Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

Wewe sio shabiki wa Yanga, wana Yanga tunajua kambi ni Avic town miaka yote. Yanga atakuwa na mechi Rwanda na Namibia. Acha porojo.
Sawa !

Muda huwa ni Mwalimu mzuri sana
 
Yanga atakuwa Bingwa kwa miaka 10 mfululizo. Ndiyo kwanza kwa sasa ni Mabingwa wa nchi kwa miaka 4 mfulilizo.
Kwa hiyo bado miaka 6 mingine ya maumivu kwa wapinzani. Na kama kuna mtu anachukizwa na huu ubingwa mfululizo wa Yanga, basi ahamie Burundi.
 
Mtu anaenda kupigwa tena 5
 
N kwa vile utopiolo project ya viongozi wao kuingia bungeni imegonga mwamba watapunguza kuhonga.
 
Yanga kuwa bingwa ni lazima
Yanga alishaacha utanaduni wa kufanya pre season nje ya nchi
Conte, Chikola, Mamadou, Boyeli, Kouma, Pacome na wachezaji wengine ambao hawachezi CHAN wapo Avic town kitambo wakijifua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…