Msimu 2023/24: Bajeti Yanga Bil 20, Bajeti Simba Bil 13.

Chanzo chako cha taarifa ni kipi kwa msimu wa 2023/24?
Nafaham bajeti hupitishwa kwenye mkurano mkuu wa kila mwaka na Simba bado hawajakaa mkutano wa mwaka huu 2023/24.
Bajeti hiyo unayosema ya bil 17 ni ya msimu huu ulioisha wa 2022/23.
Zingatia tarehe!
 
Tuongee ukweli tuache ushabiki,naomba upitie ile taarifa yao Yanga siku ya mkutano,katika mapato yao waliyoingiza kuna sehemu wanasema kuna mkopo wa Bilioni 4 wamekopa,na katika matumizi yao wanasema wametumia bilioni 16 na pointi zake,inamaana wamepata faida ya Milioni mia Tano,sasa naomba turudi shule sasa kama uwezi mtafute mchumi ama dogo anayesoma masomo ya biashara sekondari akupe darasa katika upangaji wa hesabu kiuhasibu,pale yanga walipata hasara wakaona tukisema hasara itakuwa aibu ikabidi wakope ili kuficha hasara iliyopo,pitia vizuri ile taarifa yao vizuri
 
Kwahiyo unataka kusema makampuni makubwa yote yenye mikopo kwamba wanapata hasara kisa wamekopa? Kwahiyo wewe ukikopa bank na huku ukiwa unafanya biashara means hauwezi kupata faida? Nenda kaone bodaboda waliokopa pikipiki wanarudisha pesa za boss wao na wao wanapata faida ya kula na familia.
 
.

Kupitia hapo Yanga sasa inaweza kugenerate fund ambayo ni sawa na asilimia 70% ya thamani ya hisa za timu ya Simba SC,



(Pichani ni Genius Eng Hersi Said)View attachment 2668171
Acha kupotosha, asilimia 70 ya thamani ya hisa za simba? Kwani hisa zote za simba zina thamani kiasi gani?
 
Yanga siwapendi Tena nawachukia ila Kuna mambo wanafanya wanafumbua macho wanasimba ambao ni bendera fata upepo.
Hiyo bajeti ni sawa na hisa walizouza Simba kwa mwekezaj wa mchongo
Kaka usistuke kusikia bajeti, kwani si ni mtu tu anaamua kutaja figure yoyote, hata azam wakiamua watasema bajeti yao ni bil30
 
Tatizo letu Simba Ni kwamba mashabiki tunao wengi Ila hakuna aliye tayari kuchangia team.
Tofauti na wakubwa zetu mabingwa wa makombe matatu. Utaikuta mpenzi wa Yanga wa kipato Cha chini kabisa lakini haachi kuchangia timu angalau elfu hamsini kwa mwaka.
Huyu Muddy nae kumbe Hana pesa.
 
Acha kupotosha, asilimia 70 ya thamani ya hisa za simba? Kwani hisa zote za simba zina thamani kiasi gani?
Thamani halisi haifahamiki na Independent source.
Lakini kwa mujibu wa Moo ni shilingi za Kitanzania bilioni 39.215686274509.
Kiasi hiki kimepatikana kwa bilioni 20 ( kiasi cha fedha alicho offer kwa MBUMBUMBU FC kwa ajili ya 51% ya share, ingawa Serikali tukufu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilimbania ikamlazimisha achukue 49% tu) KUZIDISHA NA 100 (asilimia ya share zote za MBUMBUMBU FC) halafu GAWA (GAWANYA) KWA 51 (asilimia ya share alizo accept, ingawa amepata 49% tu).
So 70% ya thamani ya share za klabu ni 0.7 x 39,215686274509 ambayo ni TZS 27,450,980,392.16
 
Hii thamani aliyosema ni ya mwaka gani? Au thamani ya simba always remain constant?
 
Hii thamani aliyosema ni ya mwaka gani? Au thamani ya simba always remain constant?
Muulizaji hakuuliza thamani ya mwaka gani.
Asset ina historical cost (value) na Revaluation cost (value), mjibuji ametumia uhuru wake kuchagua ajibu kwa kigezo kipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…