Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

Autakuja kuelewa milele, kwa sababu umeshajiwekea barrier.
 
Sasa unajuaje raisi aja sign hiyo sheria baada ya bunge kupitisha.
 
Chukua ushauri wako, mimi sielewi huna sababu ya kuendelea na mimi nisikupotezee muda wako.
 
Sasa unajuaje raisi aja sign hiyo sheria baada ya bunge kupitisha.
Ndio maana nasema arguments zako ziko all over the place. Umekuwa ukikazania kuwa Bunge likipitisha Bill, Bill hiyo inakuwa sheria. Sasa unataka ku hint kuwa Rais aliisaini baada ya kupitishwa na Bunge! Argument ya kitoto kabisa .

Kwa kifupi, ile IGA iliishakuwa signed na mtu aliyepewa POA na Rais kwa hiyo imekuwa tayari kwa kutekelezwa baada tu ya kuridhiwa na Bunge. Na hii ni kwa sababu tuu ule ni Mkataba (ambao unaongozwa na sheria) na sio sheria. Sheria inaanza kwenye Bill, na serikali haikuisubmit kama Bill katika National Assembly.

Amandla...
 
Shida yako ni kusoma vitu kwenye katiba au hiyo IGA halafu uwezi kujiongeza.

Swali kwako how do international treaties zote nchi ilizoingia, become laws in Tanzania?

Ata huyo Lissu kama umemsikiliza anatuambia IGA sasa hivi ni sheria ya nchi, wewe hutaki kuelewa.
 
Huyu Samia anahusika.moja kwa.moja. Unaona sasa anapeleka miswada bungeni kurekebisha sheria zinazopingana na wizi na uuzwaji wa bandari. Amedhamiria watanganyika tukatae kuuzwa
 
Waliomzunguka ndiyo tatizo,lakini utampataje ili umshauri?
Nahisi wanaomzunguka wanafanya hivyo kwa manufaa yao
 
Ndugu yangu raisi anatoka ndani ya chama. Chama ndio boss wake lazima usikilize chama bila hivyo unapokonywa kiti
 
Bado mikataba 30 alisaini pale Dubai
 
Mpaka hapa post hii nakuona huna tofauti na kina steve ake
 
Katika andiko lako, nakubaliana na wewe kwenye kutaja jina la JMT kwenye salamau badala ya jina la Mungu. Lakini sikubaliani nawe kwenye hoja ya kuwa 'Jina kubwa kuliko yote Mbinguni na duniani kuwa ni Yesu'. Jina Kubwa zaidi ni Mungu Muumba, aliyemuumba huyo Yesu na pia kumtuma duniani, Mungu ambaye ni muweza wa Yote hajaumbwa na yeyote, hajazaliwa, wala hajazaa hajawahi kufa na hatakuja afe.

Mpe heshima yule mwenye kustahiki. Mkuu wa Wilaya hawezi kuwa Mkubwa kumzidi rais aliyemtuma majukumu huko wilayani. Yeye ni mtumishi ila boss yupo pale pale.
 
Kaka, kwenye aya yako ya mwisho umetutaka 'tumtafute tushauriane nate'. Hivi hapo umekusudia rais ama tumtafute nani? Ni kwamba kila mtanzania ambaye hajaelewa juu ya habari hiyo kuhusu DP world, tukamtafute rais tumshauri ama umekusudia nani hasa wakutafutwa? Je unaona uliloshauri linatekelezeka? Wewe ulishawahi mtafuta mkakaa na kushauriana?
 
Ndugu yangu raisi anatoka ndani ya chama. Chama ndio boss wake lazima usikilize chama bila hivyo unapokonywa kiti
Ila ndo mwenyekiti ,sasa asikilize na kuchukua kila aina ya takataka , kama mwenyekiti bado anayo nafasi ya kusema hili sawa lile hapana ,

So hata kuuza bandari zetu aliposhauriwa akaona ni sawa
 
Njia nzuri ni kumtafuta kushauriana nae kwasababu kaajiriwa na CCM mambo yote anayofanya huwa hapangi mwenyewe analetewa na chama chake
 
Ndio kazi ya bunge??
Tushike lipi??
[emoji116][emoji116]
Ndugu treaty ni mkataba wa makubaliano ambayo inakuwa sehemu sheria unapo ratify. Na mwenye mamlaka ya kufanya ratification ni bunge.

Lakini treaty pekee sio mkataba wa biashara ambao unaweza mshitaki nao mtu, pasipo na mikataba mingine ya utekelezaji.

Badala ya kwenda google na kutumia muda wako kuingia website ya UN kupata maelezo treaty ni kitu gani; we unakimbilia kusikiliza upuuzi wa mkimbizi ambae kutwa ana ugomvi na serikali.
 
Kwani google wanaandika malaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…