Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Sawa...Ndio mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...Ndio mkuu
Kuna jambo la msingi sana umeligusia hapa, siasa sio jukumu pekee la viongozi wa siasa. Hii ndio sababu watu wanataka (wenyewe wakila na kunywa majumbani mwao) wawaone akina Mbowe na Zito wanatifuana na Serikali.Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka.
Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki.
Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao.
Matokeo yake ni wanasiasa ndiyo wanapanga watupe nini badala ya sisi kuwataka watupe tunachotaka.
Ndani ya vyama vyote vya siasa kujiunga na chama ni hiyari kama ilivyo kutoka.
Lakini hizo zinazoitwa Kamati Kuu huwa zinajiamulia mambo kuhusu vyama vyao bila ya kuwashirikisha wanachama wao na milango ya kuhoji kwa wanachama wa kawaida ama imefungwa au iko mbali sana kufikiwa.
Sasa Msigwa amekuwa kama samaki aliyevuliwa na Kamati Kuu ya CCM.
Kamati Kuu ya CCM Sasa ndiyo inayoamua imtumieje Msigwa dhidi ya CHADEMA na wala si wanachama wa kawaida.
Kama kwenye "makubaliano" yao Msigwa atapewa nafasi fulani basi hakuna mwana CCM anayeweza kuzuia au kukataa.
Kwa ivo mvuvi ndiyo huamua kama samaki auzwe au aliwe supu.
NEC yote ilijaa furaha na bahasha pamoja na mwenyekiti wao waliimba na kucheza kweli kweli wakati wakinpokea msigwaKuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka.
Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki.
Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao.
Matokeo yake ni wanasiasa ndiyo wanapanga watupe nini badala ya sisi kuwataka watupe tunachotaka.
Ndani ya vyama vyote vya siasa kujiunga na chama ni hiyari kama ilivyo kutoka.
Lakini hizo zinazoitwa Kamati Kuu huwa zinajiamulia mambo kuhusu vyama vyao bila ya kuwashirikisha wanachama wao na milango ya kuhoji kwa wanachama wa kawaida ama imefungwa au iko mbali sana kufikiwa.
Sasa Msigwa amekuwa kama samaki aliyevuliwa na Kamati Kuu ya CCM.
Kamati Kuu ya CCM Sasa ndiyo inayoamua imtumieje Msigwa dhidi ya CHADEMA na wala si wanachama wa kawaida.
Kama kwenye "makubaliano" yao Msigwa atapewa nafasi fulani basi hakuna mwana CCM anayeweza kuzuia au kukataa.
Kwa ivo mvuvi ndiyo huamua kama samaki auzwe au aliwe supu.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa
Sisi machawa na wapambe tutakula wapi?
Nikuuze au nikukule supu..Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa
Weeeeeehhh lakuuliza hilo kweli utani huo ujuee 😁Nikuuze au nikukule supu..
Achague tundu alitakalo siyo?Weeeeeehhh lakuuliza hilo kweli utani huo ujuee 😁
Nikule tani yakoooo
Nikule popote utakapooo😋😛
2025 imeshafika?
Kwa bahati mbaya hana mvuto wa kuichafua cdm, bali ataonekana kichekesho tu.Na yeye mwenyewe ameshasema kuwa apewe fungu la fedha ili atembee nchi nzima kuichafua Chadema hadi ikifika 2025 kila mtu aichukie Chadema. Ameamua kuwa mzee wa kazi chafu.
Lo Wee ni mwehu ujue! HahaBasi Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu.
Inatukumbusha tapeli alivyoanza mazungumzo na lowasa miaka mitatu kabla ya hiyo 2015 bila viongozi wenzake wa chama kuwa na taarifa.Hii Ina maana gani!??
Kweli kwenye Siasa hakua Adui wala Rafiki wa kudumu, Msigwa na Kasesela walikuwa na uadui kipindi cha nyuma hivi sasa watamaliza tofauti zao na kuwa Marafiki.Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka.