Msimlaumu kocha Robetinho, hakuna kocha asiyependa kumpanga mchezaji mzuri, Ni maelekezo kutoka juu ya kuyatii bila shuruti

Phiri Hana mpira wowote kama walivyo wachezaji wengine wote wa Simba hii mbovu, Phiri akija Yanga anapelekwa Yanga B! Jana kafunga goli kindondokela tu kwa papara za kipa wa Ihefu kuwahi kutoka bila akili maana Kuna mabeki wawili wa Ihefu walikuwa wakimkaba na asingepiga! Diarra humfungi magoli ya short range kama lile, hutulia na kumsoma mfungaji!

Goli la Phiri Jana halikuwa goli la kiufundi kama yalivyo Yale magoli ya Max au Mayele!!

Hata goli la Baleke la kwanza Jana Simba vs Ihefu halikuwa la kiufundi! Na dizaini kama vile magoli ya Simba ni magoli ya kichawi! Magoli ya kichawi Huwa hayafuati formula ya goli linapatikanaje!! We utashtukia tu gooooal!! Mnabaki mnaulizana nani kafunga wakati wote mmetumbua macho mkiangalia mpira!

Simba imeshuka kiwango na kuwa sawa na timu zingine ndogo za ligi kuu, kinachoibeba ni juhudi binafsi za mchezaji mmoja mmoja, marefa na uchawi basi, ushindi wa Simba kwasasa ni wa tabu na kulazimisha. Timu zikikomaa kuifunga Simba mbovu marefa wanazilegeza!!

Ukitaka kujua mpira wa miguu ni kibarua kizito angalia mechi za Simba, ukitaka kujua mpira wa miguu ni rahisi na ni burudani angalia Yanga ikicheza na Skudu Makudubela akiwa uwanjani!!

Simba hii inapuliza kweli kweli japo haitasaidia kipigo Derby Kiko pale pale maana Yanga ni haki yetu kukaa kileleni na kubeba Tena kombe msimu wa tatu!!

Kama wewe ni kolo na hujakereka na hii comment piga makofi nikurushie vocha ya kujaza bando la kuingia JF!
Magoli ya kiufundi huwa yana point ngapi?. Mlishindwaje kuifunga Ihefu magoli ya kiufundi?. Mpira ni magoli, ufundi kwenye ujenzi na uselemala
 
Kumbe huijui Yanga na vikosi vyake, mechi na Ihefu kosa ni la kocha kufanya kamari kuidharau Ihefu kwa kupanga wazawa tupu eti kuwapa nafasi ya kucheza ila wakamlet down! Kosa lile hutaona likirudiwa na hutaona Yanga ikipoteza mechi ingine yoyote!

Just kidogo tu nikueleweshe, yaani huwezi kuweka nje wote Mudathir na Aucho katikati Huwa panadedi, lazima mmoja wao acheze, Hilo ndilo kosa la kiufundi mechi na Ihefu, roho ya Yanga Iko centre wala sio mbele au nyuma! Kumbe huijui Yanga Leo ndo nimejua!

Kumbe mbumbumbu kolowizard mkiangalia boli hamuelewi ufundi wowote mnashangilia magoli ya kindondokela ya Phiri tu!!
 
Phiri Hana mpira wowote kama walivyo wachezaji wengine wote wa Simba hii mbovu, Phiri akija Yanga anapelekwa Yanga B! Jana kafunga goli kindondokela tu kwa papara za kipa wa Ihefu kuwahi kutoka bila akili maana Kuna mabeki wawili wa Ihefu walikuwa wakimkaba na asingepiga! Diarra humfungi magoli ya short range kama lile, hutulia na kumsoma mfungaji!

Goli la Phiri Jana halikuwa goli la kiufundi kama yalivyo Yale magoli ya Max au Mayele!!

