Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu

Kuna jambo la msingi sana umeligusia hapa, siasa sio jukumu pekee la viongozi wa siasa. Hii ndio sababu watu wanataka (wenyewe wakila na kunywa majumbani mwao) wawaone akina Mbowe na Zito wanatifuana na Serikali.
Siasa ni suala la kila mtu, watu wanapaswa kufanya tathmini ya mazuri na mabaya ya Serikali iliyo madarakani na waweze kujua kipi cha kufanya wakati wa uchaguzi. Viongozi wa vyama vya siasa huja kukoleza tu hoja. Sisi (Tz) tumewaachia kila kitu wanasiasa.
 
NEC yote ilijaa furaha na bahasha pamoja na mwenyekiti wao waliimba na kucheza kweli kweli wakati wakinpokea msigwa

Kama vile walishakata tamaa sasa wamepata mkombozi

Hii inadhihira kuwa wanahofu na hajiamini kumpata mtu Toka upande ule ni kama ngekewa akawatie ujasori
Na kurudisha imani


Hakika inatakiwa nguvu kidogo tu kuwangoa
 
Hana ishu..Msigwa ni hamnazo na ninamuona yuko stressed ila hana madhara yoyote ame bipu nguvu ya umma na atapigiwa....Waliwahi kuwepo akina Zito na akina Chagulani na wengineo huko waliamini wao ni zaidi ya CHADEMA waliiacha na ikaimarika mno
 
Na yeye mwenyewe ameshasema kuwa apewe fungu la fedha ili atembee nchi nzima kuichafua Chadema hadi ikifika 2025 kila mtu aichukie Chadema. Ameamua kuwa mzee wa kazi chafu.
Kwa bahati mbaya hana mvuto wa kuichafua cdm, bali ataonekana kichekesho tu.
 
kilichojichojitokeza ccm imechoka, kazi iliyobaki ni kuiba majembe kutoka upinzani tena Chadema. Bravo CDM kuzalisha majembe mengi yote yamefunika ccm.
 
Kweli kwenye Siasa hakua Adui wala Rafiki wa kudumu, Msigwa na Kasesela walikuwa na uadui kipindi cha nyuma hivi sasa watamaliza tofauti zao na kuwa Marafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…