Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

mechi 1 - Simba 1 vs 1 Yanga
mechi 2 - Simba 2 vs 1 Yanga
mechi 3 - Simba 0 vs 0 Yanga

hebu nitajie Mechi 3 ambazo unazozizungumzia ambazo zote Yanga amekalishwa na Simba?
Acha upuuzi mkubwa wewe...kwahiyo 0-0 ni mechi ipi hiyo...au kwa ujuha wako penalt sio sehemu ya matokeo ya mchezo sio?

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Acha upuuzi mkubwa wewe...kwahiyo 0-0 ni mechi ipi hiyo...au kwa ujuha wako penalt sio sehemu ya matokeo ya mchezo sio?

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Boss.

Huko shule mliendaga kusomea ujinga? usemapo umeshinda mechi, inamaana matokeo ndani ya Dk 90. Na ndio maana mtu akishinda kwa njia ya Penalty wanasema..."Ameshinda kwa changamoto ya penalty". Umeelewa hapo? [HASHTAG]#rage[/HASHTAG].

Na ndio maana kwenye tasnia ya ubashiri(Bet) unaposema fulani atashinda, haihusishi ushindi wa penalty. hata ikitokea chaguo lako likashinda kwa penalty, basi utakuwa umepoteza ubashiri wako.
 

Umeongea kama mtu wa mpira, kwa kocha mzuri mwenye akili hakukuwa na sababu ya kupelekana na Yanga mpaka matutani. Kama unavyosema Omog akiendelea timu itaharibika zaidi na atawavunja moyo wachezaji wengi.

Hajui hata sub gani inahitajika na kwa wakati gani, eneo lililopwaya ni katikati mwenzetu anabadilisha strikers, tena striker mwenyewe Juma Luizio.
 
Umeongea kama mtu wa mpira, kwa kocha mzuri mwenye akili hakukuwa na sababu ya kupelekana na Yanga mpaka matutani. Kama unavyosema Omog akiendelea timu itaharibika zaidi na atawavunja moyo wachezaji wengi.
Yanga wale ni laini sana..wale mapema walitakiwa walale tena kwa gooli nyingi tu...Hakukuwa na uhitaji wa kufika hata half time....Mimi silaumu wachezaji hata kidogo..Pale timu inaposhindwa kuonyesha teamplay ...matatizo ni ya kocha...na hasa pale kocha anaposhindwa kung'amua tatizo na kufanya maamuzi sahihi...ni kosa zaidi.

Viongozi wa simba wameingia gharama wamempa wachezaji wenye best talents...yeye ndiye atakuwa shida.
Simba kama ni wasikivu wamtimue hata this week..Mayanja is good na anajua ku motivate team........
 
kwa analysis niliyofanya jana.....kama yanga watakitunza kile kikosi chao na kuziba pengo la beki namba tano.....yanga itakuwa timu hatari zaidi ya simba.....na mashabiki wa simba wajiandae kisaikolojia .......maana OKWI sio mchezaji wa kutegemewa sana, Bocco ni mshabuliaji wa kulishwa mipira sidhani kama simba kuna mlishaji mzuri zaidi ya haruma lakini Haruna Niyonzima umri umeshakwenda sana hivyo hawezi cheza kama alivyokuwa yanga ......
 
Ninachoona yanga mlijiandaa kufungwa. Kilichowashtua ni kufungwa kwa penati. Mpira ulichezwa na timu zote lakini lawama kwa simba! Kumbe kila mtanzania anaipenda simba. Maana kila mtu analalamikia safu ya ushambuliaji ya simba.
Matumizi ya pesa nyingi kwa simba ndio yamefanya ionekane kiroja watu walitegemea usajili wa 1.3b ingemaliza mchezo mapema lkn ilikuwa tia maji tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kweli kwamba simba hawakuwa vizuri ila walizidiwa kila kitu na wale marasta wa yanga (majina unayajua) pamoja na yule beki wa kushoto.
hivyo uwezo wao ndio uliishia pale.

hebu jiulize unaweza kumwaminisha mwanasimba kuwa mkude ni mzuri kuliko kotei? au ndemla ni mzuri kuliko mzamiru?.
hapo ndo utajua kuwa simba walikuwa vizuri ila walikutana na wazuri zaidi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kweli kwamba simba hawakuwa vizuri ila walizidiwa kila kitu na wale marasta wa yanga (majina unayajua) pamoja na yule beki wa kushoto.
hivyo uwezo wao ndio uliishia pale.

yanga hakuna timu pale..trust me....Ukiniuliza kwa game zasimba na yanga ....mkude ni fundi
 

Passing rate ya Mkude huwezi kulinganisha na James Kotei; wakati ambapo Mkude ni Orthodox holding midfielder mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchezesha timu kwenda mbele, Kotei anafalsafa ya kucheza kama beki.

Ikiwa Simba wana beki nzuri nyuma huhitaji kuwa na holding midfielder mwenye uelekeo wa defensive zaidi. Ukiangalia hata falsafa ya Omog anataka timu iwe more defensive isifungwe na ndio maana anampendelea zaidi Kotei.

Sasa hii falsafa sio ya timu ya Simba, ambayo ni kushambulia kwa pasi za haraka haraka.
Muzamir huwa hana uwezo mkubwa sana wa kupass the ball around, ana uwezo wa kuzuia sana, ndio maana kocha anampenda sana.

Simba hawakuzidiwa kabisa mpira wa jana, ila kwa maoni yangu Omog amesaidia sana kuinua confidence ya Yanga kwa kushindwa kufanya the needful yesterday.

Kwa maoni yangu, Simba hii hata ukimpa Selemani Matola anaweza kuifanya ikawa nzuri sana kwa sababu anaijua sana falsafa ya mpira wa Simba.

Najua wengi mtanipinga sana.
 
yanga hakuna timu pale..trust me....Ukiniuliza kwa game zasimba na yanga ....mkude ni fundi
Anayefanya Yanga wanafunikwa kwenye midfield kwenye mechi za Yanga na Simba ni Mkude, hilo halina ubishi. Mkude ni fundi sana, huwa namfananisha na yule Song aliyekuwa holding midfield wa Arsenal halafu akaenda Barca.
 
sasa mkuu, yaani unataka ligi yetu iwe boring kama Bundesliga au Serie A ambako ni timu moja tu inatawala ligi miaka yote?

waachieni na wenzenu mwaka huu ili kuwepo excitement kwenye ligi yetu bana!!
 
Unawapongeza kwa kufungwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifananishe matokeo ya mechi na tabia yako ya kuweka mkeka, toka lini taratibu za mkeka zimeanza tumika mpirani?? Jana yanga kafa!
Ishu ni kwamba siku hizi tumezoea sqna kuifunga yanga, hatusjamgilii!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Shishi baby, nimeipenda hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…