DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
And the vice versa is TRUEYanga sc
Timu ya makanjanja inayoongozwa kwa propaganda
Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.2023/2024 Yanga ilifika Robo
2024/2025 Yanga imeishia Makundi
2025/2026 Yanga unaiona Wapi?
Huu ni mwenendo wa graph ya kushuka.!
Huko upande wa pili..
2023/2024 SSC ilifika Robo
2024/2025 SSC imefika Fainali
2025/2026 SSC unaipona Wapi?
Huu ni Mwenendo wa graph kupanda..
Wachambuzi muwe munawaeleza ukweli wadau ni timu ipi imeshindwa kufikia mafanikio kama ya msimu uliopita na ipi imeyavuka mafanikio ya msimu uliopita.!
Mataji hata kwenye makombe ya mbuzi mitaani yanapatikana. Yanga na Simba zinatakiwa kuanza kufanya vizuri kimataifa ikiwemo kuleta taji la Africa nchini.Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.
Ayo mambo ya kucheza fainali ya shirikisho na kuona ni mafanikio Yanga walisha achana nayo miaka mitatu iliyo pita.
Mataji.Mataji yenyewe ya ushindani upi?Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.
Ayo mambo ya kucheza fainali ya shirikisho na kuona ni mafanikio Yanga walisha achana nayo miaka mitatu iliyo pita.
Bado MO analalamika anapata hasara.Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya kifedha Yanga.
Hizi timu mbili zinapenda sana kuigana. Kuna wakati hadi nakereka jinsi wanavyopenda kufuatana fuatana. Mmoja akifanya jambo linaloonekana bora, mwingine hataki muda mwingi upite asije akaonekana hakufanya jambo fulani. Kwa miaka mingi Yanga imekuwa inazodolewa kwa kuwa nyuma katika mambo mengi mpaka yafanywe na Simba. Siku hizi, Yanga wanahakikisha hata kama watachelewa kufanya jambo fulani lililoanzishwa na Simba, ila watahakikisha nao wanalifanya msimu huo huo ndani ya muda mfupi.
Mkataba wa JayRutty uliorodhesha mambo mengi ambayo kwa timu hizi mbili hayajawahi kufanywa. Hapa nitaorodhesha matatu.
1. Mkataba rasmi wa jezi na brand ya kimataifa (Diadora)
2. Basi la kisasa la Irizar
3. Uwanja
Nilivyosikia tu haya mambo yanapangwa nikasema Yanga wataenda kujipanga ili Simba ikianza tu kuyafanya, nao wajitutumue wafanya bila kuchelewa.
Kwenye jezi, inasemekana Yanga imeenda kufanya janja janja na wanakaribia kutangaza mkataba wa jezi na Adidas kupitia kwa GSM. Ikumbukwe Sheria Ngowi aliwahi kusema tayari ana design za jezi za Yanga za misimu kadhaa mbele zipo tayari, ila baada ya Diadora kutangazwa, wakaachana na Sheria. Wameingiwa na pressure.
Kwa wachezaji wa kutoka timu kubwa kama Mamelodi naona hilo limewashinda ila ngoja tusubiri, wanaweza nako wakajitutumua wakamshusha Mokoena.
Hii pressure ya kifedha Yanga wataiweza? Wataweza nao kuleta Irizar msimu huu ili wasionekane wamechelewa? Wataweza nao kuanza ujenzi wa uwanja wao ili wasipitwe na Simba au watatumia wanasiasa na watendaji ili wakwamishe mipango ya Simba?
Radio yenye mende naona inaongea tu redio pole sanaaNdugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.
Ayo mambo ya kucheza fainali ya shirikisho na kuona ni mafanikio Yanga walisha achana nayo miaka mitatu iliyo pita.
Team ya mzee Magoma ni kipi inaweza kufanya!? Labda kuliliana harusini wanaume kwa wanaume! (Uchoko) na hilo wanaliweza hasa tangu enzi hizo za Kabwili.Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya kifedha Yanga.
Hizi timu mbili zinapenda sana kuigana. Kuna wakati hadi nakereka jinsi wanavyopenda kufuatana fuatana. Mmoja akifanya jambo linaloonekana bora, mwingine hataki muda mwingi upite asije akaonekana hakufanya jambo fulani. Kwa miaka mingi Yanga imekuwa inazodolewa kwa kuwa nyuma katika mambo mengi mpaka yafanywe na Simba. Siku hizi, Yanga wanahakikisha hata kama watachelewa kufanya jambo fulani lililoanzishwa na Simba, ila watahakikisha nao wanalifanya msimu huo huo ndani ya muda mfupi.
