Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi
1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje
2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili
3. Waandamanaji walilipwa
4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje wasiotupenda.
5. Hayakuwa maandamano, zilikuwa ni vurugu na uhalifu
6. Vjana walifuata mkumbo wakaingia barabarani
Mpaka sasa watawala waliojiweka madarakani hawataki kukubali kuna tatizo kubwa la kisiasa wenyewe wakiwa wahusika wakuu lililopelekea mauaji na maafa ya Octoba 29, hawataki kusema idadi ya waliouwawa na waliopotea, hawataki kusema wala hawana mpango kwa walihousika na mauaji makubwa hivi kuwahi kutokea nchini watawajibika au watawajibishwa, wamebaki wanafanya propaganda za enzi za analojia!
Ni Serikali ya wapumbavu. You cannot heal a wound by saying it isn’t there!Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi
1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje
2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili
3. Waandamanaji walilipwa
4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje wasiotupenda.
5. Hayakuwa maandamano, zilikuwa ni vurugu na uhalifu
6. Vjana walifuata mkumbo wakaingia barabarani
Mpaka sasa watawala waliojiweka madarakani hawataki kukubali kuna tatizo kubwa la kisiasa wenyewe wakiwa wahusika wakuu lililopelekea mauaji na maafa ya Octoba 29, hawataki kusema idadi ya waliouwawa na waliopotea, hawataki kusema wala hawana mpango kwa walihousika na mauaji makubwa hivi kuwahi kutokea nchini watawajibika au watawajibishwa, wamebaki wanafanya propaganda za enzi za analojia!
Wanaona wanatumidu sana ila wamesahau ngoma imeshavuma sasa milio inasikika hadi mtaa wa 7 huko..we ngoja tu waache.Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi