Msimu huu naona Simba imejikita kwenye mabasi

Msimu huu naona Simba imejikita kwenye mabasi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Wiki mbili zilizopita simba walilitangaza basi lao jipya mbali ya yale mawili waliyopewa kwa wakati mmoja wao na ndg zao yanga jana tena nimesikia kuwa wametangaza kupokea mabasi mengine matatu!

Jamani tujuzane endapo hawa wakubwa wanataka kuja kutupokonya route zetu huku songea-masasi.

Mbeya- Arusha via Dodoma.
 
Wiki mbili zilizopita simba walilitangaza basi lao jipya mbali ya yale mawili waliyopewa kwa wakati mmoja wao na ndg zao yanga.....jana tena nimesikia kuwa wametangaza kupokea mabasi mengine matatu!
Jamani tujuzane endapo hawa wakubwa wanataka kuja kutupokonya route zetu huku songea-masasi...mbeya-arusha via dom.....
Simba Bwana, dah.... Watapokea soon baiskeli za Phoenix za kwendea mazoezini pia watakuwa wakipakizana maana NI madhubuti na zinahimili uzito mkubwa
1632953560010.png
 
Wameanza na mabasi ya timu, wakimaliza wanunue magari ya kutembelea wajumbe wa bodi, wakimaliza wanunue magari ya waganga wao, wakimaliza wanunue magari ya kubeba mashabiki yaani ratiba ni ndefu naona mwaka huu hawana ratiba na mpira, labda mwakani
 
Au Labda wameambiwa dunia inaenda kukumbwa na uhaba mkubwa wa Mabasi!
 
Simba hawezi kuwa na ndugu kilaza kama utopolo.Kilaza huwa hana malengo makubwa.
 
Simba ilianza na midege ya ATCL sasa kunaye mjinga mmoja akadhani mafanikio ya simba kwenye club bingwa yalisababishwa na ile "visit tanzania" kwenye jersey

Akapiga hesabu kua kama simba waliandika visit tanzania na wakafika hadi robo, vipi sisi tukiandika visit tanzania na zanzibar si tutafika fainali?
 
Jamani tujuzane endapo hawa wakubwa wanataka kuja kutupokonya route zetu huku songea-masasi.
Mbeya- Arusha via Dodoma.
Kwa nini uwe na hofu wakati wewe ni abiria tu na sio mmiliki wa bus lolote?
 
Back
Top Bottom