Hata goli la Baleke la kwanza Jana Simba vs Ihefu halikuwa la kiufundi! Na dizaini kama vile magoli ya Simba ni magoli ya kichawi! Magoli ya kichawi Huwa hayafuati formula ya goli linapatikanaje!! We utashtukia tu gooooal!! Mnabaki mnaulizana nani kafunga wakati wote mmetumbua macho mkiangalia mpira!

Simba imeshuka kiwango na kuwa sawa na timu zingine ndogo za ligi kuu, kinachoibeba ni juhudi binafsi za mchezaji mmoja mmoja, marefa na uchawi basi, ushindi wa Simba kwasasa ni wa tabu na kulazimisha. Timu zikikomaa kuifunga Simba mbovu marefa wanazilegeza!!

Ukitaka kujua mpira wa miguu ni kibarua kizito angalia mechi za Simba, ukitaka kujua mpira wa miguu ni rahisi na ni burudani angalia Yanga ikicheza na Skudu Makudubela akiwa uwanjani!!

Simba hii inapuliza kweli kweli japo haitasaidia kipigo Derby Kiko pale pale maana Yanga ni haki yetu kukaa kileleni na kubeba Tena kombe msimu wa tatu!!

Kama wewe ni mbumbumbu kolowizard na hujakereka na hii comment from utopolo og basi piga piga makofi uende peponi ila pia now now nikurushie vocha ya kujaza bando la kuingia JF!
Tambo Kama hizi mbele ya Simba ndizo huwaponza Sana nyie watu.
Ndio maana mkipigwa watu wanawakomalia Sana mitaan Sabab ya ngebe zenu.
Yanga ni timu nzuri Sana Ila haiwafanyi Wana yanga muibeze Simba maana mnaujua mziki wa Simba hasa akikutana na timu zinazojiona ni Bora mbele yake.

Niamin mm hii Simba unayoiona mbovu tar 5 inaweza kuwalaza na viatu na dalili naziona Waz kabisa japo Mimi nawapa 50/50. Baada ya hapo inawapelekea muishi kwa tabu Sana kitaa.

Punguzen kujiamin Sana mpira ni mgumu Sana hasa Simba na Yanga wakikutana.

Simba na Yanga Wana madaraja sawa Sasa huu ujasir wa kujiamin Sana mnautoa wap?
 
Kumbe huijui Yanga na vikosi vyake, mechi na Ihefu kosa ni la kocha kufanya kamari kuidharau Ihefu kwa kupanga wazawa tupu eti kuwapa nafasi ya kucheza ila wakamlet down! Kosa lile hutaona likirudiwa na hutaona Yanga ikipoteza mechi ingine yoyote!

Just kidogo tu nikueleweshe, yaani huwezi kuweka nje wote Mudathir na Aucho katikati Huwa panadedi, lazima mmoja wao acheze, Hilo ndilo kosa la kiufundi mechi na Ihefu, roho ya Yanga Iko centre wala sio mbele au nyuma! Kumbe huijui Yanga Leo ndo nimejua! Kumbe ukiangalia boli huelewi ufundi wowote unashangilia magoli tu!!
Msimu uliopita ulipopigwa na Simba 2-0 niambie ni kiungo gani alikosekana wa yanga kwa ile mechi.

Nyongeza hakuna timu isiyofungwa hapa dunian .
Ilikuwepo Barca yenye viungo Kama xav na iniesta na walikua Wana manuka vizur tu sembuse yanga ya aucho na mudadhir !!

Punguzen Tambo na ujuaji mwisho wa cku mnaishia kufa kwa presha
 
Ile mechi Ina mambo mengi,
1. Simba walinunua uchawi wa Nigeria mkatangaza kukafini maiti yaani benki ilivunjwa maana Simba ilibakiza kombe moja tu la kuifunga Yanga makombe mengine yote wanaume walishachukua
2. Refa mwanamke alipewa bahasha kuipendelea Simba. Simba goli la kwanza la kuvizia kwa kuanzisha kona bila filimbi ya refa aliekuwa akiangalia kwingineko akipanga wachezaji
3. Yanga haikuwa na morali maana tulishabeba NBC premier league kabla ya ligi kumalizika na Ile mechi haikuwa priority!
4. Kiufundi Ibra Baka hakucheza, mngepita wapi?
5. Hebu tufungeni Tena 2 - 0 this coming Derby!!
 
