Msimu wa ligi 2024/2025 umekwisha na kila timu imevuna ilichopanda

Duuu!!!!!!
Ila soka la Bongo!!!!

Sijui mo atajisikiaje akiona hiyo picture!!!?????????
 
Wamefanikiwa pakubwa bila kusahau kupandisha kibegi mlima Kilimanjaro na kufungua whatsap channel🤣🤣🤣
Na walikuja na ile kauli mbiu yao ya ubaya ubwela! Na mwisho wa msimu ikawa ubaya ubwela kweli 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…