Msimu huu Simba imeipa pressure kubwa ya kifedha Yanga

Msimu huu Simba imeipa pressure kubwa ya kifedha Yanga

Hii pressure ya kifedha Yanga wataiweza? Wataweza nao kuleta Irizar msimu huu ili wasionekane wamechelewa? Wataweza nao kuanza ujenzi wa uwanja wao ili wasipitwe na Simba au watatumia wanasiasa na watendaji ili wakwamishe mipango ya Simba?
Mkiitwa mna upungufu wa akili mnaanza kulia lia.

Kuna namna Simba kuanzia viongozi mpaka mashabiki huwa mnajikuta miungu watu. Kwamba nyie mkifanya jambo basi akijakufanya mwingine ameiga kwenu. Ukiea na mentality kama hii wewe utakua bingwa wa kufeli kila siku.
 
Simba miaka yote ndio wanao tangaza kuingia mikataba ya fedha nyingi ila matumizi ya fedha izo hayaeleweki, ikifika wakati wa usajili Bado wanakwenda kupiga magoti kwa MO.

MO anawakopesha fedha na akiwaeleza deni limeshafika Billion 87 mashabiki Wana nuna.
Maana yake mikataba ya Simba mingi ni kutafuta kiki kwa kuongeza sifuri maana zinapotaka kutumika fedha izo hazionekani😃😃

Kuhusu Jay root uo ndio mkataba wa ki mangungo ambao haujawahi kutokea.
Ni swala la muda tu, Kiki zote zitagoma.
Ata uyo Bakresa na fedha zake, hawezi kuingia mkataba wa kipuuzi kama uo kwa kutegemea faida ya kits za club.
Safari hii mbumbumbu mmepatikana

Kwakua nyinyi mnapata 1,300 per jersey unaona kuficha hii aibu ni kubeza Bilion 7 ambayo Simba anaingiza kwa Mwaka kupitia Kit sponsorship?

Kumtukana sana Yuda hakukufanyi uwe Yesu.

Iwe MO ametukopesha au anatoa kwa hisani hilo sisi hatujali, issue ni nyie mnaolazimisha sisi tuone kama tatizo kwasababu ya wivu wenu.

Nakukumbusha tu kwenye mpira wa Tanzania, Simba ndio evolutionist wa maendeleo.

Kila kitu ambacho leo mnaweza kujivunia kama maendeleo kwenye Club yenu basi nyuma yake ni copy and paste kutoka kwenye strategy plans ya Simba.

Mkianza ku count maendeleo yenu mliyoyafanya kupitia mipango yenu binafsi pasipo kuigizia kwa Simba sidhani kama hata mitano inafika.

Hiyo ni kwasababu gani?

Ni kwasababu ya asili ya hivi vilabu. Yanga ina asili ya uswahilini inaendesha mambo kupitia primitive system wakati Simba ilikuwa chini ya wasomi walio staarabika na ndio maana walikuwa wakwanza ku-introduce modern football ikiwemo kuvaa viatu na jezi.
 
Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.
Ayo mambo ya kucheza fainali ya shirikisho na kuona ni mafanikio Yanga walisha achana nayo miaka mitatu iliyo pita.
Unaelewa maana ya mafanikio?

Mafaniko yanapimwa katika muktadha wa challenge na historia ya timu.

Kitu ambacho unakifanya mara kwa mara hakihesabiwi kama mafanikio mapya. Ndio maana Simba walipo stuck kwenye robo mlibeza kwa kusema Mwakalobo ni kwasababu ilionekana ni kawaida hivyo hatua ile haikuweza kuchukuliwa kama mafanikio.

Mfano wa Yanga Ikiwa timu inashinda taji la ligi ya ndani kila msimu, lakini inashindwa kuvuka hatua ya makundi ya mashindano ya kimataifa, mafanikio hayo ya ndani yanakuwa ya kawaida, hayana uzito wa kipekee.

Kwa upande mwingine, kufika robo fainali au fainali ya CAF Confederation Cup kwa mara ya kwanza ni mafanikio ya kihistoria, hasa kwa timu ambayo haijawahi kufika huko.

Lakini kingine ni ugumu wa Mashindano ndio unao determine thamani ya mafanikio
CAF Champions League vs Ligi Kuu ya Tanzania Mashindano ya CAF yanajumuisha timu bora kutoka nchi zenye ligi ngumu kama Misri, Morocco, na Afrika Kusini. Kufika hatua ya juu katika mashindano haya ni changamoto kubwa kuliko kushinda ligi ya ndani ambayo ina ushindani mdogo.
 
Yanga sc
Timu ya makanjanja inayoongozwa kwa propaganda
Angalia shabiki ***** hili na team lake ka kichoko!!!Yaan tukusugue kinyeo mara 5 mfululizo bado tu unataka!!!nyie saizi yenu ni Big stars uko
20250808_111818.jpg
 
Nadhani mmeanza kunielewa.

Baada ya mkataba wa Haier na SportPesa, sasa jiandaeni kusikia:
1. Mkataba wa jezi na Adidas
2. Basi la kisasa
 
Back
Top Bottom