Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Andika tena ili ueleweke. Hamna haraka hapa.Wamepigwa upo na kiburi cha mamlaka ili washuhudie maanguko yao.
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika tena ili ueleweke. Hamna haraka hapa.Wamepigwa upo na kiburi cha mamlaka ili washuhudie maanguko yao.
Kwa hiyo learned person kwako wewe kwa sababu kwa tafsiri yako IGA ile siyo commercial agreement kwa hiyo haina madhara hata isipotekelezwa? Aidha, kwa sababu haujaweka wazi consideration za kifedha basi sio mkataba na both parties hazina contractual obligations?Kwanza humo humo ndani ya IGA mara kadhaa wameeleza kutakuwa na mikataba mingine ya HGA na Peoject Agreements, information tosha kukueleza hiyo sio commercial agreement.
Pili umeshaelezwa ili uende mahakamani kushitaki una mkataba lazima uonyeshe value of exchange uliyodhulimiwa (consideration) hayo makubaliano hayapo hapo kwenye IGA kwa ivyo hiyo aiwezi kuwa commercial agreement.
Serikali imekwambia hayo yatafanyika watakapokutana TPA na DPW kujadiliana concession agreements bado awajakaa chini; utaki kuelewa.
Shivji, Lissu, Kabudi na wanasheria wote Tanzania niliowasikia 90% hawana foundation ya contract law; kama umesoma ata introduction module kuweza kubaini uelewa wao ni mdogo mnooo.
Na nina uhakika 100% Tanzania aifundishwi kwa kuwasikiliza wanasheria.
Nchi nyingi zina BIT lakini mwekezaji akienda huko ataingia mikataba mingine ya kibiashara.Kwa hiyo argument yako, my learned friend, ni kuwa bila HGA hakuna IGA? Kama ni hivyo, IGA ni ya nini? Si wangeingia tu kwenye HGA baada ya MoU?
Unaweza kusema mimi sielewi legal meaning za maneno yaliyo katika IGA na hautakuwa umekosea. Lakini jopo la Tanganyika Legal Society nao hawaelewi isipokuwa legal officer wa wizarani? Na Professors Shivji na Lipumba nao hawaelewi legalese? Na Lissu na wale waliofungua kesi Mbeya, wote hawaelewi tofauti kati ya IGA na HGA? Please. Msitufanye wote wajinga. Jifunzeni kusikiliza.
Amandla...
Rais anashinikizwa? Hasa hapa Tanzania labda Marekani. Mwache ajifunze kuwa makini na mambo ya uongozi.Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Hakuna cha kutekeleza kwenye IGA if anything serikali ikiwazungusha zungusha baada ya miezi 12 bila ya kukubaliana chochote toka wasaini na sheria yenyewe inakufa naturally.Kwa hiyo learned person kwako wewe kwa sababu kwa tafsiri yako IGA ile siyo commercial agreement kwa hiyo haina madhara hata isipotekelezwa? Aidha, kwa sababu haujaweka wazi consideration za kifedha basi sio mkataba na both parties hazina contractual obligations?
Amandla...
Kusoma kwingi sio lazima uelimike. Hiyo BIT unaijua wewe lakini jopo la TLS hawaijui?Nchi nyingi zina BIT lakini mwekezaji akienda huko ataingia mikataba mingine ya kibiashara.
Kama umewahi kusoma BIT ya nchi yoyote ni yale yale ya kwenye IGA, difference ya BIT ni generalisation ya articles, whereas in IGA ni specific on one area.
Ukitaka kujua umahiri wa hao watu, humu kuna wana sheria, waambie wajibu swali langu lifuatalo ‘awafundishwi contract law’, wakijibu hilo na wewe utapata majibu ya uwezo wa hao watu kwenye maswala ya mikataba.
Na hivi wameisaini ndani ya hiyo miezi hawana obligation ya kutekeleza yaliyomo katika IGA? Hawawi obliged kuingia katika HGA na DPW katika hizo priority projects zilizopo kwenye appendix? Unataka kutuambia kuwa serikali inaweza kuamua kuipa kampuni ya kichina au kitaransa kuendeleza miradi iliyoainishwa bila repercussions zozote kwa vile tu bado TPA haijaingia katika HGA na DPW? Hivi unatuonaje?Hakuna cha kutekeleza kwenye IGA if anything serikali ikiwazungusha zungusha baada ya miezi 12 bila ya kukubaliana chochote toka wasaini na sheria yenyewe inakufa naturally.
Sasa we unadhani kwa sasa watashitaki kwa makubaliano gani ya kibiashara waliyo nayo.
Umewahi kuwa hata balozi wa nyumba 10?Akisifiwagwa kwa kazi nzuri za serikali mbona huwa hamsemi kitu.
Kama mazuri ni yake kwa nini Mabaya yasimuhusu. Kama hahusiki kwa nini kauchuna as if hakuna kunchoendelea!!
Hapana,Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Katiba inasema nini kuhusu Mamlaka ya Rais? Unajielewa kweli wewe?Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Mwaliko wenye nguvu za kisheria na mahakama itakayotumika kutatua migogoro!Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado na ndio utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.
Katika jambo la maana atakalo lifanyia Tanzania ni haya makubaliano na DPW yakitekelezwa yote phase 1 & 2, mungu awape akili tu TPA waingie concession agreement zenye maslahi ya taifa.
Watanzania mnaopinga amuoni tu picha kubwa ya huu uwekezaji kabisa.
Binafsi sio shabiki wa huyo mama kabisa, lakini kwenye ili la bandari wasirudi nyuma. Ni yale maamuzi ya watu wengi watamshukuru baadae wakishaanza kuona matokeo.
Mama asiangalie nyuma na kuwa jiwe kwenye hili; yupo sahihi 1000%.
Mmeshaambiwa zaidi ya mara mia hakuna mkataba wa kibiashara bado na ndio utakaopanga muda, lakini amtaki kusikia.
IGA ni mkataba wa mualiko kuja kuwekeza Tanzania na unao orodhesha taratibu kadhaa za kutengeneza mikataba ya kibiashara (framework).
Sasa nyie amtaki kuelewa.
Mkataba wa kibiashara lazima uwe na thamani ya kitu mnachobadilishana (consideration), lisipokuwepo hilo; hayo ni makubaliano tu mbele mahakama yoyote lakini sio mkataba wa kibiashara.
Mmeambiwa muda wa mkataba atakaopewa kuendesha bandari unategemea na thamani ya uwekezaji utakaofanywa.
Makubaliano yenyewe msingi wake ni muda wa kurudisha hela ya uwekezaji watakayo toa, kidogo kidogo kulinga na mapato ya maeneo watakayo pewa. Hayo mambo mawili ndio yatakayo amua miaka ya wao kuendesha hiyo bandari mpaka hela yao irudi.
Hayo yatapangwa watakapokutana kujadili mikataba ya concession. Hiyo IGA yenyewe inakwambia huko bado awajifika, serikali inakwambia huko bado awajifikia amtaki kuelewa. Ninyi mmekazana na vitu tu kutoka vichwani kwenu ata mueleweshwe vipi amtaki kusikia.
Dah kazi kweli kweli
Taratibu za Nchi za Manunuzi zimefutwa mpaka mtafute Investors kwenye maonyesho ya Sabasaba Dubai?Ndugu zangu mengi yameibuka tangu kusainiwa kwa mkataba wa DP World. Hii nchi haiongozwi na kiongozi mmoja. Kuna idadi kubwa sana ya viongozi kuanzia wastaafu na waliopo madarakani.
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Nashauri badala ya kumtuhumu tumtafute na kushauriana naye pengine tutaweza kumsaidia kuondokana na kipindi hiki kigumu.
Time frame ni miezi 12 baada ya kusainiwa kwa IGA.Na hivi wameisaini ndani ya hiyo miezi hawana obligation ya kutekeleza yaliyomo katika IGA? Hawawi obliged kuingia katika HGA na DPW katika hizo priority projects zilizopo kwenye appendix? Unataka kutuambia kuwa serikali inaweza kuamua kuipa kampuni ya kichina au kitaransa kuendeleza miradi iliyoainishwa bila repercussions zozote kwa vile tu bado TPA haijaingia katika HGA na DPW? Hivi unatuonaje?
Amandla.
Kajichanganya pakubwa sanaKipindi hiki amejichanganya na genge lake
Of course kwa sababu ni sheria tayari maana yake ni implied ni contract term kwa mikataba ya baadae.Mwaliko wenye nguvu za kisheria na mahakama itakayotumika kutatua migogoro!
Mkataba una shida gani?Mkataba gani zaidi ya huu,shida ni mkataba sio dpw.