mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Unatimiaje wakati bado mnacheza ndondo la mchangani!!!'Ipo siku kila mtu atashabikia Simba' . Je unabii unatimia?
Njoeni kimataifa tuone kama hao wachezaji wenu akina mpoto kama watagusa hata mpira.