Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Autakuja kuelewa milele, kwa sababu umeshajiwekea barrier.Wewe umewahi kusimamia kesi za migogoro ya kibiashara? Umewahi kuishauri serikali inapotaka kuingia katika international treaties? Una ujuzi na utaalam zaidi ya Warioba katika masuala ya international treaties? Hapa tunazungumza bilateral agreement kati ya nchi mbili wewe unakazania commercial agreements kati ya business entities!
Mimi kwa arguments zako ambazo ziko all over the place naamini kabisa haujui lolote kuhusu contracts. Una regurgitate mambo uliyocram bila kuyaelewa.
Amandla...