Msimu 2023/24: Bajeti Yanga Bil 20, Bajeti Simba Bil 13.

Yanga hakunaga Janja Janja.

Mabo yako wazi.

Angekuwa yule aliyesema amewekeza Bilioni 20 angekuwa tushamfukuza huku...Maana wahuni wangetaka kuona ziko wapi!

Kongole kwa Dar es salaam Young Africans SC kwa
kuonyesha njia ya uwazi ktk Mapato na. matumizi.
 
Biashara ambayo ilikiwa ya hasara ktk misimu iliyopita leo hii watu makini wameanza kumake profit sio mbaya.

Ni mwanzo tu baadaye mtaanza kuona profit kubwa kubwa za mabilioni ambazo mnataka kuziona.
 
Yanga hakunaga Janja Janja.

Mabo yako wazi.

Angekuwa yule aliyesema amewekeza Bilioni 20 angekuwa tushamfukuza huku...Maana wahuni wangetaka kuona ziko wapi!

Kongole kwa Dar es salaam Young Africans SC kwa
kuonyesha njia ya uwazi ktk Mapato na. matumizi.
Mmelipa madeni ya watu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Timu ya wanawake inawadai mishahara hapo hatuoni katika taarifa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una tarajia Klabu ya kwanza Tanzania kumake profit thruogh football bussines waweze kulipa mishahara ya Diarra, Mayele, Aziz Ki....

Washindwe kulipa laki tatu tatu za mademu...

Kikwete alisema akili za kuambiwa ongezea na za kwako mwenyewe.[emoji1]
 
Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!

Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.

Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.

Yote ni nini ? Ni uongo uongo tu na kutafuta shortcuts, kupenda kusifiwa upuuzi mitandaoni na kutafuta ukubwa wa fix wasiokuwa nao.

Hope Jana Kuna fundisho kwa Watu wa football ,Uongozi sio lazma uongope na kuishi kwa ndoto za Alinacha,na itupe fundisho kubwa, kuendesha Club ya Mpira kunahitaji maarifa, sio umri mkubwa kama Unju bin Unuki.Masela wapo byeee kuliko Matarabushi

Yanga Bajeti yao ya msimu ulioisha ni kubwa zaidi ya Bajeti ya Team zote za Ligi kuu ya Kenya,na kama mjuavyo msimu ujao Bajeti yao itakuwa kubwa maradufu.

Nb:; Kiufupi Dar es salaam Young Africans inaweza kuinunua Dunduka fc na chenji ikabaki,,

Jumapili njema Wananchi,,nyie wengine ajuae Mungu"

Manara.
 
Naanza kuona matunda ya Uongozi wa Eng Hersi Saidi. Alipoingia Yanga alikuta timu iko kwenye bajeti ya Bil 6. Kwa uongozi wake mathubuti jamaa ameweze kuibua vyanzo lukuki vya mapato.

Mpaka sasa Yanga ina wafadhili 9. Idadi kubwa ya independent sponsors kuliko klavu yeyote hapa Afrika Mashariki.

Kupitia hapo Yanga sasa inaweza kugenerate fund ambayo ni sawa na asilimia 70% ya thamani ya hisa za timu ya Simba SC, tena kwa msimu na wala sio lifetime.

Wakati Simba SC ikiwa na Matarajio ya Bajeti ya Tsh Bilion 13 katika msimu ujao, wenzako wameandaa Bilion 20 kama Bajeti. Hapa tunazungumzia Bilion 7 zaidi.

Yanga inaendelea kuchochora mawinguni in terms of mapato, taarifa zinaonyesha Gate collection Yanga imeongoza kwa msimu wa 3 mfululizo, kwenye upande wa sponsorship deals ndio usiseme, huko kwenye prize money ndio wameziokota vibaya mno.

Naiona Yanga SC ikifikia ndoto za kuwa Klabu ya Millenium mapema zaidi kuliko klabu yeyote ile kusini mwa Jangwa la sahara.

Shukrani ziwafikie Viongozi wote wa klabu kwa kutufikisha hatua hii ya mfano ambayo inatamaniwa na walio wenye, mmepambana kwenye kila idara kuhakikisha mambo yako perfect.

(Pichani ni Genius Eng Hersi Said)View attachment 2668171
The club above all
 
Icho kichwa ni balaa, kina mangungu wanatafutana uko, kuiga mazuri sio dhambi viongozi wa yanga wanaendelea kutoa somo zuri kwa vilabu vyote kuwa enzi za propaganda tupu zimekwisha na sasa ni vitendo tu, uhalisia unaonekana kwa kila timu inachokifanya mwenye macho aambiwi tazama!
 
