Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

Hiko ndiko ninacho kiona.

Improvement yao ni ndogo sana kiuhalisia ukilinganisha na Bilion 1.3, tofauti kabisa na namna uisikiapo midomoni mwa mashabiki wao.
 
Safu ya ushambuliaji simba haiwezi cheza kama timu haki ya Nani
Na ushindi wa simba itakuwa mwembamba kama siyo sare
Ikitokea simba kafunga mengi ujue safu ya ulinzi pinzani ilikuwa mbovu kupindukia

Na magoli mengi ya simba yatakuwa ya beki au midfielder na siyo safu ya ushambuluaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naziona sare nyingi
Next naona watimtimua kocha.
Huyo mpya lazima awasideline baadhi ya wachezaji. Mtiti Utaanzia hapo
 
Jana tulikua tunatest mitambo ndio maana akina Juko, Mkude, Ndemla, Boko, walikaa benchi. Yanga ndio waliokua na kibarua kigumu cha kuwathibishia mashabiki wao kua sio wanyonge kwa simba.
Hata na wao hawakuwa na akina Tambwe na Chirwa. Lakini bado hukujibu swala langu, nitajijibu mwenyewe.
 
Hizo stats huwa tunaiga tu toka kwenye TVs za wazungu bila kuwa na depth understanding. Shooting off target akiwa wapi na kwa vipi. Naweza kushoot on target lakini mpira ukawa unaenda 1km per hour (shoot lililopoa kabisa) lakini computer ikasema shoot on target, hiyo ni sawa na shoot off target.

Kama unashambulia na kipa kakaa upande wa kulia huku akiwa ameacha goli wazi upande wa kushoto, striker akamlenga kipa badala ya kuplace the ball on the other side bado ataonekana ameshoot on target, kwangu mie striker huyo ni bomu tu.

So basically these are relative terms and improvements can be made. A poor striker today is not necessarilly a poor striker in the next two or three months ahead. Bado naamini kuwa with good combination ya timu bado magoli mengi yanaweza kupatikana kupitia hawa strikers ambao wewe unawadharau.

Hata hivyo kama uliangalia mpira jana hakukuwa na clear chances za kuscore na ndio maana waliishia kwenye matuta.

Onyo: Siko tayari kuongea kishabiki, naomba tudiscuss football.
 
Mchezaji yeyote akitoka Yanga kuja Simba lazima awe na "EFFECT"

jamaa kaja kakwapua Jezi namba 8 ya babu yenu Kazimoto, Kakwapua nafasi ya MKUDE. and you still lament ati NIYONZIMA ni wakawaida.
Ina maana wewe unajua zaidi ya Mayanja & Omog?
Onyo: Sipo tayari kuzungumza kishabiki, ushabiki peleka klabuni kwako.
Kwanza sijasema Niyonzima ni wa kawaida, na wala sijamtaja Niyonzima, did i?
Na Niyonzima hakucheza namba sita, aliyecheza namba sita ni James Kotei, do you know that?
Mayanja au Omog kuwa kocha haina maana anajua kila kitu, na ndio maana mashabiki wa Arsenal wanamlalamikia manager wao, je wanyamaze kimya kwa sababu Wenger anajua kuliko wao?
Are you serious??
Mbona kwenye TVs kuna watu wanaanalyse football, je wao ni bora zaidi kuliko makocha? Please calm down and let's discuss football.

Haya tuendelee...
 
Kuna mawili, inawezekana mpira wa jana hukuuangalia au mpira hujui, Niyonzima hakucheza namba ya MKUDE jana (holding midfield). In fact Mkude na Niyonzima ni the best partnership kwa anayejua football. Ningekuwa mimi ningewapartner hao wawili halafu ungeona pale katikati shughuli yake.

Kwenye Simba day, kipindi cha kwanza kilicheza kikosi kama hiki kilichocheza na Yanga jana kipindi cha kwanza, na walistruggle sana kwenye midfield, second half akaingia Mkude, Niyonzima, Mghana na Ndemla...Simba walibadilika sana. Sasa ile chemistry ikicheza mechi za kutosha kunakuwa hakuna sababu ya kukosa magoli.
 
Kwa watu wanaojua mpira wanaelewa soka na wachezaji ni kitu gani....kwenye timu yeyote yenye wachezaji wapya wengi ,cha msingi ni kuwapa muda mpaka wazoeane..... wakizoeana nowthen you can comment
 
i think mwalimu hajaliona hili.....
 
mechi 1 - Simba 1 vs 1 Yanga
mechi 2 - Simba 2 vs 1 Yanga
mechi 3 - Simba 0 vs 0 Yanga

hebu nitajie Mechi 3 ambazo unazozizungumzia ambazo zote Yanga amekalishwa na Simba?
Tulianzia mapinduz cup mkakaa, tukakutana mzunguko wa pili wa ligi mkakaa na leo tena ni mara ya tatu mfululizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mpenzi wa Simba ila ni mwanasports sio shabiki. Usajili wa Simba sio mbaya na wala safu ya ushambuliaji sio mbaya. Simba inaumizwa na uwezo wa makocha wetu kujua ni wachezaji gani wanatakiwa kupartner ili kuleta ushindi mkubwa.
Precisely.....
Kocha kwanza anashindwa kuwatumia wachezaji
Pili anachelewa kufanya maamuzi
Hivi...Hadi dakika ya 60 unamwachaje mkude na ndemla nje hadi muda huo
Traditionally yanga huwa hawawezi kucheza kutumia viungo wao...jana simba iliwaruhusu..why....?
Kocha unamwingiza Luzio..Luzio anaenda kufanya nini uwanjani..amewahi kuwa na kipya kipi?
Ile mechi Simba ili underperform..Beki zake za pembeni zilikuwa hazipandi..Katikati kukawa kumekufa
Matokeo yake kule mbele mipira haiendi
Ndio maana kichuya na okwi wakabaki kung'aa macho tu....
Mwishoni timu ikaanza kucheza kwa uwezo binafsi wa kila mchezaji..No team work
Simba wafanye maamuzi haraka,...wAACHANE NA OMOG....AZAM walimwacha OMOG wakati timu iko kwenye peak ..walishaona.OMOG anaweza sana kucheza defensive game...lakini sio game la kushambulia na kufunga magoli mengi
Kitendo cha kuendelea kumwacha kitaharibu zaidi timu....Mwishoni wachezaji wataanza kuchukiana.
Kabla hawajachelewa...OMOG aondoke..Wampe timu Mayanja
 


OMOG...OMOG...OMOG....Mikia FC achaneni na Omog.

Huo ndio ushauri wa mwenzenu huyu.
 
yule hakuna kitu...hakuna mchezaji pale.....utaniambia
Ndio ubaya wa kujifanya mjuaji sana. Kibaya zaidi unajifanya unajua zaidi ya jopo zima la uongozi wa Simba hata ukatoa ushauri Omog afukuzwe.

Leo unatushauri kuwa TSHISHI BABY yuko sawa na Juma Makapu.
 
Ndio ubaya wa kujifanya mjuaji sana. Kibaya zaidi unajifanya unajua zaidi ya jopo zima la uongozi wa Simba hata ukatoa ushauri Omog afukuzwe.

Leo unatushauri kuwa TSHISHI BABY yuko sawa na Juma Makapu.

Nimekwambia Hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......Huyo shishi Baby hakuna kitu..Mark my words..Huyo na yule mkata umeme..mkata umeme yuko bora zaidi

Na OMOG tunamfukuza....una jipya lipi jombaa?
 
Nimekwambia Hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......Huyo shishi Baby hakuna kitu..Mark my words..Huyo na yule mkata umeme..mkata umeme yuko bora zaidi

Na OMOG tunamfukuza....una jipya lipi jombaa?


Omog hafukuzwi mpaka simba ikose NDOO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…