Msimu huu nitashangilia tena Simba

Msimu huu nitashangilia tena Simba

'Ipo siku kila mtu atashabikia Simba' . Je unabii unatimia?
Unatimiaje wakati bado mnacheza ndondo la mchangani!!!
Njoeni kimataifa tuone kama hao wachezaji wenu akina mpoto kama watagusa hata mpira.
 
Kama kawaida msimu wa ligi unapoelekea kwisha Simba inapokutana na Azam ,inakuwa imepoteza dira, na mbio za ubingwa zinabakia kwa timu kubwa TZ, Yanga na Azam.

Msimu huu tena tutaishangilia marehemu simba..

sijawahi kuishangilia simba tangu nizaliwe . ubingwa kwa yanga upo acha mikia wapigwe tuuu" .....(pinda)
 
Ninyi mikia mkipata nafasi ya pili mtatutia aibu na lile litimu lenu lenye wachezaji kama watoto wa primary itapambana na timu gan ya nchi za watu walau mkabahatika hata kupata sare!!? Au mnafiki kule kuna mashindano ya mapinduzi cup au mtani mpini!!!!
Ninyi bakin hapa hapa ili muwapelekee waume zenu mabegi wanapokwenda kuiwakilisha nchi.

Nchi inawakilishwa na Taifa stars ...sio wapuuzi wapuuzi kama yebo yebo
 
mimi naombea azam apigwe nå mtibwa hiyo j.mosi Halafu akija kwetu tumdungue tena ili atakapoenda kukutana nå mikia wakacheze mpira kupigania nafac ya pili Sio kwenda kuachiana nå kukamilisha ratiba
 
Jamani mimi natafuta clip/alichokisema muongea hovyo Mzaramo wa Msanga,Julio,baada ya matokeo ya Timu ya Wananchi na Coastal Union.
 
Jamani mimi natafuta clip/alichokisema muongea hovyo Mzaramo wa Msanga,Julio,baada ya matokeo ya Timu ya Wananchi na Coastal Union.
Tena nasikia pale coast hana chake.
Tatizo lile lijamaa lina maneno matupu bila vitendo.
 
Back
Top Bottom