The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
sawaOmog hafukuzwi mpaka simba ikose NDOO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaOmog hafukuzwi mpaka simba ikose NDOO.
Acha upuuzi mkubwa wewe...kwahiyo 0-0 ni mechi ipi hiyo...au kwa ujuha wako penalt sio sehemu ya matokeo ya mchezo sio?mechi 1 - Simba 1 vs 1 Yanga
mechi 2 - Simba 2 vs 1 Yanga
mechi 3 - Simba 0 vs 0 Yanga
hebu nitajie Mechi 3 ambazo unazozizungumzia ambazo zote Yanga amekalishwa na Simba?
Boss.Acha upuuzi mkubwa wewe...kwahiyo 0-0 ni mechi ipi hiyo...au kwa ujuha wako penalt sio sehemu ya matokeo ya mchezo sio?
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Precisely.....
Kocha kwanza anashindwa kuwatumia wachezaji
Pili anachelewa kufanya maamuzi
Hivi...Hadi dakika ya 60 unamwachaje mkude na ndemla nje hadi muda huo
Traditionally yanga huwa hawawezi kucheza kutumia viungo wao...jana simba iliwaruhusu..why....?
Kocha unamwingiza Luzio..Luzio anaenda kufanya nini uwanjani..amewahi kuwa na kipya kipi?
Ile mechi Simba ili underperform..Beki zake za pembeni zilikuwa hazipandi..Katikati kukawa kumekufa
Matokeo yake kule mbele mipira haiendi
Ndio maana kichuya na okwi wakabaki kung'aa macho tu....
Mwishoni timu ikaanza kucheza kwa uwezo binafsi wa kila mchezaji..No team work
Simba wafanye maamuzi haraka,...wAACHANE NA OMOG....AZAM walimwacha OMOG wakati timu iko kwenye peak ..walishaona.OMOG anaweza sana kucheza defensive game...lakini sio game la kushambulia na kufunga magoli mengi
Kitendo cha kuendelea kumwacha kitaharibu zaidi timu....Mwishoni wachezaji wataanza kuchukiana.
Kabla hawajachelewa...OMOG aondoke..Wampe timu Mayanja
Yanga wale ni laini sana..wale mapema walitakiwa walale tena kwa gooli nyingi tu...Hakukuwa na uhitaji wa kufika hata half time....Mimi silaumu wachezaji hata kidogo..Pale timu inaposhindwa kuonyesha teamplay ...matatizo ni ya kocha...na hasa pale kocha anaposhindwa kung'amua tatizo na kufanya maamuzi sahihi...ni kosa zaidi.Umeongea kama mtu wa mpira, kwa kocha mzuri mwenye akili hakukuwa na sababu ya kupelekana na Yanga mpaka matutani. Kama unavyosema Omog akiendelea timu itaharibika zaidi na atawavunja moyo wachezaji wengi.
Matumizi ya pesa nyingi kwa simba ndio yamefanya ionekane kiroja watu walitegemea usajili wa 1.3b ingemaliza mchezo mapema lkn ilikuwa tia maji tia maji.Ninachoona yanga mlijiandaa kufungwa. Kilichowashtua ni kufungwa kwa penati. Mpira ulichezwa na timu zote lakini lawama kwa simba! Kumbe kila mtanzania anaipenda simba. Maana kila mtu analalamikia safu ya ushambuliaji ya simba.
sio kweli kwamba simba hawakuwa vizuri ila walizidiwa kila kitu na wale marasta wa yanga (majina unayajua) pamoja na yule beki wa kushoto.Precisely.....
Kocha kwanza anashindwa kuwatumia wachezaji
Pili anachelewa kufanya maamuzi
Hivi...Hadi dakika ya 60 unamwachaje mkude na ndemla nje hadi muda huo
Traditionally yanga huwa hawawezi kucheza kutumia viungo wao...jana simba iliwaruhusu..why....?
Kocha unamwingiza Luzio..Luzio anaenda kufanya nini uwanjani..amewahi kuwa na kipya kipi?
Ile mechi Simba ili underperform..Beki zake za pembeni zilikuwa hazipandi..Katikati kukawa kumekufa
Matokeo yake kule mbele mipira haiendi
Ndio maana kichuya na okwi wakabaki kung'aa macho tu....
