Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi
1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje
2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili
3. Waandamanaji walilipwa
4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje wasiotupenda.
5. Hayakuwa maandamano, zilikuwa ni vurugu na uhalifu
6. Vjana walifuata mkumbo wakaingia barabarani
Mpaka sasa watawala waliojiweka madarakani hawataki kukubali kuna tatizo kubwa la kisiasa wenyewe wakiwa wahusika wakuu lililopelekea mauaji na maafa ya Octoba 29, hawataki kusema idadi ya waliouwawa na waliopotea, hawataki kusema wala hawana mpango kwa walihousika na mauaji makubwa hivi kuwahi kutokea nchini watawajibika au watawajibishwa, wamebaki wanafanya propaganda za enzi za analojia! Huu ni msiba mkubwa kwa nchi yetu ila ni vyema wakafahamu kwa vyovyote vile Tanzania haiwezi kubaki tena kama ilivyokuwa huko nyuma kisiasa na kijamii baada ya mauaji ya October 20.