Msimu huu Bilioni 1.3 itamaliza na Magoli machache kuliko Milioni 450.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.

tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.

Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.

Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
 
Sasa jiulize kwa nini upande wa pili hawajapata hizo 1.3bilioni!
Alafu unapoanhalia goals scored angalia pia goals allowed, utapata jibu thamani ya hiyo unaita 1.3.
 
Ah ah ah! Ila Simba kwa timu hii na hela mliyotumia kusajili ni vitu haviendani kabisa,tatizo mmesajili majina na sio mahitaji ya timu

Niwapongeze Yanga sana sana bench lao la ufundi,wamecheza kitimu zaid,ukiona wanavyozuia mpinzani akiwa na mpira yani ni hard work ingawa wana tatizo la kutotulia na mpira especially nyuma,hawawez kuanzisha mashambuliz tokea nyuma km walivyokuwa wanafundishwa na van pluijim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Free Manji..dirisha dogo atuletee kutinyo(yule dogo wa singida united mwenye nywele za gold)CAF champions tutafika mbali
 
naona Next season lazima t
Free Manji..dirisha dogo atuletee kutinyo(yule dogo wa singida united mwenye nywele za gold)CAF champions tutafika mbali
uokote wachezajikadhaa kutoka Singida United.
 
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.

tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza zaidi ya mechi rasmi 5 ukiwa umefunga magoli 3 tu. Tukizingatia ameongezeka Okwi, Bocco and Co.

Au tuseme kikosi kilichopita kilikuwa bora sana. maana halisi ya Bilioni 1.3 ni kuongeza idadi ya Mabao, na hii ni kutokana na kushindwa kwa mabao tu msimu uliopita.
(Najua wengi mtasema kuwa Bilioni 1.3 ni kwa ajili ya CAF Confederation Cup). Si kweli.

Hivi Bilioni 1.3 wangepata upande wa pili si wangekuwa wanapasia nyavu mara mbili ya msimu ulio pita? Mimi nasema nyota njema huonekana Asubuhi, la msimu uliopita litajirudia tu.
Win! Win! Win! Win! Only dat zingine mbwembwe
 
Siku ile mlivyokula 2-1 simba wakiwa pungufu hawakuwepo hao?
Ni kweli kabisa maana ata kwenye zile match 2 za msimu uliopita hawakucheza pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakuu. Mnazungumzia ule msimu wa mwaka 2016/17 ambao Dar es Salaam Young Africans SC alitwaa NDOO kwa mara ya 3 mfululizo?

Hadi mkaandikaBarua FIFA ya kudai alama za mezani?

Naombeni jibu Tafadhali.
 
Ndo mlikula kichapo kutoka kwa watu pungufu. Mechi ya tatu hii mwaka huu mnakutana na simba mnakalishwa.
 
Back
Top Bottom