DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili.
Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini yaani za kiarabu na hizi siyo timu mchekea.
1. Al Ahly Tripoli - Libya
2. Sfaxien - Tunisia
3. Costantine - Algeria
4. Al Masry - Egypt
5. Zamalek - Egypt (inategemea matokeo dhidi ya Stellenbosch)
6. RS Berkane (Morocco) au USMA (Algeria)
7. Al Ahly/Esperance/Pyramids (CAF Super Cup)
Na hapa sijahesabu timu za kiarabu ambazo Simba ilicheza nazo kwenye pre-season.
Wana historia watuangalizie katika vitabu ya historia kama kuna timu ya Tanzania imewahi kupitia hii changamoto.