Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
MSIMAMO WA YANGA (TAIFA KUBWA)
šZipi sababu za kuahirisha mchezo wa kwanza wa dabi ya Simba na Yanga tarehe 8 Machi 2025.
šKwa nini bodi ya ligi wamepanga mchezo mwingine bila suluhisho la sababu ya kuhairishwa mechi ya tarehe 8 ya Simba na Yanga?
škwa nini bodi ya ligi haikuchukua hatua za haraka na za haki kwa mujibu wa kanuni ya 31 (1.1 hadi 1.8), ikiwa ni pamoja na adhabu kama vile kupoteza ushindi, kushushwa madaraja mawili, kutozwa faini ya Milioni 3, na kutopata gawio la mchezo husika kwa yule aliyesababisha mechi kuhairishwa?
škwa nini bodi ya ligi haijatoa majibu ya sababu zake za kuhairisha mechi,viashiria vya rushwa nani alipatikana na viashiria vya rushwa na masuala ya usalama nani alitishia usalama wa mechi ya Simba na Yanga.
#@Hatuchezi ng'oo hadi tujibiwe sababu ni zipi za kuhairishwa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8 Machi 2025 na ije kupanga tarehe 15 June 2025 bila sababu yoyote ile ya msingi.