Sema umeicopy wapi hii? Nimekujua wewe kwani nimeona umecomment sehemu. 😁😁😁Hapa Kila Mmoja kavuna alichojiandaa nacho kwa msimu mzima kama ambavyo mwekezaji na mdhamini walivyoshika Kila Mmoja alichoambulia msimu mzima👇🤣🤣🤣
View attachment 3389489
Na wana vimba kweliSimba wenyewe eti wamevuna ranking ya CAF.
Wamefanikiwa pakubwa bila kusahau kupandisha kibegi mlima Kilimanjaro na kufungua whatsap channel🤣🤣🤣Na wana vimba kweli
Na walikuja na ile kauli mbiu yao ya ubaya ubwela! Na mwisho wa msimu ikawa ubaya ubwela kweli 😀Wamefanikiwa pakubwa bila kusahau kupandisha kibegi mlima Kilimanjaro na kufungua whatsap channel🤣🤣🤣
Sio 7, ni nane na Mama yao akiwemoUnadhamin timu 7 uvune nn
hii ID imekutwa na nini! mbona imekua changed ghafla mpaka avatar!! ni ile ya muhasibu kweli?.Mpira ni haramu
Na wewe timu ya nane,nje ndaniUnadhamin timu 7 uvune nn
Copy hiyohii ID imekutwa na nini! mbona imekua changed ghafla mpaka avatar!! ni ile ya muhasibu kweli?.