Mwishoni timu ikaanza kucheza kwa uwezo binafsi wa kila mchezaji..No team work
Simba wafanye maamuzi haraka,...wAACHANE NA OMOG....AZAM walimwacha OMOG wakati timu iko kwenye peak ..walishaona.OMOG anaweza sana kucheza defensive game...lakini sio game la kushambulia na kufunga magoli mengi
Kitendo cha kuendelea kumwacha kitaharibu zaidi timu....Mwishoni wachezaji wataanza kuchukiana.
Kabla hawajachelewa...OMOG aondoke..Wampe timu Mayanja
sio kweli kwamba simba hawakuwa vizuri ila walizidiwa kila kitu na wale marasta wa yanga (majina unayajua) pamoja na yule beki wa kushoto.
hivyo uwezo wao ndio uliishia pale.
sio kweli kwamba simba hawakuwa vizuri ila walizidiwa kila kitu na wale marasta wa yanga (majina unayajua) pamoja na yule beki wa kushoto.
hivyo uwezo wao ndio uliishia pale.
hebu jiulize unaweza kumwaminisha mwanasimba kuwa mkude ni mzuri kuliko kotei? au ndemla ni mzuri kuliko mzamiru?.
hapo ndo utajua kuwa simba walikuwa vizuri ila walikutana na wazuri zaidi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayefanya Yanga wanafunikwa kwenye midfield kwenye mechi za Yanga na Simba ni Mkude, hilo halina ubishi. Mkude ni fundi sana, huwa namfananisha na yule Song aliyekuwa holding midfield wa Arsenal halafu akaenda Barca.yanga hakuna timu pale..trust me....Ukiniuliza kwa game zasimba na yanga ....mkude ni fundi
sasa mkuu, yaani unataka ligi yetu iwe boring kama Bundesliga au Serie A ambako ni timu moja tu inatawala ligi miaka yote?Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.
Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.
Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Unawapongeza kwa kufungwa?Ah ah ah! Ila Simba kwa timu hii na hela mliyotumia kusajili ni vitu haviendani kabisa,tatizo mmesajili majina na sio mahitaji ya timu
Niwapongeze Yanga sana sana bench lao la ufundi,wamecheza kitimu zaid,ukiona wanavyozuia mpinzani akiwa na mpira yani ni hard work ingawa wana tatizo la kutotulia na mpira especially nyuma,hawawez kuanzisha mashambuliz tokea nyuma km walivyokuwa wanafundishwa na van pluijim
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu uliopita hawakuwepo?Chirwa na tambwe kama wangekuwepo leo basi shughuli ingeisha Mapemaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe matokeo ya mechi na tabia yako ya kuweka mkeka, toka lini taratibu za mkeka zimeanza tumika mpirani?? Jana yanga kafa!Boss.
Huko shule mliendaga kusomea ujinga? usemapo umeshinda mechi, inamaana matokeo ndani ya Dk 90. Na ndio maana mtu akishinda kwa njia ya Penalty wanasema..."Ameshinda kwa changamoto ya penalty". Umeelewa hapo? [HASHTAG]#rage[/HASHTAG].
Na ndio maana kwenye tasnia ya ubashiri(Bet) unaposema fulani atashinda, haihusishi ushindi wa penalty. hata ikitokea chaguo lako likashinda kwa penalty, basi utakuwa umepoteza ubashiri wako.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Shishi baby, nimeipenda hiyo.Nimependa uchambuzi wako ila umekosea mwisho kabisa pale uliposema kuwa Jonas MKUDE angefanikiwa kabisa kuzima cheche za PAPPY KABAMBA TSHITSHIMBI a.k.a TSHITSHI BABY.
Ameshindwa KOTEI leo hii uje Mkude aje kumuweka mfukoni TSHITSHI BABY...? Acha utani wewe. LOL
Chirwa na tambwe kama wangekuwepo leo basi shughuli ingeisha Mapemaaaaaa
mpira sio majina, hata wale walio kuwa wanatamba kuwa leo goli saba wameaibika sasa hivi ule ujasiri waliokuwa nao umeshuka hadi 0% bado watakutana na wabishi kama kagera sugar fc, kuna singida united, azam, na timu nyingine zinazo fukuza mwizi kimyakimya kama yanga hakuna majigambo. Wamelowa wanajipooza kwa ushindi wa matuta. Wafanye nini sasa, ndio kilichobaki, hakuna hata goli moja na walikuwa wanaomba dakika tisini ziishe. Sasa tutalala usingizi! Kelele zilizidi okwi okwi, niyonzima! Je jana wamefanya lipi jipya. Hongera yanga kwa ubunifu mwaka kesho wataiga. Papy yule rasta kawanyima raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app