Msimu huu huenda Simba na Yanga kwenye makundi CAF champions league zikamaliza nafasi ya 3 au 4

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy.

Vile vile Kwa upande wa Young African kama hawatoshinda mechi ijayo na wao wenyewe wataishia kumaliza nafasi ya tatu au ya nne kwenye kundi.
 
Hakika umewaza kama mie,naona dalili mbaya kabsa kwa hizi timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije ukashsngaa Yanga akashinfa mechi zote tano zilizobaki
 
Back
Top Bottom