ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Simba Bwana, dah.... Watapokea soon baiskeli za Phoenix za kwendea mazoezini pia watakuwa wakipakizana maana NI madhubuti na zinahimili uzito mkubwaWiki mbili zilizopita simba walilitangaza basi lao jipya mbali ya yale mawili waliyopewa kwa wakati mmoja wao na ndg zao yanga.....jana tena nimesikia kuwa wametangaza kupokea mabasi mengine matatu!
Jamani tujuzane endapo hawa wakubwa wanataka kuja kutupokonya route zetu huku songea-masasi...mbeya-arusha via dom.....
Kwa nini uwe na hofu wakati wewe ni abiria tu na sio mmiliki wa bus lolote?Jamani tujuzane endapo hawa wakubwa wanataka kuja kutupokonya route zetu huku songea-masasi.
Mbeya- Arusha via Dodoma.