The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Akisifiwagwa kwa kazi nzuri za serikali mbona huwa hamsemi kitu.Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Invitation to treat (if you want contract legalese), ndio maana ya BIT and IGA.Mkataba wa mualiko? Naomba utafsiri kwa kiingereza ili nikuelewe vizuri.
Amandla...
Shida ni kwamba watu wametumia muda mwingi kuwaelezea sana maana ya hiyo IGA.Inaitwa mihemko !! 😂😂
Hivi wakati wana tia saini walikua na haraka sana kiasi cha kushindwa kurekebisha hapo alipotaka kuweka saini asiye husika.
Freedom of expression wakati mwingine ni shidaaa !!Shida ni kwamba watu wametumia muda mwingi kuwaelezea sana maana ya hiyo IGA.
Mfano mkurugenzi wa sheria kutoka wizara ya uchukuzi amedadavua karibu kila kitu hapo kwa lugha nyepesi, ila watu bado tu; awataki kuelewa somo.
Nimefuata ushauri wako.Invitation to treat (if you want contract legalese), ndio maana ya BIT and IGA.
Nakushauri uende google kwanza kufahamu maana hiyo phrase ‘invitation to treat’.
Ndio maana serikali duniani uwa zikishatoa elimu, asietaka kuelewa awamsubiri atawakuta wenzake mbele ya safari.Freedom of expression wakati mwingine ni shidaaa !!
Lakini natambua ukweli mmoja tu, ni vyema kiongozi atangulize sifa na utukufu kwa Mola wetu. Kiongozi hapswi kukwepa kulitaja kwa makusudi jina kuu kuliko yote, mbinguni na duniani, Jina la Bwana Yesu Kristo.Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
TLS, Shivji, Slaa, Lipumba, Lissu wote ni mbumbumbu kiasi cha kutokumuelewa Mkurugenzi huyo wa Sheria? Hauoni kuwa yeye ndie asiyekuwa na uelewa ( au anafanya makusudi) ndio maana maelezo yake hayana mashiko.Shida ni kwamba watu wametumia muda mwingi kuwaelezea sana maana ya hiyo IGA.
Mfano mkurugenzi wa sheria kutoka wizara ya uchukuzi amedadavua karibu kila kitu hapo kwa lugha nyepesi, ila watu bado tu; awataki kuelewa somo.
Sasa anamaana gani ya kua raisi wa nchi tena mwenye elimu ya udokta na anaitwa muheshimiwa kabisa kumbe muheshimiwa wa hovyo kama hawezi kusimamia misingi bora ya nchi anatofauti gani na baba mwenye familia asiejielewa. Kiufupi hatuna kiongozi hadi wanawake wenzake washamchoka maana wanaona wanaumia kuliko wanavyomsifia chawa wake wenyewe hawana la kusema sasa hiviNdugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Mafiii ya bata kabisa[emoji115][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Nadhani umeshawai kukutana na hii phrase before ‘a contract is an agreement, but not all agreements are contracts’.Nimefuata ushauri wako.
"An invitation to treat is an invitation to a party or parties to make an offer. However, unlike a contractual offer, there is no intention for the invitation to treat to be legally binding. This is until the parties take steps to formalise the offer in a binding contract."
Kwa maana hii kama IGA ni Invitation to Treat basis sio legally binding. Kwa maneno mengine hakuna consequences kama URT itaamua haiutekelezi. Kwa maneno mengine article 23 haina maana yeyote kwa sababu URT wana uhuru wa kutoitekeleza wakati wowote bila kwenda Johannesburg. Na kumbuka article hiyo inazungumzia IGA, sio HGA.
Nilivyoelewa mimi hizo invitations ni yale mazungumzo yaliyofanyika Dubai na IGA ni mkataba ulio yaformalise. Hamna haja ya kupata baraka za Bunge kwa ajili ya mualiko wa kuanza mazungumzo. Baraka zinahitajika unapoingia katika mkataba ambao una masharti ya utekelezaji.
Amandla...
Sisi tunamtambua yeye, hao walijificha ni udhaifu wake kama anashinikizwa anakubaliNdugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Kwa heshima na taadhima tutajie hao waliomshinikiza wala hatuwaogopi tutawaambia wanavyompotosha mama yenu.Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Hacha propaganda za kipumbavu, yeye ndo rais , hawezi pelekeshwa na mtu yoyote, kwani inashindika nini , msipende chafua watu kwa madhaifu ya yeye mwenyeweNdugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Kwanza humo humo ndani ya IGA mara kadhaa wameeleza kutakuwa na mikataba mingine ya HGA na Peoject Agreements, information tosha kukueleza hiyo sio commercial agreement.TLS, Shivji, Slaa, Lipumba, Lissu wote ni mbumbu kiasi cha kutokumuelewa Mkurugenzi huyo wa Sheria? Hauoni kuwa yeye ndie asiyekuwa na uelewa ( au anafanya makusudi) ndio maana maelezo yake hayana mashiko.
Mara IGA sio Mkataba ni Makubaliano kwa vile inaitwa Agreement. Lakini mkatu assure kuwa tutakapoingia mikataba inayoitwa HGA ( ambayo nayo ni agreements) mambo yote yatakuwa mazuri bila kutueleza kwa nini Agreement inayoitwa HGA ni Mkataba na imayoitwa IGA sio Mkataba. Mlipoona hamna logic, ndio mnakuja na hii Invitation to Treat! Inasikitisha kwa kweli unapoona Fundi Mchundo anaelewa mambo ya mkataba kuliko Learned Person.
Hiki kitu IGA ni flawed. The sooner we address the flaws, the better for all of us.
Amandla....
Ikulu sio mahali rahisi, utakuwa Raisi lakini utakuwa ukisemeshwa na viongozi wasiohesabika, huwezi kufanya uamuzi peke yako, wapo wengi watakusemesha kuanzia chama kilichokupa hicho kiti. Kumbuka chama hakina mtu mmoja, kina maelfu ya viongozi ambao lazima utawasikiliza ili wasikunyang'anye kiti. Kumbuka raisi yupo chini ya chama, anaweza kunyang'anywa madaraka na chama chakeHacha propaganda za kipumbavu, yeye ndo rais , hawezi pelekeshwa na mtu yoyote, kwani inashindika nini , msipende chafua watu kwa madhaifu ya yeye mwenyewe