Mkataba wa JayRutty uliorodhesha mambo mengi ambayo kwa timu hizi mbili hayajawahi kufanywa. Hapa nitaorodhesha matatu.
1. Mkataba rasmi wa jezi na brand ya kimataifa (Diadora)
2. Basi la kisasa la Irizar
3. Uwanja
Nilivyosikia tu haya mambo yanapangwa nikasema Yanga wataenda kujipanga ili Simba ikianza tu kuyafanya, nao wajitutumue wafanya bila kuchelewa.
Kwenye jezi, inasemekana Yanga imeenda kufanya janja janja na wanakaribia kutangaza mkataba wa jezi na Adidas kupitia kwa GSM. Ikumbukwe Sheria Ngowi aliwahi kusema tayari ana design za jezi za Yanga za misimu kadhaa mbele zipo tayari, ila baada ya Diadora kutangazwa, wakaachana na Sheria. Wameingiwa na pressure.
Kwa wachezaji wa kutoka timu kubwa kama Mamelodi naona hilo limewashinda ila ngoja tusubiri, wanaweza nako wakajitutumua wakamshusha Mokoena.
Hii pressure ya kifedha Yanga wataiweza? Wataweza nao kuleta Irizar msimu huu ili wasionekane wamechelewa? Wataweza nao kuanza ujenzi wa uwanja wao ili wasipitwe na Simba au watatumia wanasiasa na watendaji ili wakwamishe mipango ya Simba?
mi nawasisitizeni mfanye mazoezi huko mlipo mambo ya kuja kulia na GSM ligi ikianza hatutaki umbwa nyieMoja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya kifedha Yanga.
Hizi timu mbili zinapenda sana kuigana. Kuna wakati hadi nakereka jinsi wanavyopenda kufuatana fuatana. Mmoja akifanya jambo linaloonekana bora, mwingine hataki muda mwingi upite asije akaonekana hakufanya jambo fulani. Kwa miaka mingi Yanga imekuwa inazodolewa kwa kuwa nyuma katika mambo mengi mpaka yafanywe na Simba. Siku hizi, Yanga wanahakikisha hata kama watachelewa kufanya jambo fulani lililoanzishwa na Simba, ila watahakikisha nao wanalifanya msimu huo huo ndani ya muda mfupi.
Mkataba wa JayRutty uliorodhesha mambo mengi ambayo kwa timu hizi mbili hayajawahi kufanywa. Hapa nitaorodhesha matatu.
1. Mkataba rasmi wa jezi na brand ya kimataifa (Diadora)
2. Basi la kisasa la Irizar
3. Uwanja
Nilivyosikia tu haya mambo yanapangwa nikasema Yanga wataenda kujipanga ili Simba ikianza tu kuyafanya, nao wajitutumue wafanya bila kuchelewa.
Kwenye jezi, inasemekana Yanga imeenda kufanya janja janja na wanakaribia kutangaza mkataba wa jezi na Adidas kupitia kwa GSM. Ikumbukwe Sheria Ngowi aliwahi kusema tayari ana design za jezi za Yanga za misimu kadhaa mbele zipo tayari, ila baada ya Diadora kutangazwa, wakaachana na Sheria. Wameingiwa na pressure.
Kwa wachezaji wa kutoka timu kubwa kama Mamelodi naona hilo limewashinda ila ngoja tusubiri, wanaweza nako wakajitutumua wakamshusha Mokoena.
Hii pressure ya kifedha Yanga wataiweza? Wataweza nao kuleta Irizar msimu huu ili wasionekane wamechelewa? Wataweza nao kuanza ujenzi wa uwanja wao ili wasipitwe na Simba au watatumia wanasiasa na watendaji ili wakwamishe mipango ya Simba?
Team zote za bongo zipo hivyoYanga sc
Timu ya makanjanja inayoongozwa kwa propaganda
Kwa hiyo mwaka jana, uto alibeba cafcl cup?Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.
Ayo mambo ya kucheza fainali ya shirikisho na kuona ni mafanikio Yanga walisha achana nayo miaka mitatu iliyo pita.
Umemwambia ukweli jamaa ila jina ulilolitumia lina ukakasi sana mzala bora ungemwita hata muhuni tu Simba wanashangilia fainal kwa Timu mbovu ile wanayoshangilia kufungwa goli chache na Berkane.Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.