Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Hela zimeibwa wapi? Unaongea jumla jumla tu, lile jengo la Masaki walilonunia chadema unajua cha juu ilipigwa ngapi na nani aliichukua?
Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si za Samia na hatimaye kupelekea kuibiwa hela ovyoovyo.
Nchi ya Tanzania ina utajiri wa kutisha sana wa rasilimali lakini tupatapo viongozi wanaoshindwa kuwachukulia hatua wezi wa mali za umma huyu Rais atakuwa ameshindwa kazi yake.
Mwaka mpya unaanza ninamuomba Samia asimamie kwa ukali Sana mali za umma ziwanufaishe watanzania woote asiruhusu kila mtu ale lakini pia awakanye machawa wanaosema yeye kafanya wakati hana utajiri hata wa kujenga km 100 za lami huu mtindo aukomeshe utaua Taasisi za nchi.
Cha ajabu mtoa post alikuwa mmoja wa misukule sifia ya JPM, na wala hakukemea kauli za kusema Magu kafanya, ingawa kimsingi ni serikali wala si mtu binafsi Kama machawa wanavyo ichukulia.Huu ujinga wa kisifia sana rais ulianza kipindi Cha kipenzi chetu magufuli Samia naye akaiga
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Tuambie...Hela zimeibwa wapi? Unaongea jumla jumla tu, lile jengo la Masaki walilonunua chadema unajua cha juu ilipigwa ngapi na nani aliichukua?
Na mlikuwa hamuambiwi la muadhini wala la Mnadi swala.Huu ujinga wa kisifia sana rais ulianza kipindi Cha kipenzi chetu magufuli Samia naye akaiga
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Huyu Hana uwezo wa kusimamia. Narudia Hana uwezo wa kusimamia na Hana Nia nzur na nchiNinaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si za Samia na hatimaye kupelekea kuibiwa hela ovyoovyo.
Nchi ya Tanzania ina utajiri wa kutisha sana wa rasilimali lakini tupatapo viongozi wanaoshindwa kuwachukulia hatua wezi wa mali za umma huyu Rais atakuwa ameshindwa kazi yake.
Mwaka mpya unaanza ninamuomba Samia asimamie kwa ukali Sana mali za umma ziwanufaishe watanzania woote asiruhusu kila mtu ale lakini pia awakanye machawa wanaosema yeye kafanya wakati hana utajiri hata wa kujenga km 100 za lami huu mtindo aukomeshe utaua Taasisi za nchi.
Fact 100%Nchi hii haiwezi kupata maendeleo kwa sabsbu imejaa watu wengi wenye kiwango kidogo sana cha akili. Fikiria nchi iwe na watu wengi wa kiwango cha akili kama cha Mwashambwa, unatarajia nchi kama hiyo inaweza kuwa na maendeleo yoyote?
Hawa machawa wa kiwango cha akina Mwashambwa au Variable, ni watu ambao kutokana na kiwango kidogo cha akili hawana uwezo wa hamudu hata kununua suaruali nzuri kwa pesa yao halali waliyoitolea jasho. Hivyo wanaamua kuwa machawa ili angalo waweze kupata pesa ya kununua suruali au shati.
Na bahati mbaya, watawala dhaifu huwapenda watu kama hawa wakiamini wanawavuta watu kumbe kiuhalisia wanawafhalilisha watawala. Ni sawa litokee jambazi lianze kukusifia, lazima watu wema watakuwekea mashaka.