Kumbe huijui Yanga na vikosi vyake, mechi na Ihefu kosa ni la kocha kufanya kamari kuidharau Ihefu kwa kupanga wazawa tupu eti kuwapa nafasi ya kucheza ila wakamlet down! Kosa lile hutaona likirudiwa na hutaona Yanga ikipoteza mechi ingine yoyote!

Just kidogo tu nikueleweshe, yaani huwezi kuweka nje wote Mudathir na Aucho katikati Huwa panadedi, lazima mmoja wao acheze, Hilo ndilo kosa la kiufundi mechi na Ihefu, roho ya Yanga Iko centre wala sio mbele au nyuma! Kumbe huijui Yanga Leo ndo nimejua!

Kumbe mbumbumbu kolowizard mkiangalia boli hamuelewi ufundi wowote mnashangilia magoli ya kindondokela ya Phiri tu!!
Na msimu uliopita mlivyofungwa na ihefu kosa lilikuwa la kocha ?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Ile mechi Ina mambo mengi,
1. Simba walinunua uchawi wa Nigeria mkatangaza kukafini maiti yaani benki ilivunjwa maana Simba ilibakiza kombe moja tu la kuifunga Yanga makombe mengine yote wanaume walishachukua
2. Refa mwanamke alipewa bahasha kuipendelea Simba. Simba goli la kwanza la kuvizia kwa kuanzisha kona bila filimbi ya refa aliekuwa akiangalia kwingineko akipanga wachezaji
3. Yanga haikuwa na morali maana tulishabeba NBC premier league kabla ya ligi kumalizika na Ile mechi haikuwa priority!
4. Kiufundi Ibra Baka hakucheza, mngepita wapi?
5. Hebu tufungeni Tena 2 - 0 this coming Derby!!

Unajiona UNAAKILI TIMAMU kumbe JUHA.

Aibu NAONA mimi
 
images (2) (1) (1).jpeg
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Phili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.

Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.

Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.

(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).

Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.

UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.

2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.

3. Hafai kuwa hata Target man.

4. Anakuwa Off position ya No 10.

5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.

6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.

7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1

8. Majeraha ya mara kwa mara.

NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu

UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.

JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.

Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.

NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.
Wanaomtetea MP waje wajibu hzi hoja
 
Kumbe huijui Yanga na vikosi vyake, mechi na Ihefu kosa ni la kocha kufanya kamari kuidharau Ihefu kwa kupanga wazawa tupu eti kuwapa nafasi ya kucheza ila wakamlet down! Kosa lile hutaona likirudiwa na hutaona Yanga ikipoteza mechi ingine yoyote!

Just kidogo tu nikueleweshe, yaani huwezi kuweka nje wote Mudathir na Aucho katikati Huwa panadedi, lazima mmoja wao acheze, Hilo ndilo kosa la kiufundi mechi na Ihefu, roho ya Yanga Iko centre wala sio mbele au nyuma! Kumbe huijui Yanga Leo ndo nimejua!

Kumbe mbumbumbu kolowizard mkiangalia boli hamuelewi ufundi wowote mnashangilia magoli ya kindondokela ya Phiri tu!!
Goli ambalo halikuwa la ndondokela ni la Kibu denisi na Inonga
Zile 2 kwa [emoji48]
 
Hilo swali nimemjibu mwenzako kitambo sana humu humu na kaishiwa hoja katulia we kolowizard ndo umekurupuka nalo mda huu. Goli la Feitoto Kirumba ni mara mbili ya goli la Kibu na liliwalaza na viatu na goli la Bishoo Inonga lilipatikana kwa Simba kupiga Kona ya kimagumashi na kuvizia kupiga Kona bila filimbi ya refa!

