Msimu huu nitashangilia tena Simba

Msimu huu nitashangilia tena Simba

yahooo

Senior Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
126
Reaction score
276
Kama kawaida msimu wa ligi unapoelekea kwisha Simba inapokutana na Azam ,inakuwa imepoteza dira, na mbio za ubingwa zinabakia kwa timu kubwa TZ, Yanga na Azam.

Msimu huu tena tutaishangilia marehemu simba..
 
Simba amueni wenyewe mfungwe msifungwe sisi tutamcharaza huyo Azam hivyo ubingwa wetu hautegemei mbereko ya Simba.

Kombe mbona letu maana sioni wa kuuzima huu moto.
Mbele daima nyuma mwiko
 
Simba ilivyo na watu mapoyoyo hivo usishangae wakawaachia azam kuwadungua tena mwaka huu ili yanga wasichukue ubingwa.

Vyovyote watakavyo fanya kombe lazima lidondoke jangwani.
 
Acha wadunguane watakavyo provided ubingwa uende Jangwani. Tusitegemee fadhila za mikia kupata ubingwa. Tupigane kivyetu.
 
Vyovyote watakavyo fanya kombe lazima lidondoke jangwani.
Ila acha tu mikia ipapachuliwe itakavyo ili hata nafasi ya pili waisikie redioni tu manake watatutia aibu hawa wachezaji wao hawajui kupanda ndege wamezoea boat kuendea zanzibar.......
 
Haaahahahhaaaaaaaaaaaa mkolaj waonee huruma hawa watani wetu, wanatumia gharama kubwa sana kushindana na sisi bila kuvuna chochote, watafirisika mwishowe.
 
Last edited by a moderator:
Akili na mawazo ya viongozi na wachezaji wa Mikia fc inapoanza ligi tu malengo yao ni ma2 tu nayo ni kuifunga Yanga na kubaki ligi kuu basi hawanaga malengo makubwa
 
Simba ilivyo na watu mapoyoyo hivo usishangae wakawaachia azam kuwadungua tena mwaka huu ili yanga wasichukue ubingwa.
Huwa nashangazwa sana na mashabiki wa yanga,simba akifungwa na azam kwenu imekuwa nongwa?mbina tumefungwa na mgambo,stand mmechekelea do u think azam I deserve kuifunga simba kweli?kama inatokea kufungwa simple cos watakuwa wamejiandaa vema kuliko sisi,tuonesheni mfano kwanza mfungeni azam alafu nasi mtatuona cos tunahihitaji nafasi ya pil kama nyinyi mnavyouhitaji ubingwa
 
Ninyi mikia mkipata nafasi ya pili mtatutia aibu na lile litimu lenu lenye wachezaji kama watoto wa primary itapambana na timu gan ya nchi za watu walau mkabahatika hata kupata sare!!? Au mnafiki kule kuna mashindano ya mapinduzi cup au mtani mpini!!!!
Ninyi bakin hapa hapa ili muwapelekee waume zenu mabegi wanapokwenda kuiwakilisha nchi.
 
Ni lini hiyo mkuu yahoo ? maana kiukweli nakuunga mkono na mguu!
 
Last edited by a moderator:
Ninyi mikia mkipata nafasi ya pili mtatutia aibu na lile litimu lenu lenye wachezaji kama watoto wa primary itapambana na timu gan ya nchi za watu walau mkabahatika hata kupata sare!!? Au mnafiki kule kuna mashindano ya mapinduzi cup au mtani mpini!!!!
Ninyi bakin hapa hapa ili muwapelekee waume zenu mabegi wanapokwenda kuiwakilisha nchi.
Yanga bhana sasa kipi ni kinafaa kwenu na simba yetu?so hamtaki hata tupate nafasibya pil sasa povu la nn acheni basi tufungwe na azam kama hz ndizo fikra zenu so msituhoji tutakapofungwa na azam,cos hamjielewi mnataka nn kutoka kwetu,
 
Ila acha tu mikia ipapachuliwe itakavyo ili hata nafasi ya pili waisikie redioni tu manake watatutia aibu hawa wachezaji wao hawajui kupanda ndege wamezoea boat kuendea zanzibar.......

Juzi walikuwa kijiji kimoja wilaya ya Rorya wanacheza mechi ya kirafiki hii timu sasa hivi inaendeshwa kama abajalo ya sinza.
 
Kama kawaida msimu wa ligi unapoelekea kwisha Simba inapokutana na Azam ,inakuwa imepoteza dira, na mbio za ubingwa zinabakia kwa timu kubwa TZ, Yanga na Azam.

Msimu huu tena tutaishangilia marehemu simba..

'Ipo siku kila mtu atashabikia Simba' . Je unabii unatimia?
 
Back
Top Bottom