TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,266 Reaction score 25,555 Jun 5, 2025 #1 Naam... Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu. Nje ya box. Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election. Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?. Hata kama tayari CCM kimeshajitangazia ushindi mnamo October ila watakaoemda kupiga kura nina uhakika ha 6mil hawafiki. Nchi imepigwa unyonyo moaka upupu haufanyi kazi, sasa ni mwendo wa mabango akihusishwa mwenyaazi Mungu anayeabudiwa nasi. No Reform No Election siyo lazima kuzuia barabarani ila wananchi hawa hawa siendi kupiga kura. Mtajaza ballot 🗳️ fake na mtahesabu kuonyesha wafadhiri na mtaapa kwa msaafu mkono juu ila nafsi inakuchoma kwa uongo.
Naam... Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu. Nje ya box. Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election. Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?. Hata kama tayari CCM kimeshajitangazia ushindi mnamo October ila watakaoemda kupiga kura nina uhakika ha 6mil hawafiki. Nchi imepigwa unyonyo moaka upupu haufanyi kazi, sasa ni mwendo wa mabango akihusishwa mwenyaazi Mungu anayeabudiwa nasi. No Reform No Election siyo lazima kuzuia barabarani ila wananchi hawa hawa siendi kupiga kura. Mtajaza ballot 🗳️ fake na mtahesabu kuonyesha wafadhiri na mtaapa kwa msaafu mkono juu ila nafsi inakuchoma kwa uongo.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jun 5, 2025 #2 Ni uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea hata kama wale watahamasishana wakapige kura ili wapata ushindi utakuwa ni ushindi feki!
Ni uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea hata kama wale watahamasishana wakapige kura ili wapata ushindi utakuwa ni ushindi feki!
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,266 Reaction score 25,555 Jun 5, 2025 Thread starter #3
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,266 Reaction score 25,555 Jun 6, 2025 Thread starter #4 LOTH HEMA said: Ni uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea hata kama wale watahamasishana wakapige kura ili wapata ushindi utakuwa ni ushindi feki! Click to expand... Hebu chukulia hili hapa; SOKA, MDUDE hawa jamaa unadhani ukoo wao wote wataenda kupiga kura kwa sababu zipi?. Na hata wakienda unadhani ccm wana chao hapo?.
LOTH HEMA said: Ni uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea hata kama wale watahamasishana wakapige kura ili wapata ushindi utakuwa ni ushindi feki! Click to expand... Hebu chukulia hili hapa; SOKA, MDUDE hawa jamaa unadhani ukoo wao wote wataenda kupiga kura kwa sababu zipi?. Na hata wakienda unadhani ccm wana chao hapo?.