Jiangalie mbumbumbu una tatizo la kuwa nyuma ya mda! Angalia usirithishe wanao tabia hiyo!

Kolo be careful Kuna siku utaamka ukimbie mbio Msimbazi kwenye sanamu la Rage mwenye akili peke yake Simba kuwahi pepa ya "national exam" unakutana na kina Kibu kukurukakara , Mzee Boko, Mzee Saidoo, Bishoo Inonga na Ayubu mdaka panzi wanarudi home, washakufa kiume kwa kushindwa maswali , pepa ishapigwa!!

Nawakumbusha wanathimba Makolokwinyo mbumbumbu wahed kuwa hamna kombe lolote hata la kuku kwa misimu miwili na huu ni wa tatu! Kwasasa inachoweza Simba ni kusindikiza madume ya mamba kwenye safari zao za ligi!! Ngao ya jamii ni mbao ya kupewa baada ya mechi mbili tu sio marathon kombe la ligi! Sasa Simba pigeni mavuvuzela tani yenu jisifuni tani yenu ila Yanga gari limewaka na Yanga inasema, Max Nzengeli and Ki Aziz actions speak louder than makelele ya Simbas!

Hatuoni Tena nyuzi za Simba kujisifia kufurushwa safari ya madume ya mamba ya African Super cup league! Simba wote kimyaaaa mavuvuzela chini ya uvungu, ila tulishasema sana Simba ni debe tupu fc litavuma Dunia nzima ila mechi zake mbili tu na ikawa kama Kawa mkafa kiume kwa mara nyingine Tena!

Yanga oyeee!
 
Wanaomtetea MP waje wajibu hzi hoja
Phiri atetewi na mtu bali anajitetea mwenyewe, point sita za Simba kwenye mechi ngumu ni Phiri ndiye aliyezikusanya kwa utulivu wake na shabaha la goli. Mimi sio mshabiki wa Simba ila huyo jamaa ana chuki na Phiri pamoja na Usimba wake.
Sijui Phiri akifunga huwa anainuka kushangilia au ana kunja sura.
 
Sema na Kocha wa Simba Robertinho ana zingua sana , kikosi chale kile like tu, hata timu pinzani inaweza kujua kikosi chako, hao wachezaji wengine hadi viwango vitashuka.

Nadhan Robertinho ni muoga sana kufungwa anaamini hiko kikosi ndo hakiwezi fungwa.
Wachezaji kama Chilunda, miquison, Phiri, hata mabeki lazma wakitoka bench viwango vyao vitakuwa viko chini ,coz hawatokuwa na Match fitness
Hatari zaidi ni Kwa beki ..yaani hamna mbadala, hivi suppose inafika makundi Kapombe na Shabalala wanaumia! Hapo Mwenda,aDuchu na wengine wataanza upya ,yaani Mechi dhidi ya Ahly wachezaji haohao...dhidi ya Lipuli wachezaji haohao! Inashangaza kidogo!
 
Bahati Mbaya unakubali kuongozwa na kipofu Mwenzio.

Boko ndio mshambuliaji Bora na mfungaji bora Ligi KUU Tanzania kwa Miaka yote.

changamoto alinayo Boko ni Umri tu
Sasa kama tutaamua kuishi kwenye historia kwanini team ya taifa tusimuite Ngassa.?

Bocco ni mshambuliaji bora kwenye makaratasi na historia ila SIO SASA, na kama hafanyi aliyokuwa anayafanya zamani, tunamtunza kwenye team yetu Simba Sc ili hiyo historia yake itusaidie nini.?

Bocco amepitwa na wakati, na hakuna yoyote ile unayoweza kuitumia kueleza kuwa Bocco ni bora kuliko Phiri.
 
MP apewe walau game moja acheze 45mns apate game fitness.. Rotation ya wachezaji ina faida katika kujenga teamwork!
 
Back
Top Bottom