Msimchukulie poa Haji Manara

Msimchukulie poa Haji Manara

Swala la hisa siyo kwa bongo musee.., cha msingi tusubili uwanjani ligi ikishaanza. Mengine hayo ni siasa tu maana kwa Nchi yetu siasa kila sehem mpaka taasisi za afya sehem ambayo ni sensitive sana.,
 
The way ulivyo comment kama vile nakufahamu kabisa.
 
Happy zamani yanga ilikuwa na mashabiki wengi sana kuliko simba

Hapa miaka 6. iliyopita Simba imekuwa na mashabiki wengi Sana

Wengi wao mashabiki upepo tu ,wengine ni effect za manara .

Trust me Simba itabaki ya kawaida

Upepo umeahamia jangwani
 
Back
Top Bottom