Hahahaha pumzi ndogoMsimu uliopita niliachia kijiti dakika za jioooni msimu sifanyi makosa naongoza toka gw1 Hadi gw 38... [emoji81]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha pumzi ndogoMsimu uliopita niliachia kijiti dakika za jioooni msimu sifanyi makosa naongoza toka gw1 Hadi gw 38... [emoji81]
Sema kuna wageni walikuja n pwenti kibao hahhahhhah...Hahahaha pumzi ndogo
Ipandishe juu kule waambie watu wanapojiunga na Classic wakikishe wajiunga na head to headFantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League
Official Fantasy Premier League 2024/25. Free to play fantasy football game, set up your fantasy football team at the Official Premier League site.fantasy.premierleague.com
Nimejiunga .. yap Ile link ya awali ni Ile ya msimu uliopita ambayo tayari wengi washajiunga sasa itabidi apandishe na hii tutoane damu [emoji16]Ipandishe juu kule waambie watu wanapojiunga na Classic wakikishe wajiunga na head to head
Msimu huu nadhani salah ataperform sana huyu saka nina shaka nae sana mkuuSema kuna wageni walikuja n pwenti kibao hahhahhhah...
Oi njoo PM Tusaidiane kuunda kikosi cha kuanzia naona msimu huu wamebana sana wachezaji wana madau makubwa mfano ukitaka kua na Salah, Haaland na Saka Kwa pamoja hapo ni paundi 35+ sio poa...
Nacheki game hapa ya Man U na City , hwa wachezaji wa city sio wa kuchukuaNimejiunga .. yap Ile link ya awali ni Ile ya msimu uliopita ambayo tayari wengi washajiunga sasa itabidi apandishe na hii tutoane damu [emoji16]
City Ngao ya Jamii hua anazingua tu ila ligi ikaanza anakua kitu kingine...Nacheki game hapa ya Man U na City , hwa wachezaji wa city sio wa kuchukua
Msimu ule ukakosa jezi, zidisha dua msimu huu tunyenyue kwapa, ofa sasa hivi imeongezeka, utapata jezi ya nyumban na ugenini na zote zikiwa zimeprintiwa jina upendalo wewe.makaveli10 wazee wa mitutu safari hii tutachukua ubingwa 😂
The GUNNERS
Awwww 😻😻😻Msimu ule ukakosa jezi, zidisha dua msimu huu tunyenyue kwapa, ofa sasa hivi imeongezeka, utapata jezi ya nyumban na ugenini na zote zikiwa zimeprintiwa jina upendalo wewe.
Sema Halaand bei mkasiCity Ngao ya Jamii hua anazingua tu ila ligi ikaanza anakua kitu kingine...
Hata hivo Leo kachezesha watoto...
Hapo city asset zangu ni Haaland na Gravidol
KaribuLeejay49 ,Dr Restart kuna fulsa ya kugawa vocha
Karibu sanaNimekuwa nikishiriki league za Twitter kwa misimu kadhaa leo nimesema ngoja nisearch humu huenda kuna wadau,
Mwaka huu tutakula sahani moja humu, nitawanyoosha kisawa sawa
Mkuu uwe unatuletea Msimamo basi kila week huyo Nehemia Kilave naona kama kuna muda anakuwa bize sanaMsimu uliopita niliachia kijiti dakika za jioooni msimu huu sifanyi makosa naongoza toka gw1 Hadi gw 38... [emoji81]
Sawa tuMkuu uwe unatuletea Msimamo basi kila week huyo Nehemia Kilave naona kama kuna muda anakuwa bize sana