Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.

Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.

Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
 
tulimtuhumu jiwe kwamba ni one man show[emoji28][emoji28][emoji28]

acha mama yenu wa mbinu shirikishi akinywe kikomne chake cha lawama.

wasaidizi wengi ngazi ya ushauri ni mbuzi mno,kama umelegea matokeo yake ndio haya.
 
Kama ilivyokua kwenye tozo.yule analoambiwa anapita nalo.sio kosa lake
 
20230704_064054.jpg
20230704_064058.jpg
 
Katika jambo la maana atakalo lifanyia Tanzania ni haya makubaliano na DPW yakitekelezwa yote phase 1 & 2, mungu awape akili tu TPA waingie concession agreement zenye maslahi ya taifa.

Watanzania mnaopinga amuoni tu picha kubwa ya huu uwekezaji kabisa.

Binafsi sio shabiki wa huyo mama kabisa, lakini kwenye ili la bandari wasirudi nyuma. Ni yale maamuzi ya watu wengi watamshukuru baadae wakishaanza kuona matokeo.

Mama asiangalie nyuma na kuwa jiwe kwenye hili; yupo sahihi 1000%.
 
Katika jambo la maana atakalo lifanyia Tanzania ni haya makubaliano DPW yakitekelezwa yote phase 1 & 2, mungu awape akili tu TPA waingie concession agreement zenye maslahi ya taifa.

Watanzania mnaopinga amuoni tu picha kubwa ya huu uwekezaji kabisa.

Binafsi sio shabiki wa huyo mama kabisa, lakini kwenye ili la bandari wasirudi nyuma. Ni yale maamuzi ya mtanishukuru baadae mkishaona matokeo.
Mkataba umeanza lini na Utaisha lini??
 
Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.

Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.

Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Lakini si kuna chama au chama hakihusiki na govt. Halafu kiko kimya😟,
 
Hapana.

Samia anastahili lawama kama vile ambavyo atastahili pongezi iwapo atafanya vyema.

Hakuna mtu aliye juu ya kusemwa vibaya na hakuna aliye chini ya kupewa pongezi.

The buck stops with her.

Period.
 
Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.

Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.

Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
The buck stops with HER!
 
Mkataba umeanza lini na Utaisha lini??
Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado na ndio utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.

IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara (framework).

Sasa nyie amtaki kuelewa.

Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), lisipokuwepo hilo; hayo ni makubaliano tu mbele mahakama yoyote lakini sio mkataba wa kibiashara.

Mmeambiwa muda wa mkataba atakaopewa kuendesha bandari unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa.

Makubaliano yenyewe msingi wake ni muda wa kurudisha hela ya uwekezaji watakayo toa, kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.

Hayo yatapangwa watakapokutana kujadili mikataba ya concession. Hiyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu tu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.

Dah kazi kweli kweli
 
Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.

IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara.

Sasa nyie amtaki kuelewa.

Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), isipokuwepo hilo hayo ni makubaliano tu; lakini sio mkataba wa kibiashara.

Mmeambiwa muda wa mkataba unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa, makubaliano ya kurudisha hela ya uwekezaji kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.

Hiyo mikataba ni ya concession, iyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.

Dah kazi kweli kweli
Mkataba wa mualiko? Naomba utafsiri kwa kiingereza ili nikuelewe vizuri.

Amandla...
 
Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.

Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.

Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Hakuna kipindi kigumu wala nini!! Criticisms katika siasa ni vitu vya kawaida popote pale duniani !!

Huwezi kutegemea wapinzani wako eti wawe wanakusifu !!
Yeye ni Mkuu wa nchi na ofisi ya URais ni taasisi kubwa yenye watu wabobezi wa masuala mengi. !!

Mama yupo vizuri na taasisi yake naamini ipo vizuri !!
 
Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.

IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara.

Sasa nyie amtaki kuelewa.

Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), isipokuwepo hilo hayo ni makubaliano tu; lakini sio mkataba wa kibiashara.

Mmeambiwa muda wa mkataba unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa, makubaliano ya kurudisha hela ya uwekezaji kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.

Hiyo mikataba ni ya concession, iyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.

Dah kazi kweli kweli
Sàsa wanasema huo wa awali ukiingia hakuna kuchomoka..
 
Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado na ndio utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.

IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara (framework).

Sasa nyie amtaki kuelewa.

Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), lisipokuwepo hilo; hayo ni makubaliano tu mbele mahakama yoyote lakini sio mkataba wa kibiashara.

Mmeambiwa muda wa mkataba atakaopewa kuendesha bandari unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa.

Makubaliano msingi wake ni muda wa kurudisha hela ya uwekezaji watakayo toa, kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.

Hayo yatapangwa watakapokutana kujadili mikataba ya concession. Hiyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu tu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.

Dah kazi kweli kweli
Inaitwa mihemko !! 😂😂
 
Back
Top Bottom