Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Mkiitwa mna upungufu wa akili mnaanza kulia lia.Hii pressure ya kifedha Yanga wataiweza? Wataweza nao kuleta Irizar msimu huu ili wasionekane wamechelewa? Wataweza nao kuanza ujenzi wa uwanja wao ili wasipitwe na Simba au watatumia wanasiasa na watendaji ili wakwamishe mipango ya Simba?
Simba miaka yote ndio wanao tangaza kuingia mikataba ya fedha nyingi ila matumizi ya fedha izo hayaeleweki, ikifika wakati wa usajili Bado wanakwenda kupiga magoti kwa MO.
MO anawakopesha fedha na akiwaeleza deni limeshafika Billion 87 mashabiki Wana nuna.
Maana yake mikataba ya Simba mingi ni kutafuta kiki kwa kuongeza sifuri maana zinapotaka kutumika fedha izo hazionekani😃😃
Kuhusu Jay root uo ndio mkataba wa ki mangungo ambao haujawahi kutokea.
Ni swala la muda tu, Kiki zote zitagoma.
Ata uyo Bakresa na fedha zake, hawezi kuingia mkataba wa kipuuzi kama uo kwa kutegemea faida ya kits za club.
Safari hii mbumbumbu mmepatikana
Unaelewa maana ya mafanikio?Ndugu mbumbumbu mafanikio katika Mpira wa miguu ni Mataji na si nafasi unazoshika katika mashindano unayo shiriki.
Ayo mambo ya kucheza fainali ya shirikisho na kuona ni mafanikio Yanga walisha achana nayo miaka mitatu iliyo pita.
Kama ni hivyo mbona imewafunga mara tano mfululizo na kushinda mara nne mfululizo au huna akili??Yanga sc
Timu ya makanjanja inayoongozwa kwa propaganda
Angalia shabiki ***** hili na team lake ka kichoko!!!Yaan tukusugue kinyeo mara 5 mfululizo bado tu unataka!!!nyie saizi yenu ni Big stars ukoYanga sc
Timu ya makanjanja inayoongozwa kwa propaganda