Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu

kilichojichojitokeza ccm imechoka, kazi iliyobaki ni kuiba majembe kutoka upinzani tena Chadema. Bravo CDM kuzalisha majembe mengi yote yamefunika ccm.
Kumbuka pia baadhi ya hayo Majembe yenyewe yalikuwa CCM kabla ya kuwa CDM hivyo Majembe yamerudi Nyumbani.
 
Yuko wapi upendo peneza amebaki kama mboga tu pale LUMUMBA Hana impact tena wa Hana please yoyote ni msimu wa msigwa Kama ilivyo tu Kule jangwani wanamfulahia chama utazani sio chama yule wa siku zote
 
Weye ni miongoni mwa mwandamizi wa chadema. Na kwamba ukiongea unasikilizwa. Lkn andiko lako laonyesha jinsi ulivyakata tamaa. Nadhani kwasasa unasubiri kauli ya Lissu ili uendelee na siasa ndani ya chadema au kutumikia chama kingine ukimsubiri mvuvi
 
Mchuuzi
Hata historia ya siasa za nchi hii huijui. Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulifanyika mwaka 1994.

Onesha ni wapi CHADEMA ililalamika kuhusu uchaguzi huo!?
Hakuna uchaguzi wowote mkuu uliofanyika 1994
 
Na yeye mwenyewe ameshasema kuwa apewe fungu la fedha ili atembee nchi nzima kuichafua Chadema hadi ikifika 2025 kila mtu aichukie Chadema. Ameamua kuwa mzee wa kazi chafu.
Anachohitaji ni posho ili maisha yaende sasa ili kujustufy posho lazima kazi iwepo na kazi inayoweza kuhahalisha apewe poshi bila wana CCM kuhoji sana ni kazi ya kuisema CHADEMA ; nje ya CHASEMA atasema nini. Kumbuka siasa ni ajira hapa bongo.
 
Binafsi sikuwahi kumkubali huyu mtu kwa miaka mingi sana!
Alikuwa na tabia zote kama za Zitto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…