Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mchepuko mwingine huyu hapa.... Mpaka amalize muda Hersi atakuwa amewachapa nao sana.Unateseka ukiwa wapi ewe kolo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko mwingine huyu hapa.... Mpaka amalize muda Hersi atakuwa amewachapa nao sana.Unateseka ukiwa wapi ewe kolo?
Zingatia tarehe!Chanzo chako cha taarifa ni kipi kwa msimu wa 2023/24?
Nafaham bajeti hupitishwa kwenye mkurano mkuu wa kila mwaka na Simba bado hawajakaa mkutano wa mwaka huu 2023/24.
Bajeti hiyo unayosema ya bil 17 ni ya msimu huu ulioisha wa 2022/23.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamepindua meza kwa bil 11 zaidi. Najiuliza, nani kapitisha bajeti hii?View attachment 2669783
Muddy anawafanyeje?Mchepuko mwingine huyu hapa.... Mpaka amalize muda Hersi atakuwa amewachapa nao sana.
Tuongee ukweli tuache ushabiki,naomba upitie ile taarifa yao Yanga siku ya mkutano,katika mapato yao waliyoingiza kuna sehemu wanasema kuna mkopo wa Bilioni 4 wamekopa,na katika matumizi yao wanasema wametumia bilioni 16 na pointi zake,inamaana wamepata faida ya Milioni mia Tano,sasa naomba turudi shule sasa kama uwezi mtafute mchumi ama dogo anayesoma masomo ya biashara sekondari akupe darasa katika upangaji wa hesabu kiuhasibu,pale yanga walipata hasara wakaona tukisema hasara itakuwa aibu ikabidi wakope ili kuficha hasara iliyopo,pitia vizuri ile taarifa yao vizuriHakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!
Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.
Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.
Yote ni nini ? Ni uongo uongo tu na kutafuta shortcuts, kupenda kusifiwa upuuzi mitandaoni na kutafuta ukubwa wa fix wasiokuwa nao.
Hope Jana Kuna fundisho kwa Watu wa football ,Uongozi sio lazma uongope na kuishi kwa ndoto za Alinacha,na itupe fundisho kubwa, kuendesha Club ya Mpira kunahitaji maarifa, sio umri mkubwa kama Unju bin Unuki.Masela wapo byeee kuliko Matarabushi
Yanga Bajeti yao ya msimu ulioisha ni kubwa zaidi ya Bajeti ya Team zote za Ligi kuu ya Kenya,na kama mjuavyo msimu ujao Bajeti yao itakuwa kubwa maradufu.
Nb:; Kiufupi Dar es salaam Young Africans inaweza kuinunua Dunduka fc na chenji ikabaki,,
Jumapili njema Wananchi,,nyie wengine ajuae Mungu"
Manara.
Kwahiyo unataka kusema makampuni makubwa yote yenye mikopo kwamba wanapata hasara kisa wamekopa? Kwahiyo wewe ukikopa bank na huku ukiwa unafanya biashara means hauwezi kupata faida? Nenda kaone bodaboda waliokopa pikipiki wanarudisha pesa za boss wao na wao wanapata faida ya kula na familia.Tuongee ukweli tuache ushabiki,naomba upitie ile taarifa yao Yanga siku ya mkutano,katika mapato yao waliyoingiza kuna sehemu wanasema kuna mkopo wa Bilioni 4 wamekopa,na katika matumizi yao wanasema wametumia bilioni 16 na pointi zake,inamaana wamepata faida ya Milioni mia Tano,sasa naomba turudi shule sasa kama uwezi mtafute mchumi ama dogo anayesoma masomo ya biashara sekondari akupe darasa katika upangaji wa hesabu kiuhasibu,pale yanga walipata hasara wakaona tukisema hasara itakuwa aibu ikabidi wakope ili kuficha hasara iliyopo,pitia vizuri ile taarifa yao vizuri
Acha kupotosha, asilimia 70 ya thamani ya hisa za simba? Kwani hisa zote za simba zina thamani kiasi gani?.
Kupitia hapo Yanga sasa inaweza kugenerate fund ambayo ni sawa na asilimia 70% ya thamani ya hisa za timu ya Simba SC,
(Pichani ni Genius Eng Hersi Said)View attachment 2668171
Kaka usistuke kusikia bajeti, kwani si ni mtu tu anaamua kutaja figure yoyote, hata azam wakiamua watasema bajeti yao ni bil30Yanga siwapendi Tena nawachukia ila Kuna mambo wanafanya wanafumbua macho wanasimba ambao ni bendera fata upepo.
Hiyo bajeti ni sawa na hisa walizouza Simba kwa mwekezaj wa mchongo
Thamani halisi haifahamiki na Independent source.Acha kupotosha, asilimia 70 ya thamani ya hisa za simba? Kwani hisa zote za simba zina thamani kiasi gani?
Hii thamani aliyosema ni ya mwaka gani? Au thamani ya simba always remain constant?Thamani halisi haifahamiki na Independent source.
Lakini kwa mujibu wa Moo ni shilingi za Kitanzania bilioni 39.215686274509.
Kiasi hiki kimepatikana kwa bilioni 20 ( kiasi cha fedha alicho offer kwa MBUMBUMBU FC kwa ajili ya 51% ya share, ingawa Serikali tukufu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilimbania ikamlazimisha achukue 49% tu) KUZIDISHA NA 100 (asilimia ya share zote za MBUMBUMBU FC) halafu GAWA (GAWANYA) KWA 51 (asilimia ya share alizo accept, ingawa amepata 49% tu).
So 70% ya thamani ya share za klabu ni 0.7 x 39,215686274509 ambayo ni TZS 27,450,980,392.16
Muulizaji hakuuliza thamani ya mwaka gani.Hii thamani aliyosema ni ya mwaka gani? Au thamani ya simba always remain constant?