Godman
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 423
- 650
Kumbuka pia baadhi ya hayo Majembe yenyewe yalikuwa CCM kabla ya kuwa CDM hivyo Majembe yamerudi Nyumbani.kilichojichojitokeza ccm imechoka, kazi iliyobaki ni kuiba majembe kutoka upinzani tena Chadema. Bravo CDM kuzalisha majembe mengi yote yamefunika ccm.