demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #41
Hiko ndiko ninacho kiona.Hawa jamaa zetu wana issue ya mfumo wa timu yao.
Wanajaza viungo wengi na ukiwathibiti hapo hawana plan B. Strike Force waliyonayo haina faida kwa mfumo wao. Sielewi kama ni matakwa ya kocha au akina Makofia. Hata traditional strikers wanaishia kuwa viungo tu.
Watapata sare nyingi sana msimu huu
Improvement yao ni ndogo sana kiuhalisia ukilinganisha na Bilion 1.3, tofauti kabisa na namna uisikiapo midomoni mwa mashabiki wao.