Msimu wa mvua unakaribia, chukua tahadhari ya Radi

Msimu wa mvua unakaribia, chukua tahadhari ya Radi

Inabidi wanasayansi wabuni kifaa Cha kuvuna umeme wa radi maana itapendeza sana tutavuna megawatt million ndani ya sekunde na tutakua na umeme wa kuhudumia Dunia nzima au mnasemaje wajumbe?
😁😁😁🔥
Tafiti Zinaendekea kwa wenzetu kuvuna hiyo Nishati.
Tatizo kubwa ni hiyo nishati ni kubwa mno na inadumu kwa muda mfupi sana.

Kwa sasa wanasayansi wanabuni njia mbadala ya kutumia radi kutoa nishati ya joto au kuvunja hewa na kupata components zake yaani oxygen, nitrogen na hata hydrogen.
Huu ni utafiti tu.
 
Radi zinazopiga ubeberuni zingekuwa zinapiga bongo tungeshapoteana...........nadhani beberu wamefunga teknolojia maridhawa ya kuzuia ajali za radi, maana si kwa radi zile........
 
Sasa,iilipiga Kama mstari au,yaani sijaelewa kabisa hapa
Kwenye picha tunaona nguzo si ajabu za fence.
Na nguzo zimesimikwa ardhini.
Radi inapiga kitu chochote kilicho jitokeza toka ardhini na hao ng'ombe wako karibu na hiyo fence na wamefyekwa wote.
 
Hapo ni kama unaiita.
Simu zinawasiliana kwa mionzi ambayo ni rahisi zaidi na umeme wa radi.
Hii sio sawa mkuu hata kidogo. Lighting can't be attracted by small metal like structure kama cell phones etc. Yenyewe inakuwa attracted na kustrike tall objects kama wires, fances and of that nature.
 
Radi zinazopiga ubeberuni zingekuwa zinapiga bongo tungeshapoteana...........nadhani beberu wamefunga teknolojia maridhawa ya kuzuia ajali za radi, maana si kwa radi zile........
Daaah! Eti ubeberuni.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimesoma kujiridhisha inaonekana ni salama, so nafuta kauli ' japo naendelea kujifunza zaidi kupata uhakika
Watanzania wengi wamekuwa na uhusishaji hasi kati ya radi na matumizi ya simu za mikononi. Wengi wanaamini radi ina nafasi kubwa ya kuishambulia simu na mtu anayeitumia, lakini watu wajue kuwa radi haina sifa ya kushambulia vitu vidogo vidogo bali vitu virefu ambavyo vitafanya ile charge iweze kusafiri kwa kasi kuelekea ardhini.
So watambue kuwa ni salama kabisa kutumia simu hata kipindi cha mvua iliyoambatana na radi.
 
Hii radi kiboko duh! Kwanza inawapanga mstari mmoja halafu inafumua na inamaliza kwa kuwalaza aina moja vile vile duuh!?
images.jpeg-13.jpg

Mkuu ilimradi kuna mti umejitokeza, radi inafyeka tu.
 
huku kwetu kigoma huwa tunapishana nazo njiani zikiwa zinaenda ziliko tumwa
 
Back
Top Bottom