Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ndugu commercial agreement sio lazima iwe biashara na biashara.The Intergovernmental Agreement iliyosainiwa ni bilateral agreement ambayo badala ya concessions imeweka obligations. Haiwezi kuwa commercial agreement kwa sababu both parties sio commercial au business entities.
Kwa hiyo usiyeelewa ni wewe ambae unadhani kwa sababu sio commercial agreement basi sio contract kwa sababu hamna mahali palipotajwa considerations. Mambo ya ku cram siyo mazuri.
Kama upande wowote hautatekeleza kilichoahidi katika IGA ( kwa JMT ni kufacilitate uwekezaji kwa kuingia katika HGA na Emirate ya Dubai kuwekeza), IGA haitakufa kwa sababu ibara ya 23 inasema hilo haliwezekani. Kitakachofanyika ni upande utakaoona kuwa mwenzake hatekelezi wajibu wake atatangaza mgogoro na suala hilo kulipeleka Johannesburg. Bila shaka, kabla ya kufanya hivi suala hilo litakuwa limejadiliwa katika IGA Consultative Committee.
Niliwasahau Tibaijuka na Warioba ( bingwa wa international maritime law) katika vichwa vilivyotilia shaka hiyo IGA.
Amandla...
Ata wewe na mwanao mnaweza ingia mkataba wa commercial agreement. Mfano unaweza mpa ahadi mtoto wako ukifaulu vizuri nakulipia holiday ya kwenda popote.
Consideration hapo ni yeye kufaulu kwa marks unazotaka na yeye kulipiwa holiday akifika hivyo vigezo.
Sasa akifikia hivyo vigezo usipomlipa ni tosha kukushitaki mahakamani kama mliandikiana.
Commercial agreement kwenye contract ni uwepo wa nguzo tano za mikitaba ya kibiashara, (offer, acceptance, consideration, legal capacity and privity). Aijalishi ni hakina nani wanaingia hayo makubaliano.
Punguza ujuaji
Shida yako unajiandikia tu vitu wakati huna ata foundation ya mambo yenyewe. Halafu unadhani that’s how they work.