Mleta mada kuna mahali kaandika " Kurubuni wachezaji wa timu pinzani kwa kuwaahidi kuwasajili " Hilo ulizingatie.Ndugu mbumbumbu Tff na GSM waliingia mkataba wenye thamani ya bil 2 kama ilivyo NBC ili kuzipunguzia gharama za uendeshaji vilabu vinavyo shiriki NBC premier league.
Mkataba ulihusisha Jezi na vifaa vya michezo, GSM walianza utekelezaji kwa kugawa jezi na vifaa vya michezo kwa timu zote za ligi kuu akiwa kama mdhamini mwenza wa NBC.
Simba kupitia Barbara na Azam waka gomea udhamini wa GSM wakidai wakati wa uingiaji wa mkataba hawakushirikishwa, ila ukweli ata mkataba wa NBC na Tff hauku washirikisha vilabu mkataba ulikua baina ya Tff na NBC vilabu vilielezwa tu.
Kikubwa ni Simba na Azam waliona GSM ni mshindani wa kibiashara wa mabosi wa timu zao kwenye baadhi ya bidhaa kwaiyo hawakutaka apate kiki kupitia timu zao.
Simba kwakua TFF wanaiweza waka anzisha mgomo wa kitocheza mechi iwapo uwanja utakua na Mabango ya GSM.
Tff ikabidi wawaombe msamaha GSM na kuwataka waelewane kuivunja mkataba walio ingia kabla Ligi haija anza.
Kumbuka GSM walisha anza kutekeleza mkataba kwa kugawa vifaa kwa timu zote 16 kupitia Tff na fedha za nauli.
Baada ya mgogoro uo kua mkubwa na kutishia Ligi kuanza na kelele kutoka kwa Simba ilibidi timu zielezwe mkataba wa GSM umevunjika na timu zijitafutie wadhamini wake.
Timu nyingi za Daraja la kati ukiacha Simba na Azam zilipatwa na taharuki maana sehemu ya udhamini waliyo itegemea kutoka GSM ili peperuka.
Baadhi ya timu ilibidi zi mtafute GSM na kuomba kuingia mikataba kama ule walio ingia na Tff ili waendelee kupata udhamini kwakua ilikua ghafla kwa wao kupata mdhamini ili kufidia sehemu ya yeye GSM alipo jitoa.
Icho ndio chanzo cha baadhi ya vilabu kuwa na udhamini wa GSM na hakuna ukiukaji wala uvunjaji wa sheria au kanuni yoyote ya FIFA katika uendeshaji wa mpira wa miguu.
GSM hana timu yoyote anayo miliki kama ilivyo kwa Azam, yeye anabaki kuwa mdhamini kwa timu zilizo muomba udhamini na TFF hawakuona shida yoyote katika ilo.
Propaganda zinazo fanywa na Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri na kutafuta kichaka kwa kudai timu zinazo dhaminiwa na GSM zinapanga Matokeo.
Ukweli Yanga Wana timu bora na ndio maana Simba iliyo kataa udhamini wa GSM imefungwa mara 4 na Yanga naupo uwezekano wa kufungwa mara 5 mpaka 6 kwa hali inavyo elekea msimu hu.
Katika ligi inayo endelea hakuna ata timu Moja ambayo haijafungwa na Yanga , iwe na udhamini wa GSM au haina udhamini wa GSM.
Kwa ufupi timu ambazo hazina udhamini wa GSM ni nyingi na zote zimefungwa na Yanga.
Mleta mada kuna mahali kaandika " Kurubuni wachezaji wa timu pinzani kwa kuwaahidi kuwasajili " Hilo ulizingatie.
Yawezekana hizo timu uto kazifunga kwa kutumia hiyo mbinu. Maana kama ingekuwa ni uwezo wake halali hata huko kimataifa angefanya vizuri.
Sasa inakuwaje mashindano ya ndani timu inafanya vizuri halafu ikifika kimataifa timu inatolewa raundi za mwanzo tu tena na timu dhaifu?
Hapa kuna kitu , utopolo wachunguzwe wananunua wachezaji wa timu pinzani.
Kama ishu ku rubuni , timu yoyote inaweza ku mrubuni mchezaji.Mleta mada kuna mahali kaandika " Kurubuni wachezaji wa timu pinzani kwa kuwaahidi kuwasajili " Hilo ulizingatie.
Yawezekana hizo timu uto kazifunga kwa kutumia hiyo mbinu. Maana kama ingekuwa ni uwezo wake halali hata huko kimataifa angefanya vizuri.
Sasa inakuwaje mashindano ya ndani timu inafanya vizuri halafu ikifika kimataifa timu inatolewa raundi za mwanzo tu tena na timu dhaifu?
Hapa kuna kitu , utopolo wachunguzwe wananunua wachezaji wa timu pinzani.
Timu Bora uomba kupangiwa kikosi dhaifu unapocheza nazo? Ref yanga vs singida big Star dar? Acha utetezi,simba na yanga wote Wana mbinu chafu nje ya utaratibu! GSM katuaribia ligi misimu mitatu simba nao wakaona isiwe tabu wakaja na ubaya ubwela baada ya kufanya utafitiNdugu mbumbumbu Tff na GSM waliingia mkataba wenye thamani ya bil 2 kama ilivyo NBC ili kuzipunguzia gharama za uendeshaji vilabu vinavyo shiriki NBC premier league.
Mkataba ulihusisha Jezi na vifaa vya michezo, GSM walianza utekelezaji kwa kugawa jezi na vifaa vya michezo kwa timu zote za ligi kuu akiwa kama mdhamini mwenza wa NBC.
Simba kupitia Barbara na Azam waka gomea udhamini wa GSM wakidai wakati wa uingiaji wa mkataba hawakushirikishwa, ila ukweli ata mkataba wa NBC na Tff hauku washirikisha vilabu mkataba ulikua baina ya Tff na NBC vilabu vilielezwa tu.
Kikubwa ni Simba na Azam waliona GSM ni mshindani wa kibiashara wa mabosi wa timu zao kwenye baadhi ya bidhaa kwaiyo hawakutaka apate kiki kupitia timu zao.
Simba kwakua TFF wanaiweza waka anzisha mgomo wa kitocheza mechi iwapo uwanja utakua na Mabango ya GSM.
Tff ikabidi wawaombe msamaha GSM na kuwataka waelewane kuivunja mkataba walio ingia kabla Ligi haija anza.
Kumbuka GSM walisha anza kutekeleza mkataba kwa kugawa vifaa kwa timu zote 16 kupitia Tff na fedha za nauli.
Baada ya mgogoro uo kua mkubwa na kutishia Ligi kuanza na kelele kutoka kwa Simba ilibidi timu zielezwe mkataba wa GSM umevunjika na timu zijitafutie wadhamini wake.
Timu nyingi za Daraja la kati ukiacha Simba na Azam zilipatwa na taharuki maana sehemu ya udhamini waliyo itegemea kutoka GSM ili peperuka.
Baadhi ya timu ilibidi zi mtafute GSM na kuomba kuingia mikataba kama ule walio ingia na Tff ili waendelee kupata udhamini kwakua ilikua ghafla kwa wao kupata mdhamini ili kufidia sehemu ya yeye GSM alipo jitoa.
Icho ndio chanzo cha baadhi ya vilabu kuwa na udhamini wa GSM na hakuna ukiukaji wala uvunjaji wa sheria au kanuni yoyote ya FIFA katika uendeshaji wa mpira wa miguu.
GSM hana timu yoyote anayo miliki kama ilivyo kwa Azam, yeye anabaki kuwa mdhamini kwa timu zilizo muomba udhamini na TFF hawakuona shida yoyote katika ilo.
Propaganda zinazo fanywa na Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri na kutafuta kichaka kwa kudai timu zinazo dhaminiwa na GSM zinapanga Matokeo.
Ukweli Yanga Wana timu bora na ndio maana Simba iliyo kataa udhamini wa GSM imefungwa mara 4 na Yanga naupo uwezekano wa kufungwa mara 5 mpaka 6 kwa hali inavyo elekea msimu hu.
Katika ligi inayo endelea hakuna ata timu Moja ambayo haijafungwa na Yanga , iwe na udhamini wa GSM au haina udhamini wa GSM.
Kwa ufupi timu ambazo hazina udhamini wa GSM ni nyingi na zote zimefungwa na Yanga.
Simba Kashenyetwa mara 4 Mfulululizo je! Alikua akipanga kikosi dhaifu?Timu Bora uomba kupangiwa kikosi dhaifu unapocheza nazo? Ref yanga vs singida big Star dar? Acha utetezi,simba na yanga wote Wana mbinu chafu nje ya utaratibu! GSM katuaribia ligi misimu mitatu simba nao wakaona isiwe tabu wakaja na ubaya ubwela baada ya kufanya utafiti
Arsenal ni timu ndogo au huijui kabisa?Kama ishu ku rubuni , timu yoyote inaweza ku mrubuni mchezaji.
Kuna vitu unatakiwa utumie akili kidogo sana, Hakuna timu ita msajili mchezaji ambaye anaweza kurubuniwa kwakua ata akisajiliwa anaweza kurubuniwa akiwa kwenye timu yake mpya.
Simba ina butuliwa Kila msimu na Yanga Ina maana miaka yote iyo Yanga inawarubuni wachezaji wa Simba!!
Simba ndio timu iliyo butuliwa mara nyingi na Yanga kabla Nchi haijapata uhuru mpaka Sasa Ina maana Miaka yote iyo wachezaji wake walikua waki rubuniwa!!
Kuhusu Kimataifa, kwa timu za Tanzania hakuna chochote cha kujivunia.
Yanga imecheza robo na fainali ya CAF confederation cup miaka miwili iliyopita.
Simba imefika fainali mwaka huu, imekua ikicheza robo kwa miaka zaidi ya mitano haisogei.
Mafanikio ki mataifa ni kutwaa kikombe cha Afrika.
Hakuna hatua yoyote iliyofikiwa na Simba kwa miaka ya karibuni ambayo Yanga hajafika.
Kujivunia kufika fainali , robo au nusu ni mambo ya kipuuzi na akili mgando.
Timu kubwa zote zinajivunia mataji , ivi timu kama Al Ahly, El Merikh, Al Hilal, Vita club, Tp Mazembe , Mamelodi n.k mashabiki wa izo timu Wana weza kujivunia kucheza hatua za robo,nusu au fainali!!
Zimecheza mara nyingi, Kikubwa cha kujivunia ni Taji na si uo upuuzi wa Simba kujivunia robo fainali, ni U zuzu katika soka.
Arsenal ni timu maarufu ukizungumzia mashindano ya Ulaya.Arsenal ni timu ndogo au huijui kabisa?