Yanga tumebakiza mfululizo yetu tatu za ubingwa ili itimie saba kwa mujibu wa ahadi yetu kwa wapinzani wetu,zaidizaidi kolos.Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu?
1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kifamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa ni Nini!,Benchi lote la Ufundi limebaki kama lilivyo na hakuna kilichobadilika.
Hivyo naamini Kwa usajili alioufanya Kwa kuboresha na kuongeza wachezaji kadhaa,hii itakipa kikosi Cha Simba nguvu ya kutawala zaidi ligi Kuu msimu Ujao na kuweza Kuwa Bingwa,kama asipokuwa Bingwa basi atakuwa mshindi wa pili nyuma ya Azam !
2.Azam Fc ya Florent Ibenge inaonekana kama ni timu isiyopewa nafasi yoyote ya kutwaa Ubingwa kwasababu ni timu isiyokuwa na kelele nyingi kama zilivyo timu za kariakoo!
Azam kumleta Ibenge Kuwa kocha mkuu wamedhamiria kabisa kumaliza ukame wa makombe Kwa msimu huu,Ibenge ni kocha ambaye siyo mgeni sana Kwa timu za hapa Tanzania hasa Yanga & Simba,hivyo ujio wake naamini unakuja kuondoa ufalme wa hii miamba miwili ya Soka hapa Tanzania.
Azam inaonekana kama haishitui kwenye usajili wake lakini trust me,hii timu mwaka huu inakuwa Bingwa,kama isipokuwa Bingwa inakuwa nafasi ya pili nyuma ya Simba.
Azam hadi muda huu wako Kambini wakijifua kisawasawa Kwa ajili ya msimu mpya,wachezaji wa Ibenge mara nyingi huonekana kama hawana Majina makubwa lakini jamaa mbinuo zake huwa zinawaduwaza wengi !,naamini huu msimu atawashangaza wengi .
3.Yanga Africans hadi muda huu haijulikani kambi wataweka wapi na itakuwa lini,wakati timu nyingi Ulaya na barani Afrika zikiwa zipo kwenye maandilizi ya msimu mpya,Hawa Yanga wao haijulikani kambi wataianza lini !
Mimi ni mwanachama na shabiki wa Young Africans,nikiri kabisa kama Kuna jambo ambalo Uongozi wa Yanga umekosea ni kumuachia kocha Miloud Hamdu aondoke,kibaya zaidi tumeamua kuvunia benchi lote la ufundi na kuleta benchi Jipya !,Hili jambo litaigharimu sana Yanga msimu huu!
Yanga siyo timu kocha kucha kujaribu bahati yake !
Huyu kocha hawezi kuivusha Yanga kuingia Makundi klabu Bingwa Afrika !,Muda tutazungumza !
Wewe kama ni yanga badi hujui chochote kile na wala hujui jinsinyanga inavyofanya kazi,inavyosajili wachezaji na benchi la ufundi,mipango ya pre season,mipango ya jezi na kila kwa yanga kipo perfectNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu?
1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kifamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa ni Nini!,Benchi lote la Ufundi limebaki kama lilivyo na hakuna kilichobadilika.
Hivyo naamini Kwa usajili alioufanya Kwa kuboresha na kuongeza wachezaji kadhaa,hii itakipa kikosi Cha Simba nguvu ya kutawala zaidi ligi Kuu msimu Ujao na kuweza Kuwa Bingwa,kama asipokuwa Bingwa basi atakuwa mshindi wa pili nyuma ya Azam !
2.Azam Fc ya Florent Ibenge inaonekana kama ni timu isiyopewa nafasi yoyote ya kutwaa Ubingwa kwasababu ni timu isiyokuwa na kelele nyingi kama zilivyo timu za kariakoo!
Azam kumleta Ibenge Kuwa kocha mkuu wamedhamiria kabisa kumaliza ukame wa makombe Kwa msimu huu,Ibenge ni kocha ambaye siyo mgeni sana Kwa timu za hapa Tanzania hasa Yanga & Simba,hivyo ujio wake naamini unakuja kuondoa ufalme wa hii miamba miwili ya Soka hapa Tanzania.
Azam inaonekana kama haishitui kwenye usajili wake lakini trust me,hii timu mwaka huu inakuwa Bingwa,kama isipokuwa Bingwa inakuwa nafasi ya pili nyuma ya Simba.
Azam hadi muda huu wako Kambini wakijifua kisawasawa Kwa ajili ya msimu mpya,wachezaji wa Ibenge mara nyingi huonekana kama hawana Majina makubwa lakini jamaa mbinuo zake huwa zinawaduwaza wengi !,naamini huu msimu atawashangaza wengi .
3.Yanga Africans hadi muda huu haijulikani kambi wataweka wapi na itakuwa lini,wakati timu nyingi Ulaya na barani Afrika zikiwa zipo kwenye maandilizi ya msimu mpya,Hawa Yanga wao haijulikani kambi wataianza lini !
Mimi ni mwanachama na shabiki wa Young Africans,nikiri kabisa kama Kuna jambo ambalo Uongozi wa Yanga umekosea ni kumuachia kocha Miloud Hamdu aondoke,kibaya zaidi tumeamua kuvunia benchi lote la ufundi na kuleta benchi Jipya !,Hili jambo litaigharimu sana Yanga msimu huu!
Yanga siyo timu ya kocha kuja kujaribu bahati yake !
Huyu kocha hawezi kuivusha Yanga kuingia Makundi klabu Bingwa Afrika !,Muda utazungumza !
Mchawi ndugu yako wa damuMimi ni mwanachama wa Yanga mkuu,Yanga msimu huu hachukui Ubingwa
Kwani ukijinyonga kuna ubaya gani?Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Wewe sio shabiki wa Yanga, wana Yanga tunajua kambi ni Avic town miaka yote. Yanga atakuwa na mechi Rwanda na Namibia. Acha porojo.Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Huyu jamaa ujuaji mwingi. Kipindi kile cha Gamond alileta majungu mpka kocha kafukuzwq na tulivyoanza kupata matokeo mabaya nae akapotea jukwaani.Wewe sio shabiki wa Yanga, wana Yanga tunajua kambi ni Avic town miaka yote. Yanga atakuwa na mechi Rwanda na Namibia. Acha porojo.
Yanga hii unaI......je! Utakuja ikimbia hii thread, Time will tellNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!