Lazima CCM iambulie patupu!!

Tuko na TUNDU kwa kila hatua, No Reform No Election.
 
Imagine, aliyekuwa MKURUGENZI wa Usimamizi wa UCHAGUZI kumbe ni kada wa CCM, all those days anasimamia uchaguzi mkuu in favor of CCM , and curently amechukua fomu to affirm.

Imagine, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi ambae tunaamini anapaswa kuwa independent entity anakula teuzi kuwa mkuu wa mkoa in favor of CCM

Imagine, Rais wa Nchi anasimama wazi na kutoa maagizo msinileteee huyu au yule yaani anawapangia wananchi mtu wa kumchagua ; A person led by his or her emotions cannot lead others

IMAGINE, Rais anatamka wazi umlinde speaker wa Bunge, what a shame

Ukikaa chini na kutafakari, MSIMAMO wa CHADEMA wa NRNE chini ya Mwenyekiti Tundu makes a lot of sense kwa maslahi ya TAIFA. ,kwa yeyote MTANZANIA anaedhani CHADEMA IMEKOSEA kugomea uchaguzi ni MJINGA, Hana Akili. A man is not meant to be slave forever

Tundu Lissu kupitia chama chake cha Chadema , hajawahi kuwa Opportunist , ni MPINZANI wa kweli na anamaanisha mengi kwenye mustakabali wa Taifa letu kuliko mwanaCCM yeyote wanaonenepeana kama vifurushi.

Respect to TUNDU, ni moja ya UZAO bora kwenye taifa letu kutôka pale SINGIDA …… KAANAN ndogo…. The promised land

Dr Megalodon Ndesaruo Mushy
Université of Ottawa
Canada
Exactly and real.
 
Back
Top Bottom