Hahaha! Eti remote iko msoga tv ziko chamwino na Magogoni feliKwa hiyo unataka tuwalaumu wastaafu?
Mkataba umeanza lini na Utaisha lini??Katika jambo la maana atakalo lifanyia Tanzania ni haya makubaliano DPW yakitekelezwa yote phase 1 & 2, mungu awape akili tu TPA waingie concession agreement zenye maslahi ya taifa.
Watanzania mnaopinga amuoni tu picha kubwa ya huu uwekezaji kabisa.
Binafsi sio shabiki wa huyo mama kabisa, lakini kwenye ili la bandari wasirudi nyuma. Ni yale maamuzi ya mtanishukuru baadae mkishaona matokeo.
Lakini si kuna chama au chama hakihusiki na govt. Halafu kiko kimya😟,Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
The buck stops with HER!Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado na ndio utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.Mkataba umeanza lini na Utaisha lini??
Mkataba wa mualiko? Naomba utafsiri kwa kiingereza ili nikuelewe vizuri.Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.
IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara.
Sasa nyie amtaki kuelewa.
Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), isipokuwepo hilo hayo ni makubaliano tu; lakini sio mkataba wa kibiashara.
Mmeambiwa muda wa mkataba unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa, makubaliano ya kurudisha hela ya uwekezaji kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.
Hiyo mikataba ni ya concession, iyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.
Dah kazi kweli kweli
Hakuna kipindi kigumu wala nini!! Criticisms katika siasa ni vitu vya kawaida popote pale duniani !!Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Sàsa wanasema huo wa awali ukiingia hakuna kuchomoka..Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.
IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara.
Sasa nyie amtaki kuelewa.
Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), isipokuwepo hilo hayo ni makubaliano tu; lakini sio mkataba wa kibiashara.
Mmeambiwa muda wa mkataba unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa, makubaliano ya kurudisha hela ya uwekezaji kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.
Hiyo mikataba ni ya concession, iyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.
Dah kazi kweli kweli
Inaitwa mihemko !! 😂😂Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado na ndio utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.
IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara (framework).
Sasa nyie amtaki kuelewa.
Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), lisipokuwepo hilo; hayo ni makubaliano tu mbele mahakama yoyote lakini sio mkataba wa kibiashara.
Mmeambiwa muda wa mkataba atakaopewa kuendesha bandari unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa.
Makubaliano msingi wake ni muda wa kurudisha hela ya uwekezaji watakayo toa, kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.
Hayo yatapangwa watakapokutana kujadili mikataba ya concession. Hiyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu tu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.
Dah kazi kweli kweli