DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
kile kikombe lazma safari hii simba aje nalo getoKama ilipigwa ugenini 2-0 na hao vibonde wa Al Masry! Nadhani hiyo ndoto inaweza isitimie.
Ufukara unakusumbua.Mtatoka tu
Fukara mama yakoUfukara unakusumbua.
Naongezea na ugonjwa wa akili. YANI wewe ni fukara na mgonjwa wa akili.Fukara mama yako
AMKA UKOJOE USIJE KOJOA KITANDANITunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili.
Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini yaani za kiarabu na hizi siyo timu mchekea.
1. Al Ahly Tripoli - Libya
2. Sfaxien - Tunisia
3. Costantine - Algeria
4. Al Masry - Egypt
5. Zamalek - Egypt (inategemea matokeo dhidi ya Stellenbosch)
6. RS Berkane (Morocco) au USMA (Algeria)
7. Al Ahly/Esperance/Pyramids (CAF Super Cup)
Wana historia watuangalizie katika vitabu ya historia kama kuna timu ya Tanzania imewahi kupitia hii changamoto.
Mama yakoNaongezea na ugonjwa wa akili. YANI wewe ni fukara na mgonjwa wa akili.
Komaa akili sasa mama yake ameingiaje humuMama yako
Leo game za CAfCL away teams zimesonga. Kesho kwe CafCC home teams zinasonga mbele. Hivyo endelea kubakia na pen utik box.Kama ilipigwa ugenini 2-0 na hao vibonde wa Al Masry! Nadhani hiyo ndoto inaweza isitimie.