Kuongea ongea tu bila kuweka nyaraka za uthibitisho ndio upoyoyo wenyewe
 
Icho kichwa ni balaa, kina mangungu wanatafutana uko, kuiga mazuri sio dhambi viongozi wa yanga wanaendelea kutoa somo zuri kwa vilabu vyote kuwa enzi za propaganda tupu zimekwisha na sasa ni vitendo tu, uhalisia unaonekana kwa kila timu inachokifanya mwenye macho aambiwi tazama!
[emoji3578]
 
Yanga siwapendi Tena nawachukia ila Kuna mambo wanafanya wanafumbua macho wanasimba ambao ni bendera fata upepo.
Hiyo bajeti ni sawa na hisa walizouza Simba kwa mwekezaj wa mchongo
hisa za simba 2015/16 ndio zilikua na thamani hio ya 20bil kwa 49%, thamani ya club ilikua almost 40b.....

ukienda leo kuuliza usishangae thamani ya simba ikawa ni zaidi ya bil 80.......
 
Wakati Simba SC ikiwa na Matarajio ya Bajeti ya Tsh Bilion 13 katika msimu ujao, wenzako wameandaa Bilion 20 kama Bajeti. Hapa tunazungumzia Bilion 7 zaidi.
Chanzo chako cha taarifa ni kipi kwa msimu wa 2023/24?
Nafaham bajeti hupitishwa kwenye mkurano mkuu wa kila mwaka na Simba bado hawajakaa mkutano wa mwaka huu 2023/24.
Bajeti hiyo unayosema ya bil 17 ni ya msimu huu ulioisha wa 2022/23.
 
Naanza kuona matunda ya Uongozi wa Eng Hersi Saidi. Alipoingia Yanga alikuta timu iko kwenye bajeti ya Bil 6. Kwa uongozi wake mathubuti jamaa ameweze kuibua vyanzo lukuki vya mapato.

Mpaka sasa Yanga ina wafadhili 9. Idadi kubwa ya independent sponsors kuliko klavu yeyote hapa Afrika Mashariki.

Kupitia hapo Yanga sasa inaweza kugenerate fund ambayo ni sawa na asilimia 70% ya thamani ya hisa za timu ya Simba SC, tena kwa msimu na wala sio lifetime.

Wakati Simba SC ikiwa na Matarajio ya Bajeti ya Tsh Bilion 13 katika msimu ujao, wenzako wameandaa Bilion 20 kama Bajeti. Hapa tunazungumzia Bilion 7 zaidi.

Yanga inaendelea kuchochora mawinguni in terms of mapato, taarifa zinaonyesha Gate collection Yanga imeongoza kwa msimu wa 3 mfululizo, kwenye upande wa sponsorship deals ndio usiseme, huko kwenye prize money ndio wameziokota vibaya mno.

Naiona Yanga SC ikifikia ndoto za kuwa Klabu ya Millenium mapema zaidi kuliko klabu yeyote ile kusini mwa Jangwa la sahara.

Shukrani ziwafikie Viongozi wote wa klabu kwa kutufikisha hatua hii ya mfano ambayo inatamaniwa na walio wenye, mmepambana kwenye kila idara kuhakikisha mambo yako perfect.

(Pichani ni Genius Eng Hersi Said)View attachment 2668171
Wamepindua meza kwa bil 11 zaidi. Najiuliza, nani kapitisha bajeti hii?
Screenshot_20230626-214256.jpg
 
hisa za simba 2015/16 ndio zilikua na thamani hio ya 20bil kwa 49%, thamani ya club ilikua almost 40b.....

ukienda leo kuuliza usishangae thamani ya simba ikawa ni zaidi ya bil 80.......
Simba haijawahi kuthaminishwa hii ni kwa mujibu WA wajumbe waliosimamia mchakato WA mabadiliko
 
hisa za simba 2015/16 ndio zilikua na thamani hio ya 20bil kwa 49%, thamani ya club ilikua almost 40b.....

ukienda leo kuuliza usishangae thamani ya simba ikawa ni zaidi ya bil 80.......
Watu wengi wanachukulia thamani ya Simba wakati huu ambapo tayari watu wametoa pesa zao na kusababisha ingae zaidi.

Ni sawa ukute sehemu nyumba ya udongo ukubaliane na wahusika wakupe thamani ya hiyo nyumba mgawane nusu., Baada ya kuendeleza wanajitokeza vichaa na kudai thamani ya nyumba hiyo iliyoendelezwa ni ile ile ya mwanzo au wengine wadai wakurudishie pesa
 
Back
Top Bottom