Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

Hahahaha pumzi ndogo
Sema kuna wageni walikuja n pwenti kibao hahhahhhah...
Oi njoo PM Tusaidiane kuunda kikosi cha kuanzia naona msimu huu wamebana sana wachezaji wana madau makubwa mfano ukitaka kua na Salah, Haaland na Saka Kwa pamoja hapo ni paundi 35+ sio poa...
 
Ipandishe juu kule waambie watu wanapojiunga na Classic wakikishe wajiunga na head to head
Nimejiunga .. yap Ile link ya awali ni Ile ya msimu uliopita ambayo tayari wengi washajiunga sasa itabidi apandishe na hii tutoane damu [emoji16]
 
Sema kuna wageni walikuja n pwenti kibao hahhahhhah...
Oi njoo PM Tusaidiane kuunda kikosi cha kuanzia naona msimu huu wamebana sana wachezaji wana madau makubwa mfano ukitaka kua na Salah, Haaland na Saka Kwa pamoja hapo ni paundi 35+ sio poa...
Msimu huu nadhani salah ataperform sana huyu saka nina shaka nae sana mkuu
 
Nacheki game hapa ya Man U na City , hwa wachezaji wa city sio wa kuchukua
City Ngao ya Jamii hua anazingua tu ila ligi ikaanza anakua kitu kingine...
Hata hivo Leo kachezesha watoto...
Hapo city asset zangu ni Haaland na Gravidol
 
Msimu ule ukakosa jezi, zidisha dua msimu huu tunyenyue kwapa, ofa sasa hivi imeongezeka, utapata jezi ya nyumban na ugenini na zote zikiwa zimeprintiwa jina upendalo wewe.
Awwww 😻😻😻
Leo ngoja niiombee The G
Hizo jersey nazitaka Maka 😂😂😂
Yani tukishinda ntakusumbua mpk ukome.!!
 
Nimekuwa nikishiriki league za Twitter kwa misimu kadhaa leo nimesema ngoja nisearch humu huenda kuna wadau,
Mwaka huu tutakula sahani moja humu, nitawanyoosha kisawa sawa
 
Back
